Search results

  1. Hussein Massanza

    Kumbe Uwanja wa Gwambina sasa unaitwa Fountain Gate Stadium? Mbona kimya kimya?

    Taarifa yake ilitoka muda tu. Labda ilikupita. Ni kweli tuliununua uwanja wa Gwambina na hostel zake zote kwa ajili ya kuutumia kwenye programu zetu za vijana na timu ya wanawake. Kwa sasa umetufaa kuutumia kwa senior team kwenye maandalizi ya mechi za Ligi baada ya CCM Liti kufungiwa.
  2. Hussein Massanza

    Umeelewa nini kuhusu hii picha yangu

    Mambo rafiki yangu wa enzi na enzi
  3. Hussein Massanza

    Hussein Massanza, msemaji wa Singida Fountain Gate FC umepata wapi uhalali wa kuropoka hili?

    Salama ndugu yangu? Waambie tu waanike hizo financial statements zao kama hawadaiwi naacha kazi na nichapwe viboko 100 hadharani wiki nzima!
  4. Hussein Massanza

    Dirisha Dogo: Nawakumbusha, usajili sio fasheni..

    Watu wa Soka, Leo nimewakumbuka humu. Bila shaka mko poa! Dirisha Dogo limeshafunguliwa na timu zote ziko mbio mbio kufanya maboresho kwenye vikosi vyao. Sio jambo baya lakini sio shurti. Kwa mfano Singida Fountain Gate ni miongoni mwa timu ambazo tulifanya usajili wa kiufundi sana Dirisha...
  5. Hussein Massanza

    Singida Fountain Gate wanawatuhumu TFF na Bodi ya Ligi kwa kupewa refa huyu

    Duh hili bandiko limefika hadi huku? Nimechelewa kuona. Ndugu WanaJF, Kwanza niwashukuru kwa maoni na mjadala huu, hata hivyo nasikitika kuona kuna kurasa feki zinatumia jina la timu yetu kuchapisha taarifa za upotoshaji na kusababisha taharuki. Kwa mfano ukurasa huu wa Facebook sio wetu na...
  6. Hussein Massanza

    Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Mimi kazi yangu ni kueleza ukweli na kuondoa upotoshaji unaoharibu image ya klabu. Wewe kazi yako ni kupiga blah blah mitandaoni kufurahisha nafsi. Sina majibu ya kukufurahisha mkuu na sipo hapa kukulazimisha chochote!
  7. Hussein Massanza

    Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Wewe ushaharibika na porojo za siasa. Nakusamehe bure.
  8. Hussein Massanza

    Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Sasa mbona unaleta blah blah na personal attacks? Haya yote ni marudio, bado hakuna ushahidi wa haya yaliyosemwa na kocha ndio maana anakuwa muoga wa kuweka claims zake kwenye maandishi na kutuma kwa uongozi. Ni media propagandist kama wewe.
  9. Hussein Massanza

    Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Basi tufanye timu ni ya LAKI SI PESA! Hapo vipi?
  10. Hussein Massanza

    Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Wewe umeandika kwa mihemko na hujui hata unachokitetea. 1. Hatujawahi kusema popote kuwa ameenda kutatua matatizo ya kifamilia. Hii umeitoa wapi? 2. Unauita ukweli kwa ushahidi upi? Au kitu akisema mzungu kwako ndio ukweli? Hasara. 3. Bado unaandika kikasuku kwa kurudia maneno ya tuhuma yasiyo...
  11. Hussein Massanza

    Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Mmiliki wa timu anafahamika ni Japhet Makau, Mkurugenzi wa Fountain Gate. Ndio sababu hata timu imebadili umiliki wa jina na kuitwa Singida Fountain Gate. Kumtaja mtu mwingine ni katika kutafuta attention tu nadhani ndio sababu akakimbilia kwenye vyombo vya habari. He is not stupid!
  12. Hussein Massanza

    Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Hapo hakuna jibu hata moja. Tumechagua kukaa kimya!
  13. Hussein Massanza

    Kocha Ernest Middendorp: Nimeondoka Singida Fountain Gate kwa kuwa viongozi waliingilia majukumu yangu kwa kiwango kikubwa

    Tumia akili yako vizuri mkuu Tate. Usikubali kuaminishwa vitu kizembe hivyo! https://www.jamiiforums.com/threads/sakata-la-kocha-singida-tumechagua-kukaa-kimya-tuna-kazi-kubwa-mbele-yetu.2141221/
  14. Hussein Massanza

    Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Salaam, Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini. Kwa upande wa klabu bado hatujasema chochote, taarifa yetu ya awali tulitoa kuhusiana na yeye kuondoka kambini kwa sababu...
  15. Hussein Massanza

    Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

    Zinatoka mara moja tu kwa mwaka baada ya tathmini kufanyika. Na ukifuatilia, wote wanaopewa wanastahili. Mfano siku moja akipewa msanii Diamond Platnumz utaona hastahili? Binafsi naona ni jambo jema kuwatambua watu wanaofanya mambo makubwa kwenye jamii na kuwapa heshima.
Back
Top Bottom