Search results

  1. kibaizi kiki

    Ujio wa watu mashuhuri Tanzania siku za karibuni

    Huyu nae yupo nchini, mcheza sinema maarufu kutoka US
  2. kibaizi kiki

    NHC kuna kaimu mkurugenzi?

    Nadhani ni kujua kiswahili vizuri tu maana unasema ni kaimu mkurugenzi na sio naibu mkurugenzi. Yeyote ndani ya NHC anaweza kukaimu nafasi hiyo kama mwenye dhamana hiyo hayupo lakini naibu ni cheo rasmi cha mtu
  3. kibaizi kiki

    Channel 10 na makosa kwenye taarifa za habari

    Kampuni hii imekuwa kwenye utangazaji wa tv kwa muda mrefu sasa. Lakini pamoja na uwezo mkubwa ya kuyafikia maeneo mengi na kutoa taarifa nzuri kwa watanzania, wana tatizo la kutokuandika majina ya watu wanaowaonyesha aidha wakati wakiwahoji ama kuchukua habari zao. Kama mtazamaji umeikuta...
  4. kibaizi kiki

    Unafiki wa shivji;sababu hii hapa

    Huyu mhindi pori anatumikia kama vinaniii, sasa leo hata prof. Maji Marefu na mbunge wa misenyi wanamnukuu! Ni hatari sana
  5. kibaizi kiki

    Hivi Tanzania nzima msomi ni Prof. Shivji pekee?

    Shivji kachoka kama Mrema anatafuta kusaidiwa na chama hadi hapo mauti itakapomkuta. Haiwezekani akubali kutafutiwa Vijana wa vyuo wa kukodisha ambao walikua wanamshangilia hata akipiga chafya pale blue pearl hotel. Yeye ni msomi wa type ya Benson Bana
  6. kibaizi kiki

    Mfanyakazi Bandarini afariki ktk Mazingira tata, Uongozi WA juu TPA wahusishwa!

    Senior Officer ni Afisa Mwandamizi na Principal Officer ni Afisa Mfawizi. Haya tuendelee na story
  7. kibaizi kiki

    Kwa mliowahii kuvaa nguo hizi na viatu hivi, unakumbuka nini miaka ya 1998 hadi 2005

    Wana JF