Search results

  1. M

    Msaada: Peace & Security

    I am searching for civil society organizations in Tanzania which work or do research in the field of peace and security, this could also include think tanks, research institutes and organizations which facilitate processes of dialogue regarding conflict prevention. Msaada wako ni muhimu sana...
  2. M

    Tanzania katika Soka la Kimataifa, Tunakosea Wapi?

    Kwa wale wataalamu wa mapishi watakubaliana na mimi kwamba uzuri au utamu wa chakula unategemea kwa kiasi kikubwa utaalamu wa mpishi wa chakula husika na jinsi gani anavyotumia viungo husika kuandaa chakula. Ni ukweli kwamba unga uliotokana na mahindi ya kusaga huweza kutumika kupikia ugali na...
  3. M

    Ni muda gani kipimo cha MRI kinakuwa kipo valid?

    Wadau, Nilifanyiwa kipimo cha MRI mwezi wa July mwaka jana, bahati mbaya Daktari wangu akawa amesafiri kwa dharura, hivyo sikuweza kuonana nae. Hivi majuzi amerejea na ninatakiwa kuonana nae, je, nitahitaji kufanya kipimo tena au majibu yale yatatoa picha kamili ya tatizo langu licha ya...
  4. M

    Letter from Africa: Tanzania's new wine gets to work

    As Tanzania's new president John Pombe Magufuli settles into the job, journalist Joseph Warungu, who has reported from Tanzania on and off since 1993, has this unsolicited personal advice for the new CEO of the country. Your Excellency, greetings from Dar es Salaam! Your name, Pombe, in...
  5. M

    Msaada: Utaratibu, Kanuni za kupandisha/kubadili hadhi ya Shule

    Wadau naomba msaada; nahitaji kufahamu vigezo, utaratibu na kanuni zinazotumika, pamoja na vyombo vyenye mamlaka ya kuamua kubadili hadhi ya shule kutoka kuwa ya msingi hadi kuwa ya sekondari au vyote viwili kwa wakati mmoja. Nimesikia baadhi ya wagombea wakiahidi hili suala la kubadili shule za...
  6. M

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Wadau kuna hii link hapa ni very useful, itajibu baadhi ya maswali kuhusu Uchaguzi Mkuu uliopita na huu ujao wa Oktoba 25, 2015. http://www.uchaguzitz.co.tz/
  7. M

    Undecided Voters inTanzania?

    Kipindi kama hiki cha kuelekea katika uchaguzi ambacho tunakipitia, kwa wenzetu hasa nchi za magharibi, huwa kuna kundi la wapiga kura ambao bado hawajaamua kura zao wampe mgombea/chama gani [undecided voters], kundi hili hufikia maamuzi baada ya tafakuri ya kina kuhusu sera na mikakati ya...
  8. M

    Nipashe la leo 11 Aug 2015

    Je, na wewe ni mmoja wa wasomaji wa gazeti la Nipashe? Umegundua kwamba gazeti la leo halina ukurasa wa saba ambao unaelezea habari za Edo kiundani. Nimejaribu magazeti zaidi ya mawili katika vibanda tofauti vya kuuzia magazeti nikakuta kurasa hizo za ndani zinamiss. Je, ni makusudi au bahati...
  9. M

    Msaada wa Mawasiliano [Email add, Tel No]

    Msaada wana JF, nahitaji kuwasiliana na mama Justa Mwaituka, mkurugenzi wa KIWOHEDE, nimemjaribu namba na email add iliyopo kwenye website ya taasisi lakini vyote imeshndikana, email imebounce back, namba naambiwa haitumiki kwa sasa. Kama unayo pls nisaidie, ni suala la kikazi!
  10. M

    Elimu kwa Mpiga Kura 2015

    Kabla ya zoezi la kura ya maoni kuahirishwa, baadhi ya asasi ziliomba kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa mujibu wa sheria zipewe fursa ya kutoa elimu kwa Watanzania kuhusu Katiba Inayopendekezwa. Hivi tunavyozungumza zoezi la kura ya Maoni halipo tena kwa mwaka huu, je sheria zinasemaje kuhusu...
  11. M

