Kichwa cha habari hapo juu chajieleza wazi kabisa. Nilienda kuoa mke wangu kijijini kwetu Kafyofyo Kyela kisha tukaja hapa mjini Dar ninapoishi.
Awali sikuwahi kuishi na mke wangu nyumba moja hadi alipokuja hapa kwangu Dar na ndipo nilipo gundua mengi sana.
Mke wangu akienda msalani kujisaidia...
Natangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu.
Mchumba wangu na mm wote tunatoka kijiji cha Mwaya-Kyela ya vijijini.Baada ya kumaliza Chuo ndiyo nikaenda kijijini kumchumbia kisha mm nikarudi Dar kuendelea na kazi wkt taratibu za harusi...
Kulikuwa na bandiko lililo fikia hadi page 270 linalohusu matukio ya mechi zote za World Cup 2014!Mm na wenzangu tulikuwa tunaburudika kwa kuandika kile tunacho amini ndiyo kinatokea Brazil.Lkn ghafla topic hiyo imeondolewa bila sababu za msingi!
Nasema imeondolewa bila sababu za msingi sababu...
Mwenyekiti wa chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA)Jamal Emil Malinzi akizungumza na Wajumbe waliojitokeza katika mkutano huo wa Utekelezaji wa Chama cha Mpira wa Miguu (KRFA) Mkoa wa Kagera, Ambapo pia alizungumzia swala zima la kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Mkutano...
Mpira unanogeshwa na vitu 2 tu:kwanza ni umahiri wa teams zinazochuana dimbani na pili ni umahiri wa refa wa katikati na ma linesmen wake!Siku hizi marefa wetu ni hovyo hovyo tu!
Mimi naanza na Marefa HAWA za zamani walikuwa hodari sana na walimudu kazi zao:
Khasim Walele Chona-Mwanza
David...
Wadau!
Nipo kwenye maandalizi ya kuandikia assertion yangu binafsi kuhusu Tanzania:Political Empowerment in human services(Sub-section: Secretary Generals of First and Second largest parties in our National assembly).Nipo kwenye hatua za mwisho za kukusanya data nianze mchakato kamili.
Lkn...
Nimesoma ahadi hizi za Serikali kuwatuliza wana Mtwara kwenye vyombo vya habari;Mawaziri walio ambatana na PM Pinda wamesisitiza ahadi hizi baadhi zitatekelezwa kabla ya uchaguzi 2015:
Kujenga reli ya kuunganisha Mtwara-Mchuchuma-Liganga hadi Mbamba Bay
Kupanua kwa bandari ya Mtwara kuruhusu...
Akijibu hoja hiyo, kamishina wa NEC Profesa Chaligha alisema,"Kuhusu uandikishaji mpya wa wapigakura alisema jambo hilo haliwezekani kwa sasa na kusisitiza kuwa watakaoruhusiwa kupiga kura ni wale tu waliomo kwenye Daftari la mwaka 2010 na kusisitiza kuwa jambo hilo ni la kisheria"(Mwisho wa...
Majaji hawa 7 wa Mahakama ya Rufaa wakiongozwa na aliyekuwa Jaji Mkuu Augustino Ramadhan,akisaidiwa na majaji wenzake 6 ambao ni Eusebio Munuo, Januari Msofe, Benard Luanda, Mbarouk Mbarouk, Nathalia Kimaro na Sauda Mjasiri;hapo Juni 16, 2011 walikataa TZ isiwe na mgombea binafsi tena...
Hawezi kukata rufaa
""Mwanasheria wa NCCR Mageuzi, Dk Sengondo Mvungi alisema Kafulila hawezi kukata rufaa sehemu yoyote dhidi ya uamuzi wa kumfukuza uanachama kwa mujibu wa kanuni ya 7 (2) ya chama hicho.
Kanuni hiyo ya 7(2) ya nidhamu na usuluhishi sehemu ya (d) inaeleza kuwa, baada ya...
Haya ndiyo maelezo mapya ya Nape kuhusu ahadi yake kwetu ya kuwavua gamba mafisadi 3 vigogo ndani ya CCM ifikapo July 10;Nape alitamka maneno haya" hopeless" jana wakati anazungumza na wahariri wa magazeti ya Mwananchi Communication LTD.
Kuhusu watuhumiwa wa ufisadi na siku 90 walizopewa...
Wajumbe wanne wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), na maofisa wengine saba wa chama hicho akiwemo Mbunge wa Viti Maalum (Tabora), ambaye pia ni Katibu wa Wabunge wa CUF, Magdalena Sakaya, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Urambo mkoani Tabora kwa shtaka la...
Aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Justin Salakana, amefuta kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa sasa, Philemon Ndesamburo (Chadema) katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi.
Wakili wa Salakana, Elizabeth Minde, alimweleza...
Elizabeth Suleyman - Gazeti la Mwananchi
SERIKALI kupitia taasisi zake, imetumia zaidi ya Sh176 millioni, kugharimia salamu 217 za pongezi katika vyombo vya habari , utafiti wa shirika moja lisilokuwa la kiserikali umeonyesha.
Kwa mujibu wa taarifa ya shirika hilo la Sikaka kwa vyombo vya...
Serikali inakusudia kupelaka muswada ktk kikao kijacho cha Bunge ili kuongeza adhabu kwa watu wanaokutwa na makosa ya uchawi, ikiwamo kutozwa faini ya Sh1 milioni na kifungo jela.
Akichangia maoni yake, Mbunge wa Singida Kusini, Tundu Lisu, ambaye kitaaluma ni mwanasheria, alionyesha shaka...
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya UMMA(POAC) Mbunge Zitto Kabwe leo katupasha habari 2 za kusikitisha sana sis Watanzania;
Mosi;Tanzania lost USD 308m(Approx billion 450 in TZ shilling) as tax revenue from sale of Zain Africa assets in Tanzania to bhartel. Kasema wazi kuwa Source...
MWINJILISTI wa Kanisa la Pentekoste la Mto wa Mbu, Jackson John ambaye alikuwa mmoja kati ya waliojeruhiwa kwenye mapigano baina ya
waumini wa madhehebu ya kiislamu na kikristo yaliyotokea Februari 24 wilayani Monduli amefariki dunia.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na ndugu wa mwinjilisti...
Hata kwenye kampeni za kugombea U-Rais mwaka jana,mgombea wa nafasi hiyo kupitia CHADEMA Dr Slaa alikuwa akitusisitizia umuhimu wa Tanzania kuwa na serikali ndogo isiyozidi mawaziri 15 na kwa kweli mm binafsi nilikubaliana na yeye kwani kama utakuwa na baraza dogo la mawaziri ni dhahiri utaokoa...
Rais Dr Mohamed Shein
Makamu wa I wa Rais Maalim Seif Khatibu (CUF)
Makamu wa II wa Rais Balozi Seif Iddy
Katibu Mkuu Kiongozi Katibu Mkuu Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
Spika wa Bunge Mzee Kificho
Mkuu wa JKU Kanali Sudi Halj Khatibu
Mawaziri na Manaibu Mawaziri
Dr Mwinyihaji...
Source:Gazeti la Habari leo(January 8,2011)
ASKARI Polisi wameiomba Serikali kuangalia jinsi ya kuboresha nyumba wanazoishi walinzi hao wa Usalama wa raia kutokana na kile walichodai zimechakaa kupita kiasi na kwamba hali ya sasa haioneshi kuwa zinafaa kukaliwa na binadamu.
Askari hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.