Search results

  1. M

    Msaada: Peace & Security

    I am searching for civil society organizations in Tanzania which work or do research in the field of peace and security, this could also include think tanks, research institutes and organizations which facilitate processes of dialogue regarding conflict prevention. Msaada wako ni muhimu sana...
  2. M

    Jifunze hapa: Namna nilivyoanza mpaka nilipofikia. Unaweza kupata kitu

    Katika mahesabu yako usisahau kodi ya Serikali kijana, otherwise all the best!
  3. M

    Msaada kwenye tuta...Mwenye Katiba mpya ya Zanzibar

    Wadau kama kuna mwenye soft copy ya Katiba ya Zanzibar baada ya mabadiliko ya 2010 tafadhali tusaidiane. Natanguliza shukrani.
  4. M

    Tanzania katika Soka la Kimataifa, Tunakosea Wapi?

    Kwa wale wataalamu wa mapishi watakubaliana na mimi kwamba uzuri au utamu wa chakula unategemea kwa kiasi kikubwa utaalamu wa mpishi wa chakula husika na jinsi gani anavyotumia viungo husika kuandaa chakula. Ni ukweli kwamba unga uliotokana na mahindi ya kusaga huweza kutumika kupikia ugali na...
  5. M

    Ni muda gani kipimo cha MRI kinakuwa kipo valid?

    Wadau, Nilifanyiwa kipimo cha MRI mwezi wa July mwaka jana, bahati mbaya Daktari wangu akawa amesafiri kwa dharura, hivyo sikuweza kuonana nae. Hivi majuzi amerejea na ninatakiwa kuonana nae, je, nitahitaji kufanya kipimo tena au majibu yale yatatoa picha kamili ya tatizo langu licha ya...
  6. M

    Letter from Africa: Tanzania's new wine gets to work

    As Tanzania's new president John Pombe Magufuli settles into the job, journalist Joseph Warungu, who has reported from Tanzania on and off since 1993, has this unsolicited personal advice for the new CEO of the country. Your Excellency, greetings from Dar es Salaam! Your name, Pombe, in...
  7. M

    Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Kufuatia taarifa kwamba ZEC imefuta matokeo ya Uchaguzi wa Urais na Uwakilishi, hii maana yake nini kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar/Muungano hasa kuhusu uhalali wa kisiasa na kisheria kwa mamlaka ambazo zilitakiwa kumaliza muda wake baada ya Uchaguzi? Je Katiba inatoa mwongozo gani na hatua za...
  8. M

    Msaada: Utaratibu, Kanuni za kupandisha/kubadili hadhi ya Shule

    Wadau naomba msaada; nahitaji kufahamu vigezo, utaratibu na kanuni zinazotumika, pamoja na vyombo vyenye mamlaka ya kuamua kubadili hadhi ya shule kutoka kuwa ya msingi hadi kuwa ya sekondari au vyote viwili kwa wakati mmoja. Nimesikia baadhi ya wagombea wakiahidi hili suala la kubadili shule za...
  9. M

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Wadau kuna hii link hapa ni very useful, itajibu baadhi ya maswali kuhusu Uchaguzi Mkuu uliopita na huu ujao wa Oktoba 25, 2015. http://www.uchaguzitz.co.tz/
  10. M

    Undecided Voters inTanzania?

    Kipindi kama hiki cha kuelekea katika uchaguzi ambacho tunakipitia, kwa wenzetu hasa nchi za magharibi, huwa kuna kundi la wapiga kura ambao bado hawajaamua kura zao wampe mgombea/chama gani [undecided voters], kundi hili hufikia maamuzi baada ya tafakuri ya kina kuhusu sera na mikakati ya...
  11. M

    Nipashe la leo 11 Aug 2015

    Huko sio kulalamika, ni kutaka kujua kulikoni.
  12. M

    Nipashe la leo 11 Aug 2015

    Je, na wewe ni mmoja wa wasomaji wa gazeti la Nipashe? Umegundua kwamba gazeti la leo halina ukurasa wa saba ambao unaelezea habari za Edo kiundani. Nimejaribu magazeti zaidi ya mawili katika vibanda tofauti vya kuuzia magazeti nikakuta kurasa hizo za ndani zinamiss. Je, ni makusudi au bahati...
  13. M

    Msaada wa Mawasiliano [Email add, Tel No]

    Msaada wana JF, nahitaji kuwasiliana na mama Justa Mwaituka, mkurugenzi wa KIWOHEDE, nimemjaribu namba na email add iliyopo kwenye website ya taasisi lakini vyote imeshndikana, email imebounce back, namba naambiwa haitumiki kwa sasa. Kama unayo pls nisaidie, ni suala la kikazi!
  14. M

    Magufuli mgeni rasmi ufunguzi wa Kombe la Kagame

    Wale ambao mlikuwa mnadhani kazi ya TFF ni kuongoza na kuendeleza soka mmejionea sasa, soka sio priority pale TFF wana shughuli nyingine kabisa!
  15. M

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Just visit the EAC website, you can get the answer
  16. M

    Elimu kwa Mpiga Kura 2015

    Kabla ya zoezi la kura ya maoni kuahirishwa, baadhi ya asasi ziliomba kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa mujibu wa sheria zipewe fursa ya kutoa elimu kwa Watanzania kuhusu Katiba Inayopendekezwa. Hivi tunavyozungumza zoezi la kura ya Maoni halipo tena kwa mwaka huu, je sheria zinasemaje kuhusu...
  17. M

    Baraza la Wazee CCM kujadili mwenendo wa watia nia, TAKUKURU nao ndani

    Naheshimu mawazo yako, time will tell - tusubiri tuone!
  18. M

    Baraza la Wazee CCM kujadili mwenendo wa watia nia, TAKUKURU nao ndani

    My take: CCM imeteswa sana na siasa za makundi, huu ni wakati sahihi wa kuzika makundi yote na kuanza upya; kwa maana hiyo basi mgombea ambaye atafungua ukurasa mpya wa siasa za ndani ya CCM na hivyo kupewa fursa ya kupeperusha bendera ya Chama kugombea Urais ni Jaji Augustino Ramadhani...
  19. M

    Idadi ya Magazeti, Radio na TV zilizosajiliwa Tanzania 2015

    Asante sana ndugu yangu, nimeingia kwenye hiyo link Redio hazifiki 105, zipo 84 tu, hizo nyingine ambazo ni licensed ili kufikisha hiyo 105 ina maana hawajaziweka katika link ?
Back
Top Bottom