Search results

  1. D

    Moshi kuna upepo mkali sana muda huu

    Nipo Moshi kuna upepo unavuma si mchezo anga lote ni vumbi tu na huu upepo unatokea Kusini Magharibi madhara sijajua ila kwangu macho yashaleta shida. TMA
  2. D

    Nyoka wenye mistari wana madhara?

    Wajumbe habari za muda huu? Niko njiani natembea kurudi zangu nyumbani kutoka kilimoni. Hatua mbili mbele kakatisha mjusi wa mistari mistari. Nilivyopiga hatua sijakaa sawa kapita nyoka huyo wa mistari katikati ya miguu yangu akaunga kule alipokimbilia mjusi. Uongo mbaya niliishiwa nguvu na...
  3. D

    Inatubidi tuende na Dunia inavyotaka. Hivi Mungu yupo kweli?

    "Mfano halisi ni humu Jf naamini 90% wana Dini zao na wanaobaki ndio vile hapa na pale. Hoja inakuja hivi" Watu Waki post mambo ya ngono ngono asee wachangiaje ni kama wote ila mtu akiweka maada za kujenga sasa!? Mimi binafsi tangu nimejiunga humu ni mwaka wa kumi huu lakini mabandiko yangu...
  4. D

    Mikosi ya makusudi na kujitakia maisha haya hutoboi

    "Jambo jambo JF members? Turudi kwenye mjadala, Kuna kitu kimoja tunakosea sana katika maisha yetu ya kila siku na hichi ndicho kina chose banish a majanga na visanga viendelee na kudidimiza uchumi wa kina kajamba nani kizazi na kizazi. Ipo hivi, mtu unatumia ndoo kuogea, halafu hiyo hiyo ndio...
  5. D

    Ujenzi wa leo na matumizi sahihi ya milango

    Jf kwa wakubwa na wadogo salaam. Jambo moja ambalo nimelishuhudia vya kutosha ni hili ambalo naomba niwashirikishe halafu tuchambue kwa pamoja. Ni kuhusu nyumba nyingi sana zilizojengwa kisasa ni kwa nini ule mlango mkubwa ambao ndio unatumika kuingilia Sebuleni huwa hautumiki badala yake...
  6. D

    Safari za Treni kuanzia Dar hadi Arusha kupitia Tanga /Kilimanjaro, kuanza Julai 20

    Habari wanajamii? Poleni na misuko suko ya Musiba kwa ujumla (apuuzwe) Lakini apewe uzito kadiri impasavyo Ok turudi ktk dokezo. Jana usiku nimeisikia Treni ya mizigo ikipiga honi za mbwembwe sana hadi zile za kidedea ikiingia station hapa Moshi inamaana ndio imeanza rasmi naona. Kuna watu...
  7. D

    Mke wangu amebadilika sana kwa sasa.

    Salama wakuu? Tumefunga ndoa takribani miaka 9 iliyopita, mara ghafla mvua ikaanza kunyesha kugeuka nyuma kimbembe si ndio nikajua naharibu! Ile kushangaa polisi nao hao wanakula maembe ebanaee jirani naskia kapanda mwendokasi! Basi bwana ujue nini? Msimu wenyewe haukuwa mzuri kwani unauzaje...
  8. D

    Umeshawahi kutenda wema na ukakutokea puani?

    Habari za Jumapili wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna baadhi tu ya mambo ambayo unaweza kuamua kuyafanya kwa moyo mmoja yaani ukaona kabisa hapa natenda wema na malipo ni kwa Mungu ila binadamu mwenzio ni shukrani tu. Lakini kinyume chake ukajikuta unajuta siku nzima au pengine...
  9. D

    Unafahamu mtoto wako ana DNA za Ex Boyfriend wa Mke wako!

    Jinga kabisa. Unakariri hadi basi, ningekuona mjanja kama ukienda chooni unachamba kwanza halafu ndio u.n.ye.
  10. D

    Uza Land cruiser Hj75 pick up

    Inahitajika gari tajwa hapo juu iwe inatumia Battery moja na ambayo imeshatumika hata hapa Nchini Engine iwe haijawahi kushushwa na isiwe kimeo karibuni.
  11. D

    Nani kawaloga wakina mama wa Dar?

    Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kwao baadhi ya kina mama wa mkoa huu wa Dar kuwakuta wamevaa mavazi yasiyowastahili kwa mfano unamkuta mmama kavaa kitop na tight jeans na ukimuangalia unajua kabisa hii ngoma ni 45+. Ndio kusema magauni siku hizi sio dili? Maana naona mafundi chereheni...
  12. D

    Eti ni kweli wa Tanzania ndio wanaongoza kwa salamu Duniani?

    Kama kichwa cha "habari" kinavyojieleza hapo juu ni kwamba wabongo ukimsalimia ukasimama nae basi lazima salamu yenu ili ikamilike itachukua sekunde thelasini hadi dakika moja? Na kingine ni zile salamu zilizo na zisizo rasmi na watu wanaelewana vizuri. Kwa mfano" Niaje? Inakuaje? Mambo...
  13. D

    Ni kweli inawezekana kuangalia chanel za kulipia bure usibishe

    Habari gani wadau? Ningependa kushare nanyi jambo hili. Ebwana ni kweli unaweza kuangalia Tv Stations zote za kulipia kwa kupitia king'amuzi cha naniliu nyota times bila kulipia kwa miezi sita mimi kuna jamaa kaniunganishia leo wala sijaamini ila nasubiria kama watanifungia nisione chochote au...
  14. D

    Wafanyakazi wa Tanesco na kufuru ya Matusi.

    Habari wanajamvi: Hapa nawazungumzia hawa wafanyakazi wa tanesco upande wa kubeba/kushusha/kuchimba na kuweka nguzo kisha kuunganisha nyaya. Hivi hawa jamaa ni kipi kinawasibu hasa! Maana ni mara nyingi nimepata bahati mbaya kupita sehemu wanakofanyia hizo kazi tajwa hapo aisee wanatukana si...
  15. D

    Tanzia:Kufiwa kusikie kwenye Radio tu

    [b]Habari za majukumu wanajamvi? Natumai muwazima na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku. Nasikitika kuwatangazia kwamba nimefiwa na Baba yangu mdogo ambae ndie aliyekuwa mlezi wangu ndugu Anselm L Mrema naibu mkurugenzi wa shughuli za bunge mazishi ni kesho marangu kiraracha kwa wale wana...
  16. D

    Gazeti la kesho kusomwa saa hizi inakuaje?

    sHabari zenu wadau wote mnaopitia huu uzi? Naanza na swali hivi inakuwa vipi kulisoma gazeti zima la kila siku siku moja kabla ya muda wake wa kutoka? Nauliza na nipo tayari kufahamishwa kwa wanaojua na wasio jua na hapa nalizungumzia gazeti langu pendwa la Tanzania daima "nimelisoma kabla ya...
  17. D

    Alshabab walifanikiwa kuondoka

    Ndio habari inayowaumiza vichwa wana usalama wa Kenya wakisaidiwa na wale wa kutoka Nje ni kwamba baada ya kufanya lile tukio la Westgate jamaa walifanikiwa kuondoka salama salmin kwa kupitia mtaro wa maji taka ambao umeambaa mita kadhaa kutoka lilipo jengo walimofanya tukio la kufuru...
  18. D

    Kifaulongo na Maajabu yake je ni kweli kwa yatukiayo?

    Tangu ninakua hadi leo unapomzungumzia huyu mdudu watu wengi watakusimulia kwa hadithi tofauti je. Ni kweli huyu mdudu ukimruka wakati unatembea kifuatacho ni kusahau kufika kule unapodhamiria? Hebu wanajamvi tujuzane kuhusu hayo kwa awali asanteni.
  19. D

    Kwa anayejua lumia 800

    Habari wakuu nahitaji msaada wa mtu anayefaham nitapata wapi dispay (complete na touch) lumia 800 ilianguka ikavunjika
  20. D

    hodi hodi wenyewe humu

    Habari za majukumu wana jf? Kwa muda mrefu nimekua nikipata habari na hoja mbali mbali kutoka mtandao huu wa jf kupitia page yao niliyoi like fb kusema kweli kuna nondo za kushiba sana(habari zilizojitosheleza) kiasi ambacho imenibidi nifanye mpango wa kuwa mwanachama wa moja kwa moja wa jf sina...
Back
Top Bottom