Search results

  1. B

    Mwisho wa Daudi Ballali

    Hii bado ni riwaya, kwa nn hataki kumtaja huyo mwenyeji anaetafuta nae kaburi la balali? Kwa nini hatujawai sikia ndugu wakisema chochote, ama kwa nini hawakuhusishwa kuonesha kaburi mana wanaotafuta hawajui liliko, eti alizikwa na familia tu!!! tangu lini kiongozi wa nchi kauguzwa na kuzikwa na...
  2. B

    Kwa hili CHADEMA watu wa Mungu waipongeze

    I hate ukabila ukanda udini kwenye siasa za nchii. Lazima kila mpenda amani awe kinyume cha hawa shetani wanaobagua watu kwa kabila ukanda na dini zao. Wewe ni shtani unaetugawa watz. Jichunguze na utafakari juu ya upuuzi unaoandika, mtu mzima kama ww, wanao wataiga nini achilia mbali wanaokuita...
  3. B

    Nauza viatu

    Kaingia mitin tena jaman, nlikua nasubiri picha na bei
  4. B

    Wafanyakazi TRA wanahujumu mapato

    Hongera kwa kuwa raia mwema anaeipenda nchi yake, usiwe kama hao wanaoiibia serikal huku wakiubiri uzalendo. Well, nadhani bado swala lako laweza tatuliwa hapo hapo arusha onana na senior officers kabla ya kupoteza muda kwenda mwanza
  5. B

    Picha: Ridhiwani aanza kusaidia wadau, akabidhi vitanda 167 kwa shule saba na generator

    Pamoja na misaada itakayowapa ahueni wanafunzi bado ninawaza maneno yake mwenyewe nadhani mwaka jana akihojiwa na gazeti moja hapa nchini alisema; Yeye anashangaa kuitwa bilionea wakati ana gari 1 nyumba 1alopewa na wazazi hapo mikocheni, na viwanja 2 na shamba la familia wanalolima mananasi na...
  6. B

    Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

    sidhan kama unaweza fananisha marekani na kila kilichochake vinavyowindwa na magaidi na in real sense ni ughaidi, na huu uchwara unaofanywa na wahuni poorly experienced. unataka kusema huu nao ni ughaidi? Na ww fikiri kidogo kabla ya kumhukum mwenzio
  7. B

    CCM Hali mbaya, Janja yake Yabainika !

    mkuu fuatilia maneno halis ya askof sio taarifa zilizopikwa. Hakuna makosa ila upotoshwaji wa taarifa
  8. B

    Wasomi vijana kushabikia vyama vya upinzani je wanatumia nini kufikiri?

    HUyu naye ni msomi????? Naombeni majib kadiri ya post yake
  9. B

    Maaskofu wamshangaa Kikwete kwa kuikejeli Rasimu ya Katiba

    Watu bado hawajashtuka kuwa kuna watu kazi yao ni kudaka maneno na kuyaunaunda yaonekane ya ukweli, ktk siasa ni muhimu kuwa makini na maneno halisi ya mhusika si wahuni wanaodonoa na kubadili dhana yote ya taarifa muhim kama zile. Na ndio maana wameamua kuirudia tena kuonyesha kuwa kuna wahuni...
  10. B

    Maaskofu wamshangaa Kikwete kwa kuikejeli Rasimu ya Katiba

    Mkuu juzi mliingizwa mkenge na wahuni fulani lkn alichokisema makam wa TEC ni hiki hiki kuwa warudi kujadili rasimu ya warioba bila masharti wale wahuni wakanyumbua baadhi ya maneno kuwalaghai watz
  11. B

    Slaa: Biblia kuna maandiko yanasema yeyote anayewapotosha wadogo anastahili kufungiwa jiwe shingoni

    Bungeni kujadili nini, maoni ya wananchi ama ya ccm? ni kweli mnaamini bungeni coz wengi wenye maslahi binafsi na chama watapiga kelele NDIOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!! Hoja hiyo imeafikiwa na wengi imepitishwa ndio mana mnangangania bunge. Na hakika huwez elewa haya mambo yako juu ya uwezo wa walio wengi
  12. B

    Kigezo gani kinaipa uzito ndoa ya kanisani isivunjike katika dunia ya sasa?

