Search results

  1. N

    TRA na polisi acha zoezi la kubadilisha leseni liwe endelevu

    Uko sawa kabisa, mi mwenyewe polisi wamenigonga tsh 20,000 ukijumlisha na elf 40 za TRA, inakuwa elf 60, mi nimedilishia huku DSM, lakini ilikuwa mwanzoni so sikupata usumbufu wowote
  2. N

    Mara nyingine polisi wanaonewa na kudhalilishwa na wananchi

    Tukidharirishwa raia na polisi ni sawa, ila akidharirishwa polisi, hatuna uzalendo!!! hapana hapo sikubaliani na wewe kabisa kwani matukio ya polis kudharirisha raia ni mengi mno kuliko hayo ya raia kudharirisha polisi
  3. N

    Msafara wa Anne Makinda wajeruhi trafiki Dar

    Kama wanauwana wenyewe kwa wenyewe, mi naona poa tu, hao polis nao ni maadui wa raia!
  4. N

    Msafara wa Anne Makinda wajeruhi trafiki Dar

    Kama wanauwana wenyewe kwa wenyewe, mi naona poa tu!
  5. N

    Picha!Ha ha ha,eti Diamond na Obama

    Duh, we mkare!!!
  6. N

    Naomba kuelekezwa namna ya kufika Mafia

    Ni Kenya, huko ndiko yanakotokea makundi ya MUNGIKI na MAFIOSO!, swali jingine please?
  7. N

    wahindi, sports betting inaharibu wanafunzi!

    Hata mimi inanikera sana hii kitu!
  8. N

    Askari wanaswa kwa ujambazi

    ...matokeo yake ni kuzalisha majambazi!
  9. N

    Yanayoendelea sasa yametabiriwa na Yesu

    Hata marehemu SHEIKH YAHAYA pia alikuw mtabiri maarufu, sasa hapo cha ajabu nini?
  10. N

    Hospitali ya moyo ya mengi vipi?

    Dah! umenikumbusha mbali mkuu, namkumbuka mwanae alikuw anaitwa Ronald Mutie Mengi, inamaana watu weupe wamemtosa?
  11. N

    Technology mpya bungeni

    Naunga mkono hoja!
  12. N

    Hali tete mazishi ya mchungaji aliyeuawa Buseresere

    Nadhan hamjui kinachoendelea kule ndomana mnahis kuonew lkn hakuna uonev wwte jesh letu la polis chin ya USTADH SEYYID MWEMA linafanya kaz kw uadilif mkubw, hao wanaoshikiliw huenda ndo wahusika wakuu wa mauj ya mwenzao lengo ni kuupaka matope uislam
  13. N

    Kwa hili tff ni aibu kubwa!

    TANZANIA FITINA FEDERATION, Hii nimeipata leo hapahapa JF!
Back
Top Bottom