Search results

  1. njundelekajo

    Uandishi wa makala kwenye magazeti

    Wakati mwingine ubora au kinachoitwa udhaifu wa mwandishi husababishwa na mtazamo wa msomaji.Kwa mfano Shaniki wa Yanga ni mara chache sana kuona makala inayoisifia Simba haina makosa...Hivyo hivyo kwa mwanachama wa ccm anayesoma makala inayohusu Chadema
  2. njundelekajo

    Twendendeni AFCON na singeli yetu.

    Yaaan mtu akijifanya hajaelewa mada alafu anabaki kukosoa grama kuliko mantiki ya muandishi anaboa zaidi.
  3. njundelekajo

    Karibu act wazalendo,kwaheri chadema/ukawa

    Wiki iliyopita mmoja wa manguli wa siasa za upinzani Zanzibar ,na aliyekua katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharifu Hamad alihamia chama cha Act wazalendo . Maalim Seif alihamia chama hiko baada ya mahakama kumpa ushindi hasimu wake Prof Ibrahimu Haruna Lipumba na kuhitimisha...
  4. njundelekajo

    Twendendeni AFCON na singeli yetu.

    Ni mwezi huu klabu ya Simba imefanikiwa kuingia robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika,timu ya taifa imekata tiketi ya kushiriki mashindano ya mataifa ya Afrika na bondia mtanzania Hassan Mwakinyo amemdunda bondia Sergio Eduardo Gonzalez nchini Kenya kwa Knockout(KO) round ya...
  5. njundelekajo

    Ruge Mutahaba ametufundisha kujitafuta

    KIFO CHA RUGE MUTAHABA KITUFUNDISHE KUJITAFUTA. Mimi ni mmoja kati ya mamilioni ya watanzania waliofatilia kwa ukaribu sana mazishi ya aliyekua mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba aliyefariki February 26,2019. Katika siku tano nilizofatilia mazishi yake...
  6. njundelekajo

    Si dhambi tukiwa na aina yetu ya demokrasia!

    KWA NINI TUSIWE NA AINA YETU YA DEMOKRASIA? Tafsiri ya demokrasia kama ilivyotolewa na Abraham Lincoln kuwa ni utawala wa watu kwa ajili ya watu inaukakasi hasa kama watu wengi ni wajinga basi ni kuruhusu wajinga kuchaguana. Lakini demokrasia ikitafsiriwa kama uwepo wa uhuru wa watu ,haki za...
  7. njundelekajo

    UTANIKUMBUKA

    1.UTANIKUMBUKA 1, Nikazibeba dhihaka, kukusitiri na chuki. Nikaitwa jina paka ,na mengi sana matusi. Lawama nikajivika, nikazidisha juhudi. Umenisahau Leo, kesho utanikumbuka . 2. Kwa ahadi kemkem,wewe ndiwe mkombozi. Utaleta chemchem...
  8. njundelekajo

    Law of Substitution na faida zake kwenye maisha

    "THE LAW OF SUBSTITUTION " Vyura sita walikua wanatembea kwa kuruka ruka kwenye gogo kubwa lililowekwa juu ya shimo lilichimbwa na binadamu.Bahati mbaya vyura wawili wakatumbukia kwenye shimo hilo refu lililoandaliwa kwa ajili ya kutengenezea choo. Vyura wa nne waliobaki wakasikitika sana na...
  9. njundelekajo

    Ukiwa huna maono ya kisiasa utabeza hata viongozi wa Dini

    UKIWA HUNA MAONO YA KISIASA UTABEZA HATA VIONGOZI WA DINI Chama cha siasa ni muungano wa watu wanaotafuta mamlaka katika dola na hasa serikali kwa kusudi la kutekeleza shabaha za kisiasa au za kifalsafa pamoja na faida kwa ajili ya vikundi flani au zao binafsi. Ili kufikia lengo hilo la...
  10. njundelekajo

    Mfikishieni Mwinyi Zahera

    Kenya Gormahia ligi ina mechezo 8.Tanzania mech 22 mpaka sasa....Taja wachezaji iliyotoa kuthibisha ubora wake. Tuna ligi maarufu sio bora
  11. njundelekajo

