Search results

  1. B

    Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    ungejuwa wala usingebeza jalibu kwa uchache kujadili niliyoyahoji hapa chin kama kweli unaufaham. ire 13:00 Today By Balali : 1. Yaan kunasabab yoyote yaku-justify mauwaji ya wanafunzi Garissa? 2. kunasabab yoyote ku-justify mauwaji syria 3. kunasabab yoyote ku-justify uchinjaji watu...
  2. B

    Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    wew acha wehu wako. lile shambulio ubalozi wa usa dsm walikufa wazungu wangapi? Asad - syria mpaka chemical weapon kwanini? somalia wao kwa wao...... popote penye mauwaji ya kuchinja watu lazima mkono wa magaidi wakiislam upo kwanini? JIHAD NITATIZO HAPA DUNIAN
  3. B

    Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    1. Yaan kunasabab yoyote yaku-justify mauwaji ya wanafunzi Garissa? 2. kunasabab yoyote ku-justify mauwaji syria 3. kunasabab yoyote ku-justify uchinjaji watu Isis kwa maelfu? acheni wehu nyinyi navichaa vyenu, visingizio kwa kila jambo hata hamuoni aibu? Yemen hapo balaaaaa kutwa...
  4. B

    Pengo: Situmiki na CCM

    Pengo anewasaliti maasikofu wenzako pengo amekula tena maharage nilikuwa namheshimuuu , sasa simheshi tena pengo ameliabisha kanisa katoliki pengo nan amekurogaaaaaaa!!!!!!
  5. B

    Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    Hizi porojo za kutetea wehu hakutasadia mjinga wewe 1. Yemen wanachinjana - waislam watupu 2. Libya wanachinjana waislam watupu 3. Bokoharam (Nigeria) kindi la waislam linauwa watu hovyo 4. Syria wanachinjana waislam watuph 5. Pakistan, Afghanstan Iraq -wanachinjana waislam watupu...
  6. B

    Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    kuuwa watu wasiohusika nikichaa kama cha mbwa. Niwehu huo.
  7. B

    Kwanini CCM imehamishia mashambulizi Tanga?

    Wanajaribu kuzuia ghalika kwa mikono, ikumbukwe ndiyo mkowa ambao umebaki 100% tegemeo kwa ccm. UKAWA kupitia Chama cha CUF inauwezo mkubwa kuchukuwa zaid 70% ya viti mkowani Tanga
  8. B

    KKKT yatishia kususia kura ya maoni ya Katiba

    Hiyo ndiyo suluhu yakweli 100% 1. Katiba ya wananchi kupitia J Warioba wameipiga chini 2. Maboresho ya daftari niya mazingaombwe 3. Raia wala hawafaham nini kimewekwa na mafisadi akina Chenge 4. Upo uwezekano mkubwa kura zikafanyiwa fraud na kupika takwim, je wakisema imepita raia...
  9. B

    KKKT yatishia kususia kura ya maoni ya Katiba

    unapigia kura jinamizi ambalo hata hulifaham, je wakilazimisha takwim, unajeshi wewe kukataa? wao wanamajeshi yote Sanasana wanatafuta pa kurekebishia kura za maruhani.
  10. B

    Mwanafunzi atokwa mimba akiwa anaelekea shuleni

    Mkuu wamehifadhi ki-embryo - mawe yameshikilia hilo karatasi lisipeperuke kikabakia wazi.
  11. B

    Tamko la UVCCM Mkoa wa Geita kupinga kusimamishwa ziara za Mwigulu

    Usishangae kukuta chopa ya Madelu mwigulu Nchemba, kapiga fedha kutoka hazina yetu, kukwepa kuhojiwa wamefanya ionekane ya msukuma machon pa watu. Huyu kaiba fedha hazina kanunua chopa, msukuma fedha hiyo kaitowa wapi?
  12. B

    Tamko la UVCCM Mkoa wa Geita kupinga kusimamishwa ziara za Mwigulu

    Geita kwa wasukuma Tamko UVCCM wapinga mwigulu kusimamiswa Arusha alikokuwa Kinana mbunge Tamko UVCCM waunga mkono mwigulu kusimamishwa Kifupi ccm inasambaratika, ukanda, ukabila na ukada unakinyemelea. Geita hapan, Arusha ndiyo...????????
  13. B

    UKAWA kutoshiriki mchakato kura za maoni Aprili 30, 2015

    Vyama vingene vinawanachama hai 200, kwa maana hiyo katiba halal haiwezi kupitishwa na watu 3,000,000 hiyo pekee itakuwa pigo kwa katiba feki.
  14. B

    UKAWA kutoshiriki mchakato kura za maoni Aprili 30, 2015

    UKAWA lazima wajipange sana, Hili kama la kweli ninaliafiki 100%, kama wakikubali ile fedha ya Stanbic na ya mkombozi nk itafanyakazi ya kuhonga, usishangae ikapita. Dawa nikuitupilia mbali wakapige kura wenyewe ccm ili iwe katiba ya ccm 100%
  15. B

    Maofisa wa bunge wamtoa Mwambalaswa kikao cha kamati

    Jamaa alipita kwa mizengwe, wananchi hawakumtaka kabisa, ninayafaham maeneo yale vema, upendo, mamba Lupatingatinga, Isangawana, mafyeko nk. Ninajamaa zangu maeneo hayo.
  16. B

    Maofisa wa bunge wamtoa Mwambalaswa kikao cha kamati

    Ndugu huyu nimbunge wa Jimbo la LUPA TINGA TINGA - CHUNYA Mkowani MBEYA. Nimajanga, ccm walimpitisha kwa kulazimisha. Jimbo lile ukienda utajuta, barabara nimakolongo na mawe, wakulima wanaibiwa tumbuka wakati wamauzo usipime, nilibahatika kupita huko Mwezi Dec 2014 sina ham kabisa maisha ya...
  17. B

    Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

    Many thanks Mkuu for this vital comment. Huu ndio ukweli, ccm ikishatusambalatisha haijalishi ni mwislam, mkristu au nani wote tunabakia kama toilet paper. ukikaribia uchaguzi utawaona hao wakipiga hodi na uzushi wao. CCM ndiye adui namba moja wa watanzania akipandikiza na kutuchochea iliwao...
  18. B

    Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

    1. Nimekuambia hicho kitu hakipo nikanushe nini? nikanushe hewa? wewe unayesema kipo ndiye unayetakiwa kuthibitisha. Ingelikuwa ni somo la hesabu ulitakawiwa kuprove hii theory, au show that au verify. sasa weka ushahidi hapa. 2. Hebu fafanua umagharibi ndio ulikaa na Mwimnyi, Mkapa na sasa...
  19. B

    Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

    Kumbe nani tukuite zuzu, huwezi tetea usichokuwa na ushahidi nacho. kama sio mbumbumbu au zuzu weka ushahidi otherwise ndiyo tunakwambia huo mfumo haupo nihewa na wakufikirika.
  20. B

    Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

    wewe acha kuyumba nakuyumbishwa na propaganda, ukiambiwa tafakali kisha jiulize na baada ya hapo tafuta majibu. 1. Burundi wamepigana na mambo yao yako hovyo kunamfumogani unaowahujum wahutu na watusi? 2. Rwanda walipigana na kuuwana vibaya, sasa hivi wametuacha mbali, pamoja na uwepo wa...
Back
Top Bottom