Search results

  1. M

    Rais Samia, vyeti feki kwenye taasisi za Umma bado ni tatizo

    Walirudije wakati walikuwa wamefukuzwa?
  2. M

    Mtoto wangu ana baba wawili

    Kapime DNA upate uhakika, kwa wanawake wa sasa inawezekana hata nyie wote wawili mtoto sio wenu.
  3. M

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Kwani hapo kwako unataka ulime bangi
  4. M

    Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

    Basi kama ni hivyo kizazi cha Lilith ndo kipo maana wanawake tulio nao sasa hivi wanamfanana kwa kila kitu
  5. M

    Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

    Basi kama ni hivyo kizazi cha Lilith ndo kipo maana wanawake tulio nao sasa hivi wanamfanana kwa kila kitu.
  6. M

    Msaada: Niliingia mkataba wa bajaji kwa miaka miwili, baada ya miezi 20 nimepokonywa bajaji

    Nyie Watu ni wapole mimi ningekiwasha mpaka kila mtu angeshangaa.
  7. M

    Serikali kwa sasa inawatambuaje waliowahi kuajiriwa serikalini wakaacha ama kufukuzwa?

    Kuna watu wameacha kazi kabla ya kupata namba za Nida hao wanatambulikaje?
  8. M

    Kuporomoka bei ya mahindi mahindi

    Kwa hivi sasa bei ya mahindi maeneo mengi imeporomoka sana, kule Tarime naambiwa gunia la mahindi la kg 108 linauzwa 35,000/-, kwa hali hii ya mkulima itaendelea kuwa duni miaka yote.
  9. M

    Serikali kwa sasa inawatambuaje waliowahi kuajiriwa serikalini wakaacha ama kufukuzwa?

    Kama mtu amewahi kuajiriwa serikalini akafukuzwa kazi au kuacha inakuwa ngumu sana kurudi kuajiriwa serikalini, hii ina lengo zuri la kuwafanya watumishi watulie sehemu moja na wasiache ache kazi. Hapo nyuma serikali ilikuwa inatumia mfumo wa Lawson kuwadaka watu waliowahi kuwa waajiriwa na...
  10. M

    Hivi ni kweli kwamba mtu akiziona nyeti za mzazi wake analaaniwa?

    Zamani tulikuwa tunaoga na wazazi wetu mtoni mbona hatukulaanika tuchanganyikiwe, mzee akitaka kwenda kuoga anawakokota wote muende.
  11. M

    Kaka yangu ni mwalimu, maisha anayoishi ni mateso

    Amesema anapata hiyo kutokana na mikopo.
  12. M

    Kaka yangu ni mwalimu, maisha anayoishi ni mateso

    Wanapeleka kadi kwa watu.
  13. M

    Mali iliyotokana na mgao wa urithi inauzwa?

    Nani kakudanganya hivyo, hata zawadi ni matrimonial property. Mali yeyote ambayo mwenza anaipata akiwa kwenye ndoa inakuwa inamilikiwa na wanandoa wote.
Back
Top Bottom