    Mfikishieni Mwinyi Zahera

    So tafsiri yake ligi yetu imemtoa Hary Keane?
  12. njundelekajo

    Mfikishieni Mwinyi Zahera

    MWAMBIENI MWINYI ZAHERA,KUFUNGWA KWA YANGA HAKUJATOKANA NA UCHOVU. Nimemsikia kocha wa Yanga Mkongomani Mwinyi Zahera akizungumza na waandishi wahabari 22 Januari ,2019 baada ya timu yake kufungwa magoli 3-2 na timu ya Kariobang Shork toka nchini Kenya kwenye mashindano yanayoendelea...
  13. njundelekajo

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    MAHOJIANO YA TUNDU LISSU BBC DHIDI YA DHANA KUHUSU UKWELI Januari 21 mwaka huu ,Mbunge wa Singida mashariki alihojiwa katika kipindi maarufu kinachorushwa na Shirika la habari la Uingereza BBC idhaa ya Kiingerezwa cha Hard Talk. Katika mahojiano hayo mbunge huyo aliyepigwa risasi September...
  14. njundelekajo

    Ipo wapi ile bongofleva?

    IPO WAPI ILE BONGO FLEVA? Mpaka sasa mjadala mkali unaendelea kuhusu nani hasa aliyeupa jina la "bongo fleva"muziki wa kizazi kipya.Wengine wanamtaja mtangazaji mkongwe wa radio, Mike Mhagama kama mhasisi wa jina hili miaka ya tisini alipolitaja kwa mara ya kwanza. Lakini pia,lipo kundi...
  15. njundelekajo

    KONGWA NA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA.

    KONGWA KATIKA HISTORIA YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA. Kuna mambo mengi ya kusisimua ya harakati za kupigania uhuru wa nchi za Afrika labda hayajapata kabisa kusimuliwa au simulizi zake hazijapewa nafasi ya kutosha kulinganisha na ukubwa wa masimulizi hayo.Mfano kuvalishwa kwa baibui kwa Hayati...
  16. njundelekajo

    Mnatupa shida kuwaamini ingawa mioyo i-radhi

    ..TUNAPATA TABU KWAAMINI. Kamusi ya kiswahili imetoa tafsiri ya neno "unafiki" kuwa ni hali ya kujifanya kua rafiki au kutokua mkweli.Kwenye biblia unafiki umezungumzwa kwenye aya na sura nyingi ikiwepo Matayo 23:28 " Vivyo hivyo nanyi kwa nje mwaonekana watu wema na wenye haki bali ndani...
  17. njundelekajo

    Kama ningekuwa Freeman Mbowe...

    ...KAMA NINGEKUA FREEMAN ELIKAEL MBOWE... Ningechagua siku moja ya mwezi Januari 2019,ningeamka asubuhi sana siku hiyo kuliko kawaida yangu inaweza kua saa kumi na moja alfajiri hivi.Ningefanya mazoezi ya kuuweka sawa mwili wangu kwa muda wa dakika 30. Saa kumi na moja na nusu ingenikuta...
  18. njundelekajo

    Zitto Kabwe anavyoteseka na kivuli cha Tundu Lissu

    KIVULI CHA TUNDU ANTIPASY LISSU KINAVYOMTESA ZITTO ZUBERY KABWE. Wakati ule umri wake ukiwa hautoshi kikatiba kugombea urais Zitto alifanya siasa za kiungwana sana akijaribu kujenga hoja na ushawishi wa aina mbalimbali ndani na nje ya bunge. Bahati mbaya sana umri wake ulipotosha amekuta...
  19. njundelekajo

    Tukiwa wa kweli,tutavuka salama

    TUKIWA WAKWELI TUTAFIKA SALAMA Januari 14,2019 Mahakama ilitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na vyama vya upinzani kupinga muswada wa sheria ya marekebisho ya vyama vya siasa mwaka 2018. Muswada huo unaopingwa na vyama hivyo ulisomwa bungeni kwa mara ya kwanza Novemba 16 ,2019 unaonekana...
Back
Top Bottom