Mawazo yako ya kuanzisha kilimo ni mazuri ila nina maswali mawili kwako.
1. Je, unaishi huko huko Morogoro?
2. Je, kama nikisema niongeze mtaji ili tushirikiane tuweze kulima hata ekari 10 utakuwa tayari? Maana mimi niko Dar na ninafanya kazi za kuajiriwa na kwa mantiki hiyo kama tutakubaliana...
Kiwanja kinauzwa eneo la Sinza karibu na Shule ya Mapambano, kina fence. Ukubwa: 4000sqft, kinafaa kwa makazi au biashara. Bei ni maelewano baada ya kukiona. Piga 0767 591610. Dalali hatakiwi.
Mkuu, heshima mbele,
Nimevutiwa na ushauri wako kwamba kuna mtu ana hard ware anakopesha vifaa vya ujenzi, nadhani hata mimi mtu huyo anaweza kuwa wa msaada kwangu.
Mimi ni mtumishi wa Serikali, ninajenga eneo la Tbt Kinyerezi na tayari nimeshapaua na kufunga grills za milango na madirisha...
Jana nilikuwa kwenye semina pale M'nyamala - K'ndoni katika ukumbi wa vijana. Nilishangaa kuona kuna pikipiki nyingi takriban 300 ambazo tayari zina usajili zikiwa zimeifadhiwa pale, na kwa jinsi zilivyojaa vumbi, inaonekana zimekaa pale mda mrefu kidogo.
Sikuweza kupata mtu wa kunipa jibu la...
Most 'First Class!' students get senior technical and scientific jobs and some of them become Doctors and Engineers.
The 'Second Class' pass, and then pass MBA, become Administrators / Managers / Executives
and control the 'First Class'.
The 'Third Class' barely passes (or claims to...
Tatizo kubwa liko hapo kwa mwenye shule kukubali changamoto ya kuanzisha bodi ya shule, maana anahisi bodi itaanza kuhoji namna ya matumizi ya hela nyingi anayoipata. Pili, wazazi takribani wote wanaonekana kuridhika, hakuna anayepiga kelele. Nadhani labda hawana hata muda wa kufuatilia...
Mpaka kufikia mwaka 2005, shule ya TUSIIME iliyoko Dar es salaam maeneo ya Tabata Segerea ilikuwa inavutia sana wazazi kupeleka watoto wao kutokana na mambo kadhaa kama; Ada ilikuwa ya kawaida, Idadi ya watoto kwa kila mkondo kati ya 25 hadi 30, walimu kujituma na kufuatilia wanafunzi kimasomo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.