    Shukran sana mkuu, watu wamechukulia sababu ya ndoa kuvunjika ni wanawake tu wakijisahau kuwa inaezakuwa wanaume ndo namba 1. Pili kusema m/mke ni mzinzi, alitoa mimba sijui anafanya mambo lukuki hai justify kuivunja ndoa yako kwa sababu zifutazo. Mosi fahamu ndoa kama mkataba wa milele ivo ni...
  13. B

    Kigezo gani kinaipa uzito ndoa ya kanisani isivunjike katika dunia ya sasa?

    Kifo kinawatenganisha hivyo hamuachani, ukichaa ni ugonjwa hivo huwez kumwacha mkeo sababu ya ugonjwa, hakuna sehemu yeyote inayoruhusu kuachana sababu ya uzinzi
  14. B

    Kigezo gani kinaipa uzito ndoa ya kanisani isivunjike katika dunia ya sasa?

    Hakuna mahali popote biblia imeruhusu talaka. Kusema kifo ni sababu ya kutoa talaka hiyo talaka baada ya kifo anapewa nani? marehemu? la hasha ivo hakuna talaka ktk kifo cha mwanandoa bali natural separation inayompa kibali mfiwa kuoa/kuolewa. Ktk biblia kweli hayo maneno kwamba mtu hatamwacha...
  15. B

    Wanaoiponda na kuidharau UDOM

    Chuo bora ukilinganisha na kipi???? Very sad hata wanafunz wenu wa MD wanaofanya clinical rotation kwenye baadhi ya hospiotal ni vielelezo tosha. Ni aibu mkuu. Mnaweza mkajiona mko sawa ila ss tunawaona kitu ingine kabisa ndo mana nauliza unajilinganisha na nani?
  16. B

    Habari ya alichokisema baba Askofu imepotoshwa na baadhi ya vyombo vya habari

    Mhhh kuna watu na vitu duniani, bado unataka kulazimisha uongo uwe ukweli??? Nlishangaa kusikia hbr zenye upotoshaji tofauti na nilichosikia kwa masikio yangu live. Acheni kuwachonganisha viongozi wa dini na wananchi na mjue njia ya mwongo ni fupi
  17. B

    January Makamba: Kwa asilimia 90 nitajitokeza kugombea urais 2015

    Binafsi nashtuka kuona watu wanaoutaja na kuutaka uraisi ndo akina Jam Makamba!!!! Kwa lipi na kipi anachoweza kuwaambia watz? Sioni sioni sioni jaman. Si atatufanyia usanii ule ule wa makamba baba yake
  18. B

    Mshahara mpya ni 50,000/= is it a joke or something?

    its simple, if you think isnt enough take advantage of the weak gov system, try illegal busness, corrupt your client then thing will add up. But take care you must be part of the system in cha​rge for the favor to fall on your side
  19. B

    Ni lini msimamo huu wa Kanisa Katoliki umebadilika?

    Kwa wale waliokuwa kwenye tukio hii ndio kauli alioitoa askofu si hizo za wahuni walioibuka na kujiandikia wanavojiskia. Hawa si watu wa kukurupuka kama wanaojifanya kujifariji. Kamwe hawana tabia za kufanya mambo kukurupuka. Narudia tena kusema hii ndio kauli halisi si hizi za waganga njaa wengine
  20. B

    Pinda awaagiza UKAWA kurudi bunge la katiba: Asema sio OMBI

    Kwa nini ayaseme haya kwenye majukwaa ya dini? wananchi tunataka katiba yetu, maoni yetu yaheshimiwe, si maoni ya wahunihuni na genge la wabaka demokrasia
Back
Top Bottom