Topic unachagua mwenyewe..tuliomba direct chuo na utumishi walokuwapo kusimamia tu ila oral wanakua wale doctors ndo wanauliza maswali..hr na secretary pia academic wa chuo husika anakuwapo.Panel ilikua na watu 7 na tuliitwa watano tu.Walianza na maswali general after that nkaona umeletwa...
Nliwahi kufanya udom..written ilikua research na pia kuandika topic ktk masomo husika.....oral unapewa nafasi ya kufundisha topic unayochagua mbele ya panel umeweka kabisa na ubao kama lecture.
Vipi kuhusu fao la ukosefu wa ajira psssf kwa mtu aloachishwa kazi baada ya kuchangia miezi 14 na ana mwaka tangu aachishwe ila sasa Ndo anataka kufuatilia.Bado hana ajira nyingine.Msaada wadau.
Hujaelewa nlichomaanisha,,soma vizuri post nloikosoa,alikua anamaanisha Mzumbe kuna baadhi ya hizo core course 16 zilizoorodheshwa LST kua hawasomi na ndo nlichopinga,ambao wanaingia LST wanasoma course zote wote kwa pamoja kama ulivosoma so nlichoandika hakuna uongo ila hukuelewa nlikua...
Mkuu fanya utafiti kabla ya kuandika vitu ukapotosha umma,,alokwambia Mzumbe hawasomi core course 16 zote zilizoorodheshwa law school ni nani? core course zote 16 Mzumbe wanasoma na mpaka sasa wapo waloingia cohort ya 23 na hawapaswi kusoma hizo core course upya.
Vigezo vya kuomba mkopo kwa wanafunzi wa Law School of Tanzania ni shida asee, pia HESLB wameondoa meals and accommodation allowance,pia field practical allowance kwa wanufaika wa mkopo Law School wakati mwaka jana walikua wakitoa mkopo katika hayo masuala hivyo yabidi hilo suala liangaliwe upya.
Ila mkuu course nyingi za arts hua ni non priority course eg LAW ila baadhi ya watu wamekua wakiomba na kupata tena kuna ambao wanalipiwa hadi asilimia 100 kutegemea na vigezo alivonavyo.
Kwa wale wa arts kama una vigezo vinginevyo usisite kuomba(kwa mfano yatima usiejiweza na una uthibitisho n.k) kwani course nyingi za arts si mwaka huu tu ndio zimekua non priority ila baadhi ya watu wamekua wakiomba na kupata mkopo hata bila kutumia njia zisizo halali hivyo inategemea,hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.