    Idadi ya Magazeti, Radio na TV zilizosajiliwa Tanzania 2015

    Msaada: Nahitaji kufahamu idadi ya Radio, TV Stations na Magazeti yaliyosajiliwa hapa Tanzania hadi June 2015. Nimejaribu kupitia website ya TCRA wana takwimu za hadi 2012, ilhali Registrar wa Magazeti hata website yake siioni/haipatikani. ======================== Majibu ya TCRA;
  12. M

    The Way Forward - UKAWA

    Nadhani baada ya Katiba pendekezwa kupitishwa katika Bunge la Katiba umefika wakati sasa kwa UKAWA kutumia busara na hekima za kutosha ili kuipata Katiba ya Wananchi kama ilivyopendekezwa na Jaji Warioba. Kwa mtazamo wangu sioni sababu ya hawa ndugu zetu wa Ukawa kutumia nguvu nyingi kutaka...
  13. M

    Nimempa Kura yangu katika ndoto!

    Nimeota uchaguzi wa 2015 nafasi ya Urais nimempigia kura mgombea kijana, kwanza ana sifa nyingine zoooote kama wagombea wakongwe, nikaona ujana ni added advantage nikampa kura yangu! Kingine niliamini kwamba kijana hana mtandao mkuuubwa wa mahasimu wa kisiasa, kwa hiyo kwa kumpa kura yangu...
  14. M

    Ubabaishaji wa max malipo

    Kwa miezi mitano mfululizo nimekuwa nikinunua luku kwa M-Pesa na kupata units 123 kwa Sh. 30,000. Leo kwa kutumia max malipo kwa sh. 30 elfu wamenipa units 80 huu ni wizi wa mchana.
  15. M

    Msaada Tafadhali: Uhalali wa Rais wa JMT

    Hivi Katiba ya JMT ina kifungu chochote kinachosema ili mgombea urais wa JMT awe na uhalali wa kuwa Rais ni lazima apate kura pande zote za Muungano? Na kama kipo kinataka apate asilimia ngapi? Na kama hakipo hii imekaaje nchi ikawa na Rais wa Muungano ambaye upande mmoja haujampigia Kura...
  16. M

    Zitto in University Edinburgh

    Hon. Zitto Kabwe is among the key speakers in a conference on Mining and Political Transformations in Africa scheduled to take place in Edinburgh. Read more: http://www.cas.ed.ac.uk/__data/assets/pdf_file/0020/149033/CAS_Conference_POSTER_pdf.pdf
  17. M

    Rwanda vs Tanzania: Nipeni Elimu

    Ndugu zangu nimekuwa nikikwazwa sana na hali ya sintofahamu inayopelekea kutokuaminiana kwa nchi zetu hizi za Tanzania na Rwanda. Ni hivi karibuni tu kulikuwa na mzozo wakati tulipopeleka majeshi yetu DRC, pia wenzetu wa Rwanda wakatutuhumu kuhusu operesheni ya kuondoa wahamiaji haramu kwamba...
  18. M

    Modem ya Zantel

    Wadau nsaada, nahitaji kutumia modemu ya Zantel ila sijui namna ya kutumia vifurushi mbalimbali ili kubana matumizi. Nikiweka salio la alfu 5 ndani ya dk 45 nakuwa sina salio! Msaada wadau
  19. M

    Zitto Kabwe in Germany

    He is one of the panelists who is expected to contribute on "Gender Equality and the empowerment of women are fundamental to eliminate poverty" later this afternoon. Anawakilisha kimataifa zaidi!
  20. M

    Umewahi kujiuliza?

    Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini timu za Taifa za vijana za Afrika zinafanya vizuri sana katika mashindano ya kimataifa [rejea Nigeria bingwa wa kombe la dunia U17, hii ni mara ya nne wakiwa wamecheza fainali 7 za WC U17] lakini timu hizo hizo miaka 10 baadaye zinakuwa hovyo ili hali wenzao...
Back
Top Bottom