Hivi unakijua unacho kisema mkuu? Ukishasema Mungu anaweza kukasirika maana yake tayari unakuwa umemtoa kwenye uungu. Kwanini? Kwa sababu HASIRA = A VERY STRONG DISLIKE OR HATRAGE OVER A THING + DIS APPOINTMENT.
Ili nikukasirikie ni lazima nisiwe na foreknowledge ya kile utakacho enda...
Mimi sijasikia clip ya Dr Sule ila kwa Context ya Kiislam hawezi kumlingalisha/Kumfananisha Mungu na kitu chochote Kwani sifa za Mungu wa Waislam ni kama zifuatazo;
1 Ni Mungu mmoja tu na hana mshirika
2. Hajazaa wala hajazaliwa
3. Hana mwanzo wala hana Mwisho
4. Hanafani na kitu chochote...
Ur very wrong mkuu Mwenyezi Mungu amemuumba mwanadamu ambae amekamilika kwa Asilimia mia wala hana mapungufu yoyote yani kama unavyo ona jinsi lilivyo kamilika jua na mfumo wake.
Kama mwanadamu angekuwa dhaifu kama unavyo taka kuaminisha watu wewe kawekewa jehanamu ya nini sasa wakati yeye ni...
Hivi mtoto ambae amezaliwa mama ake akafa wakati anazaliwa then mtoto huyo akakuzwa kwa maziwa ya ng'ombe unadhani mtoto huyo akiwa mkubwa akaujua ukweli atamuona ngombe ni nani kwake kama sio Mama? So kwa wahindi ngombe ni mama ndio maana wana muabudu kwa mujibu wa imani yao Adam wao alikuzwa...
Ukisema binadamu ni kiumbe dhaifu tafsiri ni kwamba unasema Mungu ndjo dhaifu kwa sababu yeye ndio Kamuumba huyo mwanadamu.
Ukweli ni kwamba Mwenyezi Mungu hajawahi kuumba kiumbe dhaifu wala hawezi kuumba kiumbe ambacho hakijakamilika
Ukisema mwanamke ni kiumbe dhaifu maana yake ni kwamba alie muumba ndio dhaifu kwa sababu huyo mwanamke hajajiumba yeye mwenyewe bali amemumbwa na Mungu.
Mwenyezi Mungu hajawahi kuumba kitu dhaifu wala kitu ambacho hakijakamilika.
Ndio nashangaa namimi. Wakati hata ndani ya Qur'aan mwanamke kapewa hadhi ya juu sana hadi kapewa sura Suratul Maryam. Mtume Muhammad ( pbuh) kauliza na maswahaba wake " Tufanye nini ewe Mtume wa Allah ili tuweze kufika juu mbinguni.
Majibu ya Mtume;
1. Mpende Mama ako.
2. Mpende Mama ako...
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu.
Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe.
Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.