Search results

  1. C

    Gesi ya Mtwara bado ni kizungumkuti na mwiba mchungu, Inatoka au haitoki?

    wanaoleta utani waje mtwara waone mafisadi wanavyopishana kuja kushuhudia dhahama iliyopo huko msimbati.ardhi inadidimia na bahari inafuata mahali penye mitambo ya gesi.ccm mmenoa .
  2. C

    Vurugu kubwa zatokea Kariakoo, Dar

    Wakazi wa mtwara tunapanda magar tunakuja kuwasaidia komaa nao mpaka jion tutakuwa tmefka.musichokee tatzo leo nyie watu wa dar ni waoga sana...tukifka ngoma mpaka magogoni
  3. C

    Msaada Wanajamvi, Ndoa inataka Kuota Mbawa

    Nadhan una hofu na yeye au haumwamini
  4. C

    Mtoto wa miaka 9 atisha kwa sarakasi mpaka rais Kagame akamuita Rwanda

    Ni kweli freemasons ukiwa na kiwanja na vifaa vyote vya ujenzi wa nyumba wanakujengea bila malipo yeyote?na wanapatikana wapi?
  5. C

    Zijue sababu za wanaume, kupendelea wanawake wenye umri mdogo

    Na hao mashuga mami wanaochukua serengeti boi wanawafata kwa sababu sehemu zao zmebana?
  6. C

    Madawa ya Kulevya: Viwanja vya Ndege vya Dar na Kilimanjaro vyamchefua Kikwete kuwa uchochoro!

    Riz one kawa mbunge anajua sasa ataacha kaz yake ya zamani
  7. C

    Je, unajua sheria za kuvaa tai?

    Usikimbie mvua!na ukikutana na mtu anayekudai mlipe asije akukunyonga
  8. C

    Huduma za benki ya NBC mtwara zinakera

    Takribani miezi miwili sasa huduma za kibenki ya NBC tawi la mtwara zimekuwa ni kero na usumbufu mkubwa kwa sisi wateja wao tunaotegemea huduma toka kwao.Lakini kwa mshangao mkubwa wakati hali hii ikiendelea hamna taarifa au jitihada zozote zinazofanywa ili kutatua hali hii. Unaweza ukafka ndani...
  9. C

    Mtwara kwachafuka tena

    Kwa mara nyingine tena asubuhi hii mji wa mtwara umekumbwa na milipuko ya mabomu kuwatawanya madereva pikipiki waliokuwa wanaandamana kupinga unyanyasaji unaodaiwa kufanywa na polisi. Wanajeshi wameanza kushika doria katika maeneo kadhaa ya mji huu huku maduka ktk soko kuu yakiwa yamefungwa...
  10. C

    Mtwara:nyumba ya diwani yapigwa mnada yanunuliwa na mbunge

    Nyumba ya diwani wa kata ya likonde iliyopo manispaa ya mtwara mjini,bwana mohsin komba(ccm) jana ilipigwa mnada na benki ya crdb.Hatua ya kupigwa mnada nyumba io inatokana na kudaiwa na benk io na yeye kushindwa kurudisha deni alilokuwa anadaiwa.Katika hali iliyowashangaza wengi wakati nyumba...
  11. C

    Rais Kikwete Ziarani Japani

    kwani mugabe wananchi wake hawana vyoo?
  12. C

    Rais Kikwete Ziarani Japani

    Hivi ni kweli our prezdaa ni freemasons?
  13. C

    Ajali ya Treni Moshi bar- Ukonga DSM wawili wamekufa hapo hapo!

    Marehemu anaitwa elias daniel kitundu ni mwajiriwa wa wizara ya viwanda na biashara makao makuu
  14. C

    Hali ya Mtwara mchana huu

    huku mtwara ndg yangu umeme haukatiki
  15. C

    Waziri Nchimbi: Mtwara kesho kutakuwa salama na shughuli zote zitaendelea kama kawaida!

    Taarifa za uhakika zinasema kuwa kuna difenda 15 zimetoka dar usiku huu na zitaingia mtwara usiku huu ili kuja kuongeza nguvu kwa wenzao wa mtwara.lakini mbona hali hio haijafikia kama ambavyo polis wanavyofikiria?inaonekana wanataka kutumia nguvu nyingi bila sababu. Kwa wale walio mbali na...
  16. C

    Ujumbe wa wananchi wa Mtwara kwa Rais kikwete juu ya sakata la gas.

    Lakini jamani io bajeti ya wizara ya nishati na madini mbona hausomwi tarehe 17.5.2013?soma habari leo utaona.inasomwa tarehe 22.5.2013
  17. C

    Mtwara:Mtu mmoja auwa na polisi mtimbwilimbwi.

    Mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake ameuwawa kwa kupigwa na risasi na polisi.tukio limetokea leo saa kumi jioni baada ya wanakijiji kufunga barabara kwa magogo wakidai malipo yao ya pili ya korosho hatua iliyomlazimu mkuu wa wilaya kwenda kuzungumza nao.baada ya mkuu wa wilaya kuondoka...
  18. C

    Nyumba inauzwa ipo mtwara

    Ni kweli nimechindwa kuweka picha lkn ntwara nyumba kwa bei io ni ndogo kulko unavyofkiria. Fika ujionee nyumba mpya haina hata miaka kumi
Back
Top Bottom