Search results

  1. Mwana wa Mungu

    Serikali yapoteza State attorneys kila mwaka

    Nimelazimika kuandika suala hili, naweza kusema mimi mdau wa tasnia ya sheria, mwenyezi Mungu amenisaidia nimezunguka maeneo mengi duniani kikazi nikilitumikia taifa, na nimewiwa kutoa maoni yafuatayo kwa serikali iyaangalie kwa makini. Suala lenyewe linahusu watu wanaoitwa STATE ATTORNEYS au...
  2. Mwana wa Mungu

    can killing of albinos suffice crime of Genocide?

    Wandugu, hivi mauaji ya albino Tanzania, yanaweza kuwa na sufficient ingredients za kosa la genocide ambalo limo kwenye sheria ya mkataba wa Roma (ICC statute) ili wat wanaooganise au kuua albino wapelekwe the Hague; since they are only targeting a specific group of persons (though no evidence...
  3. Mwana wa Mungu

    Mgao wa umeme Kimara mwisho, tuna kosa gani sisi?

    jamani, hivi kimara tuna kosa gani tunakatiwa umeme kila siku kuanzia asubuhi tunarudishiwa usiku saa mbili na nusu tunapotaka kwenda kulala? kwanini kila siku wanakata umeme wakati wametuambia mgao tutausahau, hii karibia ni wiki ya 3 wanakata umeme kuanzia pale kimara mwisho njia ya king'ong'o...
  4. Mwana wa Mungu

    Tanzanians remain united! pamoja tutaweza kwa msaada wa Mungu!

    pamoja na kusikia fununu nyingi kwamba tumetengwa na wenzetu wa east africa, watu wengi nimeona wamepata mshituko kuwa pengine Tanzania ikitengwa ndio haitaendelea. Mungu kama tukimuita atatusikia na atatusaidia kwa kutumia bidii zetu kukaendelea na kuwa nchi bora kabisa. kwa msaada wa Mungu...
  5. Mwana wa Mungu

    TZ VS MALAWI lawyers on dispute issue....

    MALAWI Wameshashirikisha wanasheria wao sana na bila shaka wanayo makundi ya wanasheria wanaoshughulikia suala hili la ziwa nyasa. simaanishi wanasheria wa nje, la, wanashirikisha maprof mbalimbali kutoa sababu za kisheria, sio siasa za maneno ni kwanini wao ndo wanamiliki ziwa na siyo Tanzania...
  6. Mwana wa Mungu

    Ajabu! kama tz haitaikubali ICJ katika issue ya lake Nyasa......

    Ajabu ni kwamba, ili mahakama haki ya umoja wa mataifa ni lazima nchi zote mbili kwenye mgogoro zikubaliane kuwa kesi hiyo ipelekwe, yaani free concent of both state parties to the dispute lazima iwepo kwamba wote wawili watapokea na wanakubali jurisdiction of the court. kama sisi tukikataa na...
  7. Mwana wa Mungu

    Kikwete alimtaja MAALIM Seif wa zenji kishabiki?

    Jamani, naomba kuuliza kwa wale wanaofahamu maana halisi ya "MAALIM", kwasababu kwa wale waliomsikiliza kikwete, aliitaja hiyo Maalim kiushabiki fulani hivi sasa mimi sikumuelewa. sina maana mbaya lakini kutu kinachonifanya niwe na dukuduku lazima nikiseme...kwasababu kwa kuongea kauli ile...
  8. Mwana wa Mungu

    Ukimwi, banzoka na kupoteza tumaini la maisha kwa wanawake!

    Najua niko ambiguous, lakini nilitaka iwe hivyohivyo! nilishawai kuweka contribution ya post hapa, mmoja akaniomba ile post niiundie thread kwasababu aliona ina mafundisho yanayoweza kuwasaidia wengi, na pia, ni kitu cha kweli from original source. the story goes on like that: Nilishawai...
  9. Mwana wa Mungu

    Maziwa ya soya na ya ng'ombe yapi bora?

    WAKUU, kwenu ninyi madaktari na wasomi wengine, hivi maziwa ya ng'ombe na ya soya, yapi yana virutubisho vingi zaidi, tangu nianze kunywa maziwa ya soya, yale ya ng'ombe naona kama siyapendi vile...na afya yangu naona safi zaidi. wataalam mnasemaje kuhusu hili? point of correction! namaanisha...
  10. Mwana wa Mungu

    Wabunge wanasemaje kuhusu Maji ya ziwa victoria kutokana na msimamo wa Misri?

    Wakubwa, sisi wengine hatupo hapo bongo kwa sasa, kutokana na kazi zetu. Nilikuwa naomba kuuliza, hivi bunge la tz linakaa lini? na kama tayari, WABUNGE WANALIONGELEAJE SUALA LA TZ KUTUMIA MAJI YA ZIWA VICTORIA, kutokana na msimamo wa Misri? tunataka kuwasikia wabunge wakiongea hili. na tunataka...
  11. Mwana wa Mungu

    JK anafahamu vizuri neno "Masoko ya Mitaji?"

