Search results

  1. G

    Comparisons of computers available in DAR or out of Dar

    Hicho cha mtoto, m-PM juaKali akuonyeshe madude. Jamaa anatisha niliingia maskani kwake ana dude jipyaaaa. Alienware. Nafikiri process yake ina uwezo kununua system yako mzima! "Intel Core i7 975 Extreme 3.6 GHz) na video card HD 5870 ATI Eyefinity. RAM 24GB.
  2. G

    How to Choose nice Laptop

    Sijaona point yoyote hapo, labda kama unaongelea urembo wa laptop! Linganisha http://www.ehow.com/how_108495_choose-laptop-notebook.html
  3. G

    Wabeba mabox vs wala vumbi: Chuki ya nini??

    ************************************************************** Je mmeacha kuchambia kopo???
  4. G

    Nahitaji laptop: Naomba ushauri ninunue Dell au Toshiba?

    Kama bado huja amuua ipi utanunua chukua shilingi irushe juu, Kichwa "Dell" Mwenge "Toshiba". Hizi laptop zote hutengenezwa Asia!!!! Halafu cha muhimu kukumbuka ni kwamba Laptop ziyo urithi, Miaka miwili mitatu inatosha sana kuanza kufikiria Laptop mpya...
  5. G

    Msaada wako unahitajika hapa

    Angalia uwezekanano wa kununua static IP, itakugharimu $3.00 per month. hii ni suruhisho kwa matatizo yanayojitokeza mara kwa mara kwa web za kuchangia.
  6. G

    The first billionaire in tanzania

    Na mbongo aliyeshinda powerball mnampatia nafasi gani au mnaongelea paycheck??
  7. G

    Networking , Programing and Database

    Usikatishwe tamaa na watu wanatoa ushauri kwamba ni lazima uwe mzuri katika Physics & math katika level ya university, kuna watoto, hata high school hawajamaliza wanaandika program zinazotisha. Ushauri wangu ni kwamba mambo ya CS / IT yanahitaji uwezo wa kufikiria kwa mpangilio (logically) hicho...
  8. G

    How to disable a STOLEN mobile phone?

    Natumia Instinct ntaipataje?
  9. G

    How to disable a STOLEN mobile phone?

    Natumia Instinct ntaipataje?
  10. G

    [Tanzania]Potential to produce 735 million barrels of oil

    Mkuu, hawasemi wazi wazi kwa vile hawajui yapo kiasi gani, kutokana na Earth complicated filtration system, mafuta yanaendelea tengenezwa kila siku huko ardhini.."GarageRules Theory 2009" Mafuta kama maji vile hayakauki ila yanaweza pungua au yakahamisha mkondo!!! Na mitambo hii hapa...
  11. G

    Yanga Hatari!

    Mzalendo, nani aliyeifungia yanga hilo bao?
  12. G

    Msaada - computer monitor

    Nimefanikiwa asanteni; Kwa vile niliweza kuburn files nilizokuwa nimehifadhi mle sikuona umuhimu wa kundelea kushindana nayo kila siku hivyo nikajaribu ku-reinstall vista ikagoma, nikachukua mkongwe Windows XP nikaformat HD na installation ikaenda vizuri. Hivyo sinabudi kuwashukuru wote...
  13. G

    Msaada - computer monitor

    Nipo mbali sana kutoka katikati ya jiji, na wajinga wanabei ile mbaya sehemu nyingi ni kati $100.00 to 120.00 per hour kitu ambacho nakiona uzushiiii! Ngoma bado imenuna, ila kizuri nimeweza kuburn vitu muhimu nilivyovihifadhi humo, baada ya kazi nitafanya fresh installation.
  14. G

    Msaada - computer monitor

    Ntajaribu halafu ntawapeni feedback baadaye.
  15. G

    Msaada - computer monitor

    NIna utundu kidogo na Windows XP, na hii system ina Vista Home premium OS, jana nimejaribu kutafuta system restore sikuiona mara moja. Halafu kuna kitu nilisahau kuwaelezeni, Nilikuwa online punde warning window ikatokea ikisema trojan zimee-infect system, kabla ya kupata jina la hiyo trojan...
  16. G

    Msaada - computer monitor

    Wakuu popote mlipo, nahitaji msaada; computer monitor imeenda off, nimejaribu kuangalia kitu gani kinasababisha bila mafanikio. Nimejaribu kubadiri Graphic card, swap monitors bila mafanikio yoyote. Then nikajaribu ku-boot in a safe mode, kila kitu kinafanya kazi, nikitoka kwenye safe mode mambo...
  17. G

    CCNA/CCNP/CCIE Tutorial

    Tumia PowerISO(badala ya .rar or zip), itaextract kila kitu, nimefanikiwa muda si mrefu uliopita!!!!
  18. G

    CCNA/CCNP/CCIE Tutorial

    Nimedown lakini file ext ni .bin hakuna .cue yake hivyo sijafanikiwa kulifungua, hata ISO recorder inashindwa kulitambua.
  19. G

    Ccnp - pass4sure!!!

    Haya wakuu naona tumeanza kuchanja mbuga, nimepata CCNP - Pass4Sure!!! Nilivyoiangalia haraka haraka usiku nimeona itakusaidia sana kama uta go thru materials za mkuu Kilongwe(CCNA/CCNP/CCIE Tutorial), kwa vile hii ni maswali na majibu!! Professor wangu kanambia kuwa maswali almost yote...
  20. G

    CCNA/CCNP/CCIE Tutorial

    Mkuu sijaweza fanikiwa ku-download server time-out Error, ntajaribu nikirudi nyumbani kuona kama ntaweza kudownload. Kuhusu IOS, Kuna wakati nilijaribu kuzitafuta kupitia cisco, lakini ngumu kuzipata hivi hivi tuu, labda kama wamebadiri masharti... Kama kuna mtu mwenye shida ya hizo IOS...
Back
Top Bottom