Search results

  1. mtz one

    Wasafiri msaada juu ya Mtanzania anayesafiri kwenye nchi zilizo katika orodha ya visa free

    Mkuu kwa kutokea huku bongo ile desk ya ndege/,uhamiaji hawakusumbui?
  2. mtz one

    Wasafiri msaada juu ya Mtanzania anayesafiri kwenye nchi zilizo katika orodha ya visa free

    Hivi mkuu kaunta za bongo hawakusumbui kwenda hizo nchi bila visa?
  3. mtz one

    Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

    Watanzania amkeni mtalizwa...utapeli ni mwingi mno
  4. mtz one

    Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

    Kwani ni nyanya kwamba itaoza? Mi ntaaminije kama sio utapeli?
  5. mtz one

    Kwanini katika kundi kubwa la wanaume wa miaka 50+ wanaofariki na kupata maradhi ni wanywa pombe ?

    Unajifariji sana mlokole... hiyo ni kinyume chake wanywa sumu (soda) na masukari ndo mnaongoza kwa diabetes, BP na magonjwa ya moyo!
  6. mtz one

    Wapinzani msimwamini Dkt. Slaa

    Hamna kesi hapo.
  7. mtz one

    Wagner wakumbwa na matatizo ya hela, mishahara imekuwa tafrani

    Hahahaha we jamaa ni gaidi aisee... jeshi la mrusi vikosi vya chamazi, mbande, kisemvule mpaka mbezi louis lote umelizika ziiiiiiii
  8. mtz one

    Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

    Written interview kwa assistant lecturer huwaje?
  9. mtz one

    Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

    Ulaya ya magharibi au iliyoendelea ukipenda asilimia kubwa ni protestants... na u protestant ndo ulikua chachu ya mabadiliko makubwa huko ulaya. Evangelicals hawachanganyi dini na dola.
  10. mtz one

    Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

    Hata Vatican haimtambui kama ni mkatoliki hadi papa alitoa amri asimzike vile anashikilia misimamo hasi ya kikatoliki
  11. mtz one

    Rais Samia aamuru Wasaidizi wake wamtoe nje ya uwanja mtu mmoja kwenye Sherehe za Mei Mosi

    Kama yule aliyeambiwa aache kinyesi chake Nyumbani pale aende kukaa tuu.
  12. mtz one

    Mwenye CV ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rozimery Senyamule aweke hapa

    Ukuu wa mkoa una job description gani ya maana?
Back
Top Bottom