    Jamani, hivi JK amesomea uchumi kweli, mbona hana akili? siku zote akiongelea mambo ya kiuchumi huwa anaboronga mbele za watu na kututilia aibu. Sasa jana anaposema kuwa kwenye soko la Africa, ame include transferability ya masoko ya mitaji, halafu akaeleza kuwa, sasa wakenya au watanzania...
  12. Mwana wa Mungu

    Nataka kujifunza kitaliano hapa Dar,

    Wakubwa, nimesumbuka sana kuongea na wataliano kwenye makampuni yangu ya utalii hapa Arusha. kwa sasa nimehamia hapa bongo ya Daslam. nataka kusoma kitaliano kidogo, naombeni ushauri, ni sehemu gani bora kuliko zote naweza kujifunza kitaliano walau kwa miezi mitatu hivi. nashukuru wakubwa. Mungu...
  13. Mwana wa Mungu

    Tukusanyike kuonyesha uwingi wetu: Sheikh

    Jamani, nilikuwa namsikiliza shehe mmoja hivi wa mkoa wa Dar alipokuwa anawahamasisha waislam wakusanyike mnazimmoja, aliwaambia kuwa, inabidi wakusanyike ili waonyeshe uwingi wao. akiwa na maana, waislam ni wengi kuliko wakristo. plili, kwenye waraka wa waislam, wamesema kuwa, Tanzania ni nchi...
  14. Mwana wa Mungu

    Condom za hot zina vitobo

    Kondom za hot zilizopigwa marufuku kenya na zambia, zinauzwa hapa tz. nimeona kwenye taarifa ya habari leo asubuhi. mimi sijawahi kutumia kondom, kwasababu sihitaji, nina mke na watoto wetu manake. sasa kazi kwenu washabiki wa condoms, kwasababu kama mlishatumia, nasikia zina vitobo...
  15. Mwana wa Mungu

    Vita vya Kagera tulipigana na Libya (Gadafi)

    Nafikiri watu wengi hapa mnakumbuka vita vya Kagera. wengi walijua tulikuwa tunampiga nduli idi amini peke yake. ila kwa wale wanaokumbuka, Gadafi ndo aliyetuma majeshi toka Libya, ambayo tulikuja kuyanyuka, nakumbuka miaka ile wanajeshi wengine walifungwa vitambaa wakapelekwa hadi kule kwa...
  16. Mwana wa Mungu

    Help me please, msaada na ushauri!

    Jamanieee, nasema toka moyoni kabisa, sisemei kwa unafiki. kuna tatizo hapa. DADA ZANGU WAWILI wameolewa kwa waislam. wote wanaishi hapa hapa dar, na wamezaa nao watoto zaidi ya watatu kila mtu. nawapenda sana watoto wale, shemeji zangu na dada zangu tunashirikiana vizuri tu. HIVI MAHAKAMA YA...
  17. Mwana wa Mungu

    key za laptop hazikliki jamanii, msaada tutani

    wajameniee, ninayo laptop yangu, nafanyia kazi kila siku, lakini chaajabu karibia wiki moja, key zake haziklick, hivyo nashindwa kuandika. hivi nifanye nini ili key za keyboard ya laptop ifanye kazi tena? je, kuna bandia naweza weka? sina uwezo kuifungua. msaada kwa ushauri nifanyeje, au kama...
  18. Mwana wa Mungu

    Uganda should change her transport route to Tz

    Jamanie, why not Uganda change the route to Tanzania, I think this is a very good opportunity for Tz to modify its roads and if possible a railway so that in stead of Kenyans taking the railway as a weapon to Uganda, they can now be free to pass their goods kupitia Kenya au Tz. Museven, till...
  19. Mwana wa Mungu

    Mawakili Kutetea Mafisadi na Uzalendo

    Jamani, hivi kwanini watz wengine hawaonekani kuwapinga mafisadi? nikianza na Game theory aliyeko humu ndani, nakuja kwa sophia simba yule anayejifanya kusali makanisa ya kilokole kumbe anawaaibisha walokole bure, mkuchika na kikwete? Nikianza na kikwete, kwanini anapata kigugumizi...
  20. Mwana wa Mungu

    mtoto aliyeuawa, njaa,umasikini na frustration ndo chanzo.

    Jamani, mtoto aliyepigwa na baba yake kule Musoma hadi kufa kwasababu ameiba mayai ya shs.300, ni kitendo cha ajabu. wengi wamerespond kwenye hii kitu kuwa, ni kwasababu wakurya ndio tabia yao kupiga. Mimi nimekuja na jicho la tofauti, MTOTO YULE ALIIBA KWASABABU ALIKUWA NA NJAA. Baba yake si...
Back
Top Bottom