Search results

  1. A

    Kuna mwenye info ya hiki chuo? Help please...

    Salamu zenu wadai. Naombeni ushauri ikiwa ni pamoja ya information ya hiki chuo kiitwacho KILACHA Agriculture and livestock training institute. Kwenye form kinaonyesha Diocese of Moshi; kwangu mimi haimaanishi kinamilikiwa na kanisa katoliki maana haijaandikwa hivyo. Kinatambulika au ndio vyuo...
  2. A

    Uraia wa nchi mbili ushauri ndugu zangu!

    Habari zangu ndugu wana jamiiforums. Swali langu ni kuwa nimeishi EU (European Union) for 9years. Nilisoma degree hapa bure na kupata professional job hapa kwa muda wa miaka mitano. Leo hii wana suggest ni apply citizenship kwa kuwa nina creteria zote; kwamba wamenipostia applicationa forms...
  3. A

    Mpenz wangu anajini jaman ,,,,,,,,,,cjui ni mchawii.....?

    Hivi nyie mnaosema mshike yesu litaondoka mpo serious? Aliyetoa mada anazini ni dhambi katika biblia; atamshikaje Yesu the same time? Au na nyie ni walokole wa type hii? Mi nakushauri achana nae tafuta mwingine..
  4. A

    Umbumbumbu wa Watanzania washio Ughaibuni

    Aliyetoa hii mada nigemuuliza amewahi ishi ulaya au marekani na kulinganisha na Tanzania? Au ndio anaandika tuu mada kwa kusikia kwenye TV na kwa story za mtaani? Kwanza ningependa kumuelimisha; watanzania young bloods wa sasa walioelimika wanaishi ulaya kwa strategy. Wanafuata paths...
  5. A

    Eti mimba ya miezi 8 ukitumia kipimo cha Ultrasound huwezi kuona jinsia ya kiumbe?

    Kama ulivyijibiwa hapo juu kuona jinsia mara nyingi inategemea na position ya mtoto tumboni muda huo; na unaweza ona jinsia kuanzia miezi sita nadhani kuendelea. Ningependa kuongezea kuwa mara nyingi kwa wataalam wenyewe huwa wanakwambia HUTUNA UHAKIKA na jinsia kama ni mtoto wa kike..sababu...
  6. A

    Wababa wangapi wanawaogesha watoto wao?

    Hii mada na michango yote hii ndio ina define maana halisi ya nchi ya dunia ya tatu; na maana kuwa bado tuna mifumo ya zama za mawe which doesn't work in the present generation. Baba hana ukaribu na mwanae hata kumpa huduma ambazo ni muhimu kabisa; baba hamuelewi mtoto na mtoto hamuelewi baba...
  7. A

    Suzuki Carry 4wd inauzwa TZS 5,600,000/-

    Ni pm..kama vipi tujipange
  8. A

    Suzuki Carry 4wd inauzwa TZS 5,600,000/-

    4.5m inaenda..
  9. A

    PROFESSIONAL KAMERA ZINAUZWA..best condition. Kwa wanafunzi wa Journalism, Tourism na matumizi meng.

    Vitu vingine kama viatu,eletronics,saa inategemea unataka aina gani..
  10. A

    PROFESSIONAL KAMERA ZINAUZWA..best condition. Kwa wanafunzi wa Journalism, Tourism na matumizi meng.

    Mnaweza mka.google na kuziona kamera zenyewe..picha imekaa ku attach. Au kwenye email naweza tuma picha pia kwa aliye interested.
  11. A

    PROFESSIONAL KAMERA ZINAUZWA..best condition. Kwa wanafunzi wa Journalism, Tourism na matumizi meng.

    Nauza professional camera..zipo nje ila kwa atakayehitaji I will deliver within 1-2 weeks...sihitaji advance kwa atakayehitaji ila awe ni mteja. Ni imara na genuine si za mchina. 1. Canon PowerShot SX 10 IS. 10 megapixel sensor and a 20 times optical zoom. Bei laki tano. 2. Nikon CoolPix5700...
  12. A

    Suzuki carry/honda acty vs. Taksi

    Email yangu mkuu ni gfmassaw@hotmail.com..shukrani kwa mawazo yenu
  13. A

    Suzuki carry/honda acty vs. Taksi

    Habari zenu wanajamiiforum! Nilikuwa Dar hivi karibuni nikakutuma na vigari vya mizigo vingi sana, hasa maeneo yetu ya Mbagala. Nami nikapata hamasa ya kumnunulia bi. mkubwa nikitegemea kuwa mizinga itapungua. Nina maswali machache au ushauri kwa wenye kufahamu.. a) Vipi ni bora kwa utendaji wa...
  14. A

    Used car import dumping fee

    Habari zenu waungwana, naomba kuuliza kwa mwenye taarifa;Je ni kweli kuwa TRA wamepunguza miaka kuwa gari likiwa ni zaidi ya miaka saba unapigwa penalti?maana zamani nakumbuka ilikuwa ni miaka kumi kwenda juu..tafadhali naomba taarifa
  15. A

    wale wa St.Peter's seminary,morogoro 1990-93

    Ala..Fr Joseph Mluge ndio rector sasa hivi..si mchezo.Alinipokea St. Peter's..na alkiwa room-mate.Ye alikwa form six mi ndio naanza form one.
  16. A

    Chuo cha uongozi wa mahakama lushoto

    Naombeni kama kuna anayeweza kunisaidia utaratibu wa hiki chuo; mfano ada ni sh. ngapi kama nataka kusomea diploma na utaratibu wa malazi. Msaada kwa waliosoma au wanajua kuhusu hichi chuo. Naona hawana hata website.
  17. A

    Maajabu Busanda

    Kwa kifupi radi hupiga the highest objects above the sea level...si jambo la kushangaa..Kwani wewe ulitegemea ipige nini?labda ueleze.
  18. A

    Mjengwa ang'atuka KWANZA JAMII

    Wewe unajua kusoma kweli? Ukisoma nilichosema hakuna sehemu nimesema Mjengwa ni muislam..na hata August hajasema ni muislam. Uliza swali jingine..
  19. A

    Mjengwa ang'atuka KWANZA JAMII

    Huyu ni mmoja wa waandishi wachochezi kabisa na anayeweza kutumia taaluma yake kuleta matabaka nchini yasiyokuwa na umuhimu wowote zaidi ya kueneza chuki. Nimekuwa napitia blog yake mara kwa mara na mara nyingi huwa ni mtu wa kuanzisha au kuweka mada za dini zenye lengo la kuanzisha uchochezi...
  20. A

    AY arudi shule; kujiunga na chuo fake?

    Naona hapa tunajadili kuhusu Ay kujiunga chuo fulani ambacho naona moja kwa moja ni feki. Sasa; tunachojadili basi kimfikie bwana mdogo Ay; kwa yeyote mwenye mawasiliano naye kwa njia yeyote basi mfikishieni ujumbe wa majadialiano haya. nadhani yatamsaidia sana kabla hajaliwa hela zake...
Back
Top Bottom