Search results

  1. G

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Manyusi shukrani, nami nimepata pa kuanzia
  2. G

    outlook express

    Mkuu kote huko nimepita. ndiyo nikaamua kuja huku JF
  3. G

    outlook express

    Naombeni msaada wana JF. Nikituma message kwa kutumia outlook express napata message hii: The message could not be sent because one of the recipients was rejected by the server. The rejected e-mail address was 'willmboje@yahoo.com'. Subject 'HI', Account: 'amu.udsm.ac.tz', Server...
  4. G

    Mafuta ya ubuyu:

    Mafuta ya ubuyu yanapatikana kwa Tshs 40,000/lita
  5. G

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Kuna bwana anatibu. Mimi nilikuwa navyo. katika kutibu kisukari nilijikuta vile vile nimetibu hivyo vidonda. sasa sijui ni dawa gani ya kienyeji iliniponya. Maana siku stick kwa aina moja. Kwa hiyo kifupi kinatibika na dawa za kienyeji. ..................................
  6. G

    Msamaha wa kodi kwa wafanyakazi SERIKALINI.

    Mkuu hiyo si kweli. Lazima ulipe kiasi fulani ya kodi baada ya kufanyiwa depreciation, hata kama utakaa nalo miaka 10. Sema baada ya muda mrefu unacholipa kinakuwa kidogo sana.
  7. G

    JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

    Una maana Lameck Madelu Mkumbo
  8. G

    JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

    Ma Drs kuweni macho wasije wakammaliza maana anaweza kuropoka akaiaibisha serkali.
  9. G

    Ester Bulaya naye amtosa Zitto!

    Wapi kaandika urahisi?
  10. G

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Mkuu umenitoa gizan nilikuwa sielewi kabisa hii mifuko ya jamii.Shukran
  11. G

    Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    Ni kweli mkuu jina hilo ni la kisukuma pamoja na kwamba linaonekana kuchakachuliwa. Wasukuma hatuna mw, tuna nw`. Hivyo yeye ni Ng`wigulu Nchemba
  12. G

    Kikwete atoa taarifa ajali ya meli.

    Siyo siri ktk umri wangu wa miaka 47 umenifanya kwa sentesi yako kuhusu watoto nilie. Naamini The Lord Jesus Christ atakuwa amewasahaulisha na haya machungu. Tuseme wote Amen
  13. G

    Libilov for Men

    Wana JF wapi naweza pata hii herb 'purified Tribulus terrestris extract', available under the brand name Libilov. Hii ni kwa wale wenye matatizo ya pre mature ejaculation. Kwa anayejua anijuze tafadhali.
  14. G

    Iran kuleta madaktari 1,000 Tanzania

    wakuu wa-iran siyo waarabu ni waajemi
  15. G

    Ni KWELI NCHEMBA ANAITWA LAMEKI. TBC1

    Huyu bwana ni msukuma. Haya majina ni kama ameyakarabati ili aonekane yeye ni wa iramba zaidi. Vinginevyo majina yake yanasomeka Lameck Ng`wigulu Nchemba siyo Mwigulu Mchemba
  16. G

    Dawa ya vidonda kwa wenye kisukari

    Wakuu niliwahi kusoma humu JF, kuwa kuna ndugu mmoja alikuwa anaelezea dawa ya vidonda kwa wenye kisukar. (of course hata na wasio na kisukar possibly, lakini siku hiyo alikuwa specific kwa ajili ya watu wenye kisukari). Dawa yenyewe inahusisha asali na vitu vingine sikumbuki. Naombeni kama kuna...
  17. G

    Gharama za kutoa gari bandarini

    Usipokuwa mwangalifu humu JF unaweza ukawa misled. gari ya US$ 1800 (2002) swift kwa vyovyote haiwezi kufika million 9 mpaka uwe nayo barabarani. Sana sana ni kama dola $3500. Hapo iko barabarani
  18. G

    How to make a Natural and pure home made VIAGRA

    Ninywe huo mchemsho wote au?
  19. G

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Je wagonjwa wa kisukari itawasaidia?
  20. G

    Dr. Hassan Mshinda, DG wa COSTECH...

    Nitaandika baadaye nikiongea na mmoja wa waathirika yeye aliletwa hapa UDSM. Lakini kiufupi ukristo ulimwondoa.
Back
Top Bottom