Search results

  1. africa6666

    February 2015 mwezi wa ajabu [ambao hutokea kila baada ya miaka 826]

    Mtoa mada hajielewi au hailewi anachotaka kuweka jamvini
  2. africa6666

    Ni nunue lipi kati ya discovery 2 ; ford escape ; nissan x trail ; etc

    Sikushauri X-TRAIL sio stahamilivu kwenye rough roads, sio comfortable kwa safari ndefu lakini iko spacious, inasumbua sana ikianza matatizo, mafundi wetu wengi hawaijui hata wa garage kubwa, spare zake ni ghali sana hata kama kitu ni kidogo kiasi gani bado utahitajika kutoboka mifuko kwa sana
  3. africa6666

    Hey baby......

    Aliyeuza, kauza cheni feki na aliye nunua katoa noti bandia kwa hiyo ngoma droo kimjini
  4. africa6666

    Kawambwa, Kilichowafelisha Kidato cha Nne ni Hiki Hapa

    Mi naona hawa ndo funga kazi S4878 IKUNGUIGAZI SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 0
  5. africa6666

    Tetesi: Zoezi la sensa vs vitambulisho

    Huo tunaita ni uvivu wa kufikiri, haiwezekani sababu hizo ni mamalaka mbili tofauti na zina majukumu tofauti, pia mchakato wa vitambulisho ni mkubwa kuliko wa sensa.
  6. africa6666

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    Mijitu mingine bwana sijui ikoje, ulikuwa huamini ulipoambia na Great Thinkers mpaka umeona Star TV kwli we pumba ina maana ss hapa tunacheza
  7. africa6666

    Gari dogo - Suzuki Kei inauzwa

    You must be joking!!!
  8. africa6666

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Mi nasikia mkulu, ndo maana aliahirisha safari kuhakikisha kama kweli mpinzani wake kavuta, sio kusikia juu juu tu
  9. africa6666

    Ufaulu wa darasa la saba wapanda kwa asilimia 4.76%

    Jamani Great Thinkers tunaomba hayo matokeo kutoka source yoyote
  10. africa6666

    Mauaji ya Arusha!

    You must be joking.... Lol
  11. africa6666

    Dr Mwakyembe

    Una uhakika?
  12. africa6666

    Paka mdadisi

    Inabidi ukae karibu na PAKA Lol..
  13. africa6666

    Wewe ni mwanangu nipo pamoja na wewe

    Kikao cha FREEMAS....... hicho
  14. africa6666

    Adhabu ya uzinzi

    Kina nani? we humo?
  15. africa6666

    The Engineers tafadhali msaada wa haraka

    Simple calculation 450,000/- per square metre of building 3 bedroom house is approx. 120 sqm thats give 54,000,000/ Including evrything unaingia tu
  16. africa6666

    Anayefahamu hii namba ya simu +4915145132077anijuze

    Ni code no ya uingereza hiyo
  17. africa6666

    Akamatwa akiuza nyama ya mbwa!

    Wana JF kati ya sisi ni nani hajawahi kula mbwa labda kama ni veg. maana kila mahali wanauzwa siku hizi hasa mabucha ya uswazi maana huko hakuna ukaguzi
  18. africa6666

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Sio siri hii ripoti ukiisoma vizuri inatisha kumbe Tyson yumo kundini?
  19. africa6666

    First-Left, Arachuga ...

    Ile ingefaa kuitwa "first right" na sio left
  20. africa6666

    Uchizi wa wajapan

    Sasa kwa nini unauita uchizi?
Back
Top Bottom