Search results

  1. M

    Hii ni hatari sana!! kutoka kwa Mtela Mwampamba...

    Na walioumia kanisani st Joseph katika mlipuko wa kwanza ni misukule wa nani? huyu jama ni kichaa eti! Huyu ka Nape vile na pua lake la mchongoko ka la mwarabu,lione! Jitu halina hata huruma!
  2. M

    JK Safarini tena UK

    Kaalikwa na matajiri? Nani anamlipia gharama za safari na starehe zake huko kama si Watanganyika? Maana wale wa nchi jirani ya Zanzibar ni Maskini zaidi, kwa safari hizi za jk hawawezi kumudu gharama! Siku moja atajibu kwa matumizi mabaya ya mali za umma!
  3. M

    Wabunge wa CCM watoe taarifa tena kwa spika,hotuba ya Sugu ipo mitaani tayari

    Kwamba mbunge mmoja wa CCM jana alikatiza hotuba ya kambi rasmi ya upinzani akidai imejaa uchochezi hali iliyosababisha kusimama kwa kikao cha bunge. Kile walichotaka tusikisome,maana kama ni kujua tayari tunajua mambo yanayofanywa na serikali nyuma ya pazia,sasa kipo katika mitandao na kwa...
  4. M

    Bunge laahirishwa ghafla kutokanana msemaji wa upinzani kudai serikali inaua waandishi wa habari

    Wabunge wa ccm,ambao hamkutaka tuisikie hotuba ya upinzani tumeipata,imeprintiwa na wananchi wanaisoma kila kona.Sisi si kizazi hiki si cha 47,hakuna uchochezi ila ni ukweli mtupu umesemwa,sema ukweli unauma! Ombeni mwongozo spika azuie tusiendelee kuiprint na kuisoma,si inawezekana?
  5. M

    Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Ha ha ha,te te te, wananchi wa jimbo la Nkamia wanakunywa maji ya tope,badala ya kukosa usingizi kwa kusemwa na jamii forums kwa matusi yake bungeni. Atetee wananchi wake badala ya kujifanya msemaji wa akina Lukuvi na Werema bungeni. Awaulize polisi na akina Nchemba uzuri wa jamii forums,maana...
  6. M

    Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Hapana wakristo inatosha sasa,tumevumilia sana,tusitegemee hawa police wa ccm,maana wao wanajua kulinda kura za ccm tu na kudhibiti wapinzani huku wakisahau kazi yao ya msingi ya ulinzi wa raia na mali zao. Hebu jiulize wa wapi wauwaji wa padre Mushi,watesi wa padre...
  7. M

    Exclusive: Majibizano kati ya Job Ndugai na Eliasanti Bugenyi yaibua mapya!

    Natamani na nadhani kesho nitaprint majibizano hayo kwenye A0(ile karatasi kubwa kama shuka) halafu nikayabandike Kongwa ili wananchi wa kule wajue hawana mbunge ila wana baunsa wa mawazo,na kama huyu jamaa kama angezaliwa Uganda hakika ingekuwa katika ukoo wa akina IDI AMIN au kama angekuwa...
  8. M

    Tuanze kupata background ya Mulongo

    Hana lolote huyu,ni mtu wa kutisha watumishi wenzake, wananchi wa Bukombe wanamjua kwa kukalia siasa za ccm na kuingilia ofis ya mkurugenzi akititafuta pesa za kuchakachua maana ofisi za madc hazipelekewi pesa za maendele na hawana mamlaka nazo.Baada ya Bukombe akahamishiwa Bagamoyo ambako...
  9. M

    CCM waajiri vijana wa kuishambulia CHADEMA katika mitandao

    Lakini hata hao police ccm wenu wamechota humu JF ile video feki ndo wakaenda kumkamata Rwakatare. JF ni mtandao wa kujenga nchi yetu kwa kujadili,kuambiana ukweli na kurekebishana juu ya maswala mbali mbali,nchemba naye(bila kujua kuwa humu mambo hujambuliwa kwa upana)akaajili mtu akaweka video...
  10. M

    PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

    Startv iliyoko pale Mwanza kwenye taarifa yake ya saa mbili usiku haijatangaza mkutano wa Chadema uliofanyika Mwanza,badala yake ikatangaza ule wa Morogoro wa Kinana na watoto wa shule za msingi!!! Diallo at work.
  11. M

    TCRA: Kutoa taarifa za siri za mawasiliano ni kosa la jinai

    Tuanze na TCRA wenyewe wajipeleke mahakamani kwa kuingilia mawasiano ya watu kwa kuwatumia sms 2010 kutukana wagombea wa nafasi mbali mbali ikiwemo Urais. Walitukera sana, hatujasahau kutumika kwao na ccm!
  12. M

    CCM: ZNZ ipo tayari kujiunga na OIC mwaka 2014!!

    Acha hao waende zao hata wakihamishia makao makuu ya nchi yao Oman hatuwahitaji! Na wataiona fukuza fukuza toka bara baada ya katiba mpya.Umeme kata,kusoma bara piga marufuku,kulinda mipaka kwa nguvu ili wasiingie kwa njia za panya!
  13. M

    Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

    Nenda kwanza kamuulize Nape Nani aliingia mkataba wa kifisadi na Richmond(rejea kauli ya Lowassa/majibu kwa Boss kwenye kikao cha NEC kuhusu kujivua gamba)? IPTL, BUZWAGI na madudu mengine yanayotutesa leo Watanzania? Akikupa jibu leta hapa JF halafu endelea na hoja yako.
  14. M

    Sintofahamu ya suala la Lwakatare, je, hili likifanyika Polisi watashikalipi?

    Hakuna mtaaluma wa maana anaweza apply kazi jeshi la polisi tz,hii ni kwa sasa wameruhusu ccm kuwa na kitengo ndani ya jeshi. Mtu ka Mwingulu anawasumbua sana polisi sema yuko na backing ya wakubwa,hata hivyo polisi wenyewe wanatekeleza maagizo ya Nchemba kwa shingo upande ndo maana hawajui ni...
  15. M

    Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

    Video clip? Polisi ndo wanashtuk leo, mbona hawajawakamata akina sheik Dilunga na wenzake ambao wanatamka wazi wazi kupanga/kuwaamrisha wafuasi wao kuwaua viongozi wa dini ya kristo na wameanza kutekeleza. CD za kina Dilunga ziko kila kona mtaani,hii iliyoandaliwa na Mwigulu Nchemba (Kwa...
  16. M

    Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

    Huwezi kumtaja Lowasa bila kumgusa aliyempa uwazi mkuu,Lowassa alikuwa anatekeleza maagizo ya boss wangu kuipa mkataba Richmond.
  17. M

    Wabunge wa CHADEMA karibu wote kusimamishwa kushiriki vikao vya Bunge kwa miezi sita

    Kama vyombo unavyoita vya dola yenu ya mafisadi ccm viko imara,unatuambia nini kuhusu kuuwawa,kupigwa risasi kwa mapadri na viongozi wengine wa dini,kutekwa na kufanyiwa ukatili kwa Kibanda na Dr Ulimboka? Na vipi kutoroshwa kwa twiga wetu na dege la kijeshi la nje ya nchi kule KIA? Acheni...
  18. M

    Salma Kikwete Cheo chake ni kipi kikatiba?

    Ningekuwa na uwezo ninge forward tarehe ili kesho kutwa iwe december 31,2015 (uchaguzi mkuu). Nimechoka kabisa kusikia habari za huyu mama kutumia pesa zetu ovyo! Hapa nilipo nimetoka kibaruani,ujira ndo huo unaokatwa kodi kubwa ya kutanulia watu wasio na huruma kama hawa! Hata hivyo watanzania...
  19. M

    Mhariri Tanzania Daima ashikiliwa na Polisi!

    Nape,Mwigulu at work!
  20. M

    Salma Kikwete: 'I am very dissappointed by you'

    Ivi NAPE alisoma shule gani vile ile ya magumashi inayopokea hata failures tumwembee mama naye aende huko walau kwa mwaka mmoja!
Back
Top Bottom