Search results

  1. G

    Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

    Dawa ya twiga ni dawa ya kwenye pamba ni kali sana kunguni hawawezi kustahimili, lakini mimi nili experience ikiwapiga hiyo wanakimbilia darini na kwenye taa
  2. G

    Je, Aga Khan Sea View, ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa Serikali tu?

    Charges zao pale sea view ni kubwa na NHIF hawako tayari kulipia na kuepusha migogoro hawapokei NHIF sio hao tu hata Saifee pale karibu na namanga nao hawataki NHIF na ishu ni swala la malipo hao jamaa ni wagumu kulipa
  3. G

    Rais Samia kufanya ziara ya Kiserikali nchini Uganda kwa siku mbili

    si ajabu miaka hii kirusi kipya cha covid kikaibukia tz maana itakuwa combination za variants nyingi zilizokusanywa nje
  4. G

    Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

    hahahaha van damme bwana ngono kama diamond
  5. G

    Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

    hili jina toka enzi za msoga lilikuwa halikosekani kwenye misafara ya nje
  6. G

    Butiama: Misa ya Maandalizi ya kumtangaza Julius K. Nyerere kuwa Mwenye Heri yafanyika kuelekea kuwa Mtakatifu Nyerere!

    mwalimu pamoja na ukatoliki wake ila alikuwa mwamini mizimu ya kwao, uzuri Mungu apokei rushwa michakato ya kibinadamu haiwezi kumfanya Mungu amtoe huko kuzimu alipomtupa.
  7. G

    Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

    tatizo aina ya misimamo yake haitakiwi kwa sasa, kwa hii trend inavyoenda inatakiwa kifanyike kila kinachowezekana kuhakikisha mtu anabaki magogoni kwa gharama yoyote ile regardless what hata kama ni kwa kuweka kila oil chafu kwenye position muhimu ili ndoto za mtu na genge fulani zitimie tu
  8. G

    Siri: Kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde

    ULAFI WA FEDHA "SADAKA", UCHU WA MADARAKA, MAJUNGU, VISASI NA HILA CHANZO CHA MIGOGORO INAYOIDHOOFISHA MAKANISA YA KIPROTESTANT HUSUSANI KKKT. JE NINI KIFANYIKE? Na Remmy Cameroon Nimesema mara si moja na leo narejea tena kusema hili peupe. Zipo sababu nyingi sana za migogoro ndani ya Kanisa...
  9. G

    Shamsi Vuai Nahodha si aliwahi kuwa Waziri Kiongozi Zanzibar?

    hata Malecela alikuwa anataka kufia kwenye ubunge mpaka kibajaji alipopindua meza japokuwa alikuwa waziri mkuu
  10. G

    Tarehe halisi ya Ijumaa Kuu mwaka huu ni ipi hasa kati ya Aprili 8 na 15?

    sawa mkuu ila ukihesabu kuanzia jumatano ya majivu tarehe 2/3/2022 siku ya arobaini inaangukia tarehe 8/4/2022 na pasaka yake 10. kwa tarehe ulizosema ni zaidi ya siku 40
  11. G

    Tarehe halisi ya Ijumaa Kuu mwaka huu ni ipi hasa kati ya Aprili 8 na 15?

    Wakuu heshima mbele, Binafsi nilikuwa nataka kujiridhisha kwa usahihi zaidi ijumaa kuu ya mwaka huu na pasaka yake itakuwa tarehe ngapi hasa. Ikizingatia jumatano ya majivu ilianza tarehe 2/3/2022 na kwa mfumo uliozoeleka wa mfungo wa kwaresima huwa ni siku 40 na kwa hesabu hiyo ya siku...
  12. G

    Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

    Pale mbezi stand ya daladala kuna watu wanazinywa hizo mpaka wanatia huruma hasa wale wapiga debe wa mabus makubwa wamedhoofu sana na sura zimechakaa hasa
  13. G

    Sumu gani inaua mbwa au paka haraka?

    mbwa hafi kwa sumu ya panya hata mie binafsi niliishia kwenda kumtupa mbali hakurudi tena mpaka tukahisi wauza mishikaki ya magumashi wamelala nae mbele
  14. G

    Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    allys mpaka wa leo yupo katika game njia za mwanza na simiyu na ana gari pamba tu za karoti
  15. G

    Ni kwanini Wazungu huvaa kishamba ilihali wana hela?

    Nakumbuka niliwahi kufanya kazi na kampuni ya wachina kubwa tu supplier wakubwa wa tiles hapa tz na africa mashariki laikini ajabu sisi wabongo tunaolipwa mshahara wa laki tatu mchana tunaagiza chipsi kuku, birirani lakini mabosi wachina wanakula ndizi mbivu au nyanya tu
  16. G

    Goba - Mbezi kuwa zaidi ya Sinza, Tabata

    hata kipande cha goba kwenda tegeta kupitia madale kimejengeka vema sana kimakazi na biashara
  17. G

    Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Niliwahi sikia miongoni mwa sababu zilizokuwa zinakwamisha ujenzi wa barabara ya kusini tokea dsm ni haya mambo, wakandarasi walipata nayo tabu sana na kingine kulikuwa na mradi wa kuongeza kina cha bandari ya lindi na kwenyewe mauzauza yakakwamisha
  18. G

    Bankers wenzangu tupeane updates na changamoto kwenye banking industry yetu

    Loss inatakiwa ulipe palepale maana pesa ya benki huwa hailali nje kwa sababu za auditing, kama huna unakopa kwa mtu.
Back
Top Bottom