Search results

  1. LIKUD

    Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe. Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
  2. LIKUD

    Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

    Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu. Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe. Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu. Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
  3. LIKUD

    Andiko lisemalo " Kila nafsi itaonja mauti" ni swali na sio jawabu. Wachina wameanza kujibu. Babu zetu walikaribia kabisa kupata jawabu

    Sisi wafuasi wa dini za kiafrika tuna amini kwamba Mwenyezi Mungu (Chanzo cha vitu vyote ) alituumba wana wa dunia na kutuweka kwenye sayari ya dunia ili tuweze kujibu maswali mbalimbali ambayo yeye Mwenyezi Mungu ametuuliza. Moja kati ya swali ambalo Mungu ametuuliza ni " Tutafanya nini ili...
  4. LIKUD

    Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
  5. LIKUD

    Wanaume mlio oa na mlio na watoto wa kike wakubwa ( mabinti vigori/li) Hivi jina " Dullah" liliwakosea nini mbona mnali demonize hivyo?

    Kosa jamaa aambiwe " Kaka mkeo alikuwa anaongea na Dullah" yani jamaa hata kama hamfahamu huyo Dullah basi atawaza tu kwamba huyo Dullah anatembea na mkewe. Atagombana na mkewe na atakuwekea jealousy wewe Dullah. Unashangaa tu unakutana na mtu barabarani ana kuangalia kwa chuki unabaki...
  6. LIKUD

    Wimbo "Mtoto wa Geti kali" wa Inspector Haroun haukuwa kwa ajili ya mwanamke (haukumlenga mwanamke)

    Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume. Wimbo huo ulikuwa una appeal zaidi na nafsi na fantasy za makundi ya watu nilio wataja hapo juu yani watoto wa...
  7. LIKUD

    Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

    Motsepe ametia aibu soka la Afrika. Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed. Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal" Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema...
  8. LIKUD

    Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
  9. LIKUD

    Ngoma ngumu kwa Mamelody, washusha kiingilio. Injinia awashika pabaya

    Mwanzoni Mamelody waliweka kiingilio Rands 20 . Then Injinia wa mpira, Hersi Said akatangaza kiingilio bure kwa kila shabiki wa Yanga atakae ingia uwanjani loftus kuwaspoti Yanga ( umewekwa utaratibu wa kuwalipia mashabiki wote wa Yanga watakao ingia uwanjani leo) Mamelody wametangaza...
  10. LIKUD

    Shabiki mnazi wa Mamelody aingia ubaridi. Aomba mechi iahirishwe

    Huyu ni shabiki mnazi wa Masandawana. Ona alicho kiandika hapa
  11. LIKUD

    Kiroho zaidi: Wazee mliopewa mechi ya Yanga kumbukeni sfaili hii ya ulozi ya kubadilisha jina la mpinzani

    Hii ni kanuni katika uchawi ambayo inatumika toka enzi za Pontyo wa Pilato. Ni hivi unapo ingia Vitani na mshindani mwenye nguvu unatakiwa kwanza kumbadilisha jina lake. Usidhindane na mshindani wako mwenye nguvu kwa kumtaja jina lake ambalo of course lina nguvu na historia. During Lucifer's...
  12. LIKUD

    Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

    Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko. Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc. But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa...
  13. LIKUD

    Kanye West: Prayers are not working

    Alitoa wimbo unaitwa " Jesus Walks" baadae akaanzisha kundi la muziki wa injili na akawa anafanya kitu kama huduma hivi kiasi cha kupelekea mashabiki wake kuanza kumuita " Bishop Kanye" Leo kaamua kufunguka ukweli wa moyoni. Anasema maombi kwa Mungu hayafanyi kazi ama kwa lugha nyingine ana...
  14. LIKUD

    Azizi Ki anavyomu-expose Mayele

    Aziz Ki sio striker ni kiungo ana goli kumi na tatu hadi muda huu na ligi ndo kwanza bado ina mechi za kutosha. Kama ataendelea na consistency hii ( of which I blv he will) anaweza kumaliza na goli zaidi ya 20. Mayele misimu yake yote miwili hakuwahi kufikisha goli 20 aliishia goli kumi na...
  15. LIKUD

    Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

    Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu. Kwani ibada ya sanamu nini? Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini? Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo...
  16. LIKUD

    Huyu mkushi kauliza swali fikirishi sana

    Anaitwa Allawi Mahamoud ni moja kati ya members wa movement ya wakushi yani vijana wa kiafrika wanao challenge mafundisho ya kiimani ya dini zilizo LETWA Afrika kwa majahazi. Ameuliza " Ni nani ananufaika na uwepo wetu duniani?"
  17. LIKUD

    Kipimo cha kujua kama mwanamke ana akili ama hana akili kwa kutazama mapishi yake

    Kama mwanamke anapika chakula anajaza chumvi nyingi kwenye mboga basi kuna uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo akawa na akili ndogo ama hana akili kabisa. Na kama chumvi inayo tumika ni chumvi hii ya kemikali ( ya dukani) basi uwezekano wa mwanamke huyo kutokuwa na akili unakuwa Mara dufu...
  18. LIKUD

    Leo nimejuta kupanda daladala

    Katikati ya safari si akapanda jamaa mmoja akawa anaongea kwenye simu na mwenzake. Namnukuu ( nukuu yangu ni baada ya jamaa kuongea kwenye simu kuhusu mada hiyo kwa kama dakika 20 hivi) " Basi bana yule binti wangu wa kufikia Naa ambae yupo form four mwaka huu akawa amepotea nyumbani. Siku...
Back
Top Bottom