Search results

  1. Y

    TAHADHARI: Ugonjwa wa 'dengue' waingia Dar es Salaam!

    Yap Aedes ndiye mbu husika kwa kusambaza ugonjwa huu, na kijiographia wamegawanyika katika magroup mawili Aedes aegypti na Aedes albopictus na kwa ukanda huu wa Tanzania tunaye Aedes aegypti huyo ndiye anasambaza Dengue, Chikungunya na Yellow Fever na jina maarufu la huyu mbu ni Yellow fever...
  2. Y

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    Bado ipo hewani mkuu...wataka shule gani nikuPM page nzima?
  3. Y

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    Kama watumia keyboard shika CTRL+F halafu andika jina la Shule, kama Jina la shule ni Unique (mfano Ilboru) itakupeka kwa hilo jina halafu gonga ENTER utakutana na ubao wa matokeo..Kila la heri.
  4. Y

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    Ukigonga hii https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/data/olevel.htm then find (andika jina la shule) inafunguka fasta labda kama unatumia network ya magumashi
  5. Y

    Khamis Sadifa Juma: Mwenyekiti UVCCM TUJULISHANE WASIFU WAKE

    Donge Secondary School O-Level Education 1997 1998 SECONDARY Hamamni Secondary School O-Level Education 2000 2001 SECONDARY O level kasoma 1997-1998 halafu akasoma tena 2000-01. hapo kati mwaka 1999-2000 alikua wapi na alikua anafanya nini? Kweli Magamba ni soo
  6. Y

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Safari hii ni zamu ya Makoba kungolewa meno na kucha bila ganzi..picha linaendeleaaa...
  7. Y

    Naibu waziri alizwa

    Umejuaje kaka..utakua na undugu na marehemu shehe Yahaya
  8. Y

    Naibu waziri alizwa

    NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima ameibiwa vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya Sh23.3milioni (Hapa yupo safarini je akiwa home) katika Hoteli ya Nashera mjini hapa. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Hamisi Seleman alisema kwamba uchunguzi wa tukio hilo lililotokea...
  9. Y

    JK Aikana Sera ya Maisha Bora kwa Kila M-TZ

    Na ataikana sana coz haikuwa na plan ila maneno ya politics yaliyokosa utekelezaji
Back
Top Bottom