Search results

  1. Damy Scotty

    Swali: Ni kwanini urefu wa milima unapimwa kutoka usawa wa Bahari?

    Na unaambiwa Kilimanjaro ni mrefu kuliko Everest kama ukipimwa pale ulipoanzia (from the foot of the mountan)
  2. Damy Scotty

    Hiki kinachoendelea wilaya ya Kilombero ni swala la nchi nzima au...

    Habarini wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada wilaya ya KILOMBERO imekua na utaratibu wa kuhamisha hamisha walimu pasi na sababu za msingi. Swala ambalo limekua likiathiri sana katika utendaji mfano mwaka juzi walifanya 2017 hivyo na kupelekea mvurugano mkubwa, safari hii wameanza tena na...
  3. Damy Scotty

    SAMSUNG S7 EDGE 32 GB

    Umeelekeza vizur mkuu, na price ni very reasonable..ila kuhusu mstari huwa unaDevelop as days goes on!
  4. Damy Scotty

    Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

    Hataki kuoa kwa kukurupuka asije akajuta badae.. Hyo badae ni ipi? yan @42 still kuna badae Sent using iPhone XS Max
  5. Damy Scotty

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Hahaha, daah nimecheka sana hii comment yako Sent using iPhone XS Max
  6. Damy Scotty

    Fahamu jinsi ya kupata brand name ya biashara yako

    Beauty Hub au Beauty Point.. Sent using iPhone XS Max
  7. Damy Scotty

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Ni ya kiislamu kumbe, kuna mdau kadokeza Sent using iPhone XS Max
  8. Damy Scotty

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Uko sahihi kwenye hili mkuu, hasahasa ukanda wa pwani ipo sana hii Sent using iPhone XS Max
  9. Damy Scotty

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Hili tatizo limekua likikua siku hadi siku..imani ikizid sana inakua hatari Sent using iPhone XS Max
  10. Damy Scotty

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Sidhan kama kweli kabisa hawajitambui, kuna kitu kimewalevya Sent using iPhone XS Max
  11. Damy Scotty

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Hahaha, unadhani itasaidia mkuu? Sent using iPhone XS Max
  12. Damy Scotty

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Sawa mkuu, na vip kuhusu hizo 9 zilizobaki? tatizo tulilonalo huwa hatuupendi ukweli na badala yake tunatanguliza mihemko kwa kuamini kila anaekosoa ni wa upande wa pili pasi na kujua ni vizur kukosolewa Sent using iPhone XS Max
  13. Damy Scotty

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Habari za jioni wakuu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja.. Miaka ya hivi karibuni swala la elimu kwa waislamu limekua tete kadri siku zinavyozid kwenda, na mbaya zaidi viongozi wenye dhamana ya hili wametulia tu kana kwamba hawaoni kinachoendelea. Nawahakikishia hili bomu siku likipuka...
  14. Damy Scotty

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari naomba kuuliza kwenye tariff zero inatakiwa niweke shilingi ngap ili kupata units 75? mana huwa nanunua umeme wa 9000 na napata units 73 vipi kuhusu hzo 2 zilizobak? Sent using iPhone XS Max
Back
Top Bottom