Search results

  1. mtz one

    Msaada: Jinsi ya kuipata iPhone 12 pro max imeibiwa

    Wakuu nimeibiwa Leo iPhone 12 pro max na kijana wa kazi na kutokomea nayo. Je, ni kwa namna gani naweza ipata? ============================= Nilifanikiwa kuipata hii simu.
  2. mtz one

    Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
  3. mtz one

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli hutaki 'matusi' yapi katika kampeni?

    Si mara moja au mbili namsikia rais Magufuli akikazia kuwa hataki matusi wakati wa kampeni. Nilimsikia wakati anavunja bunge nimemsikia tena leo pale Somanga akiwa njiani kurudi Dar. Magufuli amekazia sana eneo hilo kuwa hataki matusi watu wanadi sera zao. Ni matusi gani Magufuli anayaogopa...
  4. mtz one

    Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

    Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno. Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
  5. mtz one

    Natafuta Engine ya Suzuki Grand Escudo

    Wakuu salaam, natafuta engine ya Suzuki escudo Grand iwe V6 ah 4 cylinder. Naweza ipata kwa bei gani? Nahitaji complete Naambatanisha na picha ya gari.
  6. mtz one

    Amber lulu asema alipata division two ya 34

    Akihojiwa katika kipindi cha kikaangoni cha EATV msanii nyota Amberlulu amedai ktk mtihani wa kidato cha nne alipata division two ya 34! Hiki ndo kizazi cha TZ ya viwanda!! Kinyaa!!
  7. mtz one

    Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

    Akihojiwa EATV vanessa mdee amedai licha ya kuwa na kifua kikubwa bwana Jux kitandani alikua kama gogo. Uzi tayari.
  8. mtz one

    Kwanini Iphone zina tatizo kubwa la finger print failure?

    Wakuu niliinunua iphone 7 plus ikiwa mpya kabisa cha kushangaza imekufa sensor ya finger print! Nimepitia forums mbalimbali nimekutana na hayohayo! Matangazo mengi ya simu za iphone 5-7 zinazouzwa ni the same story finger print failure! What is the problem with this phone? Kwa gharama kubwa...
  9. mtz one

    Gari Toyota sienta inauzwa

    Wakuu gari iliyo ktk hali nzuri toyota sienta inauzwa Mileage: 63000 CC: 1300 Usajili: DCZ Bei 9,000,000/= Mengine piga simu 0714108501
  10. mtz one

    Mtanzania afariki Denmark nduguze wanatafutwa

    Ndugu wanabodi mwana husika na kichwa cha habari hapo juu, UPDATES ZA MTANZANIA MWENZETU ALIYEFARIKI MPAKA SASA: Tunawatafuta ndugu wa Samuel John Asheli aka Rasta TZ, aliyefariki Denmark tarehe 05.08.2016, baada ya kuugua kwa muda mrefu. Marehemu amekaa Denmark kwa miaka 10. Marehemu hakuwa...
  11. mtz one

    ugovyi

    jamani naombeni mtipatanishe na FARKHINA maana anasema hanipendi sija mkosea chochote sio hanipendi kama babay wake hamna kama rafiki yake nisaidieni kwa hilo
  12. mtz one

    habari wana cc

    habari wana cc naombeni kuwa mwana chama wenu
  13. mtz one

    hodi hodi hodi wana CHIT-CHAT

    IGWEEEEEEEEEEEEEEEEE.............!!!!!!!!!!!!! wanachit chat kwa mara ya kwanza naomba kujitambulisha kwenu mie kijana msoga yetu toka msoga kwa walima nanasi huko chalinze napenda kujipa kick kwa mara ya kwanza kuwa baada ya mda mfupi tu nitagombea uenyekiti hapa na kutwaa madaraka ya ARUSHAONE...
  14. mtz one

    hodi hodi

    hodi hodi wakuu mimi ni kijana toka msoga, chalinze naomba niungane nanyi ktk jukwaa hili la wenye fikra kubwa natanguliza shukrani.
  15. mtz one

    hi

    Habari wana chitchat nao mbeni mnipokee
  16. mtz one

    Dhana Ya" MFUMO KRISTO" na CHADEMA

    NImepata kumsikia mwazuoni mahiri Afrika ya Mashariki na kati Ndg. Sheikh, maalim Ilunga Hasan Kapungu akielezea zana ya mfumo kristo,,, katika maelezo yake yoote mi nimechukua mfumo kama dhana pale alipobainisha namna waliogusa mfumo huo walipata kwa mujibu wa mafundisho yake. nikirudi kwa...
  17. mtz one

    Mgeni

    Nipokeeni wana jf:a s 103:tupo pamoja
  18. mtz one

    HI

    Hodi wana jf
  19. mtz one

    ray........NEW LOOK

    HAYA SASA MUONEKANO MUPYA WA vicent kigosi hahaha kweli age is just a number!!!!!!!!!!!! http://2.bp.blogspot.com/-ue75dKt0frs/UoZCPcvJ_JI/AAAAAAAAolU/DZ7irZR9VLM/s1600/1.jpg
  20. mtz one

    barua kwa @farkhina na wana chit-chat wote.

    ndugu mwenyekiti wa jukwaa hili ndugu Arushaone naomba kupitia kwako na wajumbe wote kutamka kwamba nampenda sana sana madam farkhina mpaka nakosa raha katika maisha yangu haya ya taabu. dear farkhina salaam nyingi zikufikie hapo ulipo dhumuni la barua hii ni kukuambia kwamba i love you...
Back
Top Bottom