Search results

  1. M

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    mimi nawashangaa waislamu mnajitetea kw wagala hawa, kwani hata kama ameomba kujengew shida iko wapi km sheria inamruhusu? Yy ni muislam wala uislam wke haufutiki kisa ofisi, bado swala 5 anawajibika nazo. Hoja ya msingi hata awa wagala wakisema ndo iweje wao km nani, unapoteza muda na watu...
  2. M

    Ubeberu wa Marekani balaa duniani

    Mmmh!! Mkiristo naye kudhau uislam mm ni kushangaa sn, kwl km mkristo unafikiria au unapelekwa tu? Kw mm wala hauwezi niambia kitu. Yaani kumbe nao wanaona waislamu wamepotea? Dini haina kanuni wala sheria, mambo mengi ni kukaa watu wakatunga alafu mara yanaonekana yana upungufu lakini yanaaitw...
  3. M

    Scholarship application

    Hivi kuna alternatives gani kama hauna cheti cha English prof?
  4. M

    Mahakama ya Kadhi kuligawa Bunge la Katiba

    Ss ww tatizo ni huduma kw waislam au ni mahakama y kadhi? Hata wanaotka hii mahakama nao pia wanalipia cjui umewawka ktk nafac gani? Hapa ni decentralize?Hapa ni kuhamisha gharama n wala co jpya maana mwanzo bado mambo hayo ilkuw serikal inagharamikia, ss kw nn isiendlee au kisa umetajw uislam...
  5. M

    MSAADA: Kwa waislam tu

    Hakuna aya y Qur an inasema ucku na mcha ni matokeo ya jua kuznguka dunia labda uelewa wako wa lugha ni mdogo km unaweza weka hiyo aya wka. But angalia Qur an 21:33 or 39:5 zinaeleza unayoyasma? Point hapa ni tulivyokuw tukijua na wanasayansi mwanzo walchokijua n kwmba jua liko stationary ktkati...
  6. M

    MSAADA: Kwa waislam tu

    Hakuna uongo ktk uislam coz unaweza ukafanya uchunguzi kw yaliyo semwa. Je ww unajua nn kuhusu hayo? Umefanya uchunguzi au unasoma histria ya watu hata waliosema mtu asili yake ni nyani? Kwn wao ww unahic wako sahihi kiac gani? Kw taarifa yako Wanasayansi wamshathibitisha kwamba jua...
  7. M

    MSAADA: Kwa waislam tu

    huna issue unaonesha...Katu Qur-an haitabadilika hata herufi moja hii co bibilia ambayo inafanyiw marekebisho kuendana na life style z wakati husika.Jamaa zenu wamarekani n myahudi wamejaribu wameshindw coz iko vifuani mw watu hata ukiondoa nukta wanajua co ile asili ili walete zengw km...
  8. M

    MSAADA: Kwa waislam tu

    WW hunachochote kwanza unaelimu kiac gani? Nahic unaleta propanda na kudanganya wagala wenzako hapa kw kuwa hiyo c lugha yako unaonesha uko uelewa mdogo! Ungtafuta hizo hadithi ktk lugha yako unayoijua co unaleta cora ya umeona mm co km layman wenzio wanasema aamen hata Wakiambiwa mchungaji...
  9. M

    MSAADA: Kwa waislam tu

    hivi ww umesoma au unaleta mada za kidarasa la saba? Au padre wako tayari kakuririsha coz muda mrefu mapadre matwaita Miungu km mlivyo anza na yesu alikuwa mjumbe w Mungu akawa Mungu mtoto(mwana) sasa ni Mungu mwenyewe kw wengine bado ni mtoto hajazeeka akawa Mungu kamili. Uczushe aya za kwko...
  10. M

    MSAADA: Kwa waislam tu

    big up kaka, hawa wazoea kudanganywa na kudanyana, wabeba bible km mzigo ila hawajui kilicho ndani yake, waabudu masanamu, walawiti na waoga wa debate na waislam ila wakiwa sehemu km hizi coz wanajuw waislamu c wakupoteza muda kw mada zao za kumezweshw na za kipuuzi. Mijadala km hii natamani iwe...
  11. M

    MSAADA: Kwa waislam tu

    Sasa kuna tatizo gani kama na ninyi mnafuata wazungu kila wanchotaka hata ushoga. Mapadri wanalawiti kisa wenzao wakizungu walio wagala wamealalisha. Nyie wagala manasema tu ukiwa hapa chumbani ila hamthubutu kuleta hoja kwenye debate na waislam. Hapa mnajua ndo pakudanganyana na ni sehemu...
  12. M

    Mwanadamu aliumbwaje? I just want to know

    Uislam hauna miungo mitatu km unavyoamini ww, hivyo ukachukua neno roho matakatifu ukalileta unavyoamini ww (mungu roho), utaonesha hujitambui n huna hoja, ungetafuta km msomi kw waislam wanamaanisha nn wanpsema Roho matakatifu lakini huna kitu unaenda ki dogma!! Neno Roho mtakatifu uislam...
  13. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    hela niliyokununulia chupi
  14. M

    Wabunge wajipandishia Posho katika vikao vya Bunge la Bajeti hadi 300,000 kwa siku!

    Tumuogope Mungu ninyi mnaoshikilia madaraka ya nchi hii, mnayoifanya ni dhulma, uonevu, unyang'anyi, ulafi, uchoyo,udhalimu n kila uovu. Jueni siku moja mtavuna matunda y hiki, eidha kutoka kw Mungu au wananchi, fanyeni kw kuwaona wanachi wenu ni mazezeta,mbumbu na mbulula waco n akili wala...
  15. M

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    kwani hawa jamaa wameshaitisha interview?
  16. M

    Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    Nyie wapuuzi sana, imekuwa mkikerwa sana na yanayosemwa na waislam ila hamkerwi na yale wanayoyasem na kuyaubiri maaskofu na mapadri. Wacheni mgando w mawazo na ujauzito wa fikra kila mtu yuko huru kusema na kukemea dhulma,ushenzi na upuuzi wanaofanya jamii fulani dhidi ya nyingine, kwani...
  17. M

    Tanzania sasa tuwe na siku tatu za kupumzika katika wiki moja

    its ok! Kwa sababu serikali yetu haina dini ila wananchi wake wanadini, km ina mapuziko ya siku mbili kw waumini wa kikristo inaonesha inaelemea dini flani au inatudanganya na kupuuza nyingine. Wht if u were u?
  18. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Ee bwana hivi, bibble alishushiwa mtume nani kama: qur-an - Muhamad,taurati-Mussa; injili -Issa na zaburi - Daudi? Kukusaidia M/Mungu alikuwa na utaratibu wa kuleta mjumbe(mtume) kila baada ya watu kupotoka/kupotosha na kuach mafundisho yake, aliwaletea mjumbe ku-revive, watakaomfuata hao...
  19. M

    Elimu kuhusu digital:

    Pamoja na kuelekea magauzi kutoka analogia kwend digital, mimi na wengineo tunauelewa mdogo san kuhusu digital ni nini, faida zake na inatofautianaje na mfumo wa analogia. Naomba msada!!!
Back
Top Bottom