Search results

  1. Bado Niponipo

    NSSF wakataa kutumia jina la 'Mwalimu Nyerere Bridge' badala yake wanaita 'Kigamboni Bridge'

    Hivi kwa nini hili daraja halikuitwa KARUME katika jitihada za kudumisha muungano, ukizingatia KARUME alikuwa baharia na mtu wa pwani
  2. Bado Niponipo

    NSSF wakataa kutumia jina la 'Mwalimu Nyerere Bridge' badala yake wanaita 'Kigamboni Bridge'

    Tunahitaji wananchi wavuke basi, Hayo mambo ya majina mpelekee Yohana Mbatizaji Asalaam
  3. Bado Niponipo

    Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

    Biashara Matangazo mkuu Kama umesoma biashara kuna kitu kinaitwa P tatu za biashara. Place - Eneo Price - Bei Product - Bidhaa na mwisho Promotion - Matangazo, kwa hiyo kufanikiwa kwenye biashara yoyote matangazo ni muhimu
  4. Bado Niponipo

    Natafuta mayai ya kuku wa kizungu

    Haya mayai yako ni makubwa au ya kuku wanaoanza kutaga, na je naweza kupata tray 50 kila week ?
  5. Bado Niponipo

    Profesa Lipumba kuunguruma Muhambwe leo

    Nyingine ni ipi?.. Umesoma rules and Regulations za JF kwenye name calling, dont assume you know me, you know nothing big hommie.
  6. Bado Niponipo

    Profesa Lipumba kuunguruma Muhambwe leo

    Nduhi Mapigano Mbunge wetu Mtarajiwa wa Jimbo la Muhambwe cha tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kijana msomi, aliyejikita katika masuala ya Tawala za Mikoa, Manispaa na halmashauri. HISTORIA YA ELIMU YAKE KWA UFUPI: Elimu ya msingi: 1994-1996 – Kibondo shule ya msingi (Kibondo) ...
  7. Bado Niponipo

    Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

    Hapo kwenye bold ameandika source, na nimepitia hiyo website ni legit ya wataalam wa tiba mbadala kutoka UK, nadhani wakati unasoma hii makala ulipitiwa kidogo, hukuona
  8. Bado Niponipo

    Ofa ya Ramadhani: Trei ya Mayai ya Kwale kwa Tsh. Elfu Kumi

    Mambo Jambo Asante Jamaa wa Kwale Bora wamefikisha mzigo salama, Ubarikiwe sana ndugu
  9. Bado Niponipo

    Ofa ya Ramadhani: Trei ya Mayai ya Kwale kwa Tsh. Elfu Kumi

    Nahitaji trey 10 fertile eggs kwa ajili ya kutotolesha, Napatikana maeneo ya Mwenge (Nyuma ya Nakiete) wakati wa Kazi na Tegeta mida baada ya kazi, ningepata leo hii ningeshukuru sana. Nimetuma DM pamoja na number yangu. Natanguliza shukrani
  10. Bado Niponipo

    Biashara ya Chakula cha Mifugo

    Mambo Jambo Hi, Hii ni biashara nzuri sana kuna jamaa yangu aliianza kimzaha mzaha lakini sasa hivi ni miongoni mwa suppliers wakubwa wa Chakula cha mifugo Jijini Mwanza, Na yeye alianza kama wewe alianza na kuuza mahindi, mtama, uwele, mashudu ya pamba, ya alizeti, dona ya mbwa, dagaa, unga wa...
  11. Bado Niponipo

    Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

    Mkuu kware wa jamaa yangu wameanza kutaga, Sasa kuna jamaa mwingine anaitwa Joseph yuko Kimanzi Chana anataka kware 500 wa week tatu, nimempatia number yako, mpe ushirikiano ni colleague wangu
  12. Bado Niponipo

    Picha: CCM waendelea kujimaliza Muhambwe

    Nina mashaka makubwa sana na hili bandiko lako, lakini nikupe benefit of doubt Je haukubaliani na utendaji wa Mwanaukawa mwenzako Mkosamali hadi uamue kuchukua mikoba yake, Usingeweza kubaki kama mshauri wake tu, na maanisha haukufurahishwa na utendaji wa Mkosamali?..
  13. Bado Niponipo

    Picha: CCM waendelea kujimaliza Muhambwe

    Nikki bandiko lako limejaa udini na uchochezi wa hali ya juu, siasa hazifanyi hivyo kaka, Tanzania ni zaidi ya CCM na UKAWA sasa kuwa na siasa staarabu. BTW Mambo Jambo si mwanachama wa chama chochote cha siasa, sijawahi kuwa na chama wala sitarajii.
  14. Bado Niponipo

    Picha: CCM waendelea kujimaliza Muhambwe

    Mkuu Penguine heshima mbele sana mkuu wangu. Sijauelewa uzi wako unaweza kufafanua tafadhari
  15. Bado Niponipo

    Picha: CCM waendelea kujimaliza Muhambwe

    Makubaliano ya Ukawa ni kuwa na mgombea mmoja wa Urais, kugawana majimbo ya Ubunge na Udiwani kutokana na umaarufu wa chama katika maeneo husika, Jingine ni kuwaacha wabunge walioko sasa kuendelea kuomba ridhaa kwenye majimbo yao, hapa kwa kifupi ni kuwa Muhambwe mgombea ni Felix, Kasulu ni...
  16. Bado Niponipo

    Picha: CCM waendelea kujimaliza Muhambwe

    Nikki siasa za kupandikiza chuki za Kidini hazita kupeleka bungeni hata siku moja, halafu ni bora viongozi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla wakupe kalipio kali, huwezi kuanza kampeni za ubunge wakati makubaliano ya Ukawa ni kuwaachia majimbo ya upinzani kwa wabunge waliopo, sasa wewe mbona unataka...
  17. Bado Niponipo

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Nimeamua kuingia kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji baada ya mradi wangu wa bata maji kwenda vizuri. Nahitaji mayai 1200 ya kuchi au kuku wengine wa kienyeji, tafadhali wasiliana nami kama utakuwa na mayai hayo, yasiwe na umri zaidi ya wiki moja tafadhari
  18. Bado Niponipo

    Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

    Mkuu nitahitaji vifaranga 400 wa kuanzia, naomba number yako. na Je mayai yake mnauzaje?.
  19. Bado Niponipo

    Gosby atoka na Wema Sepetu Balaa

    Taja watano
Back
Top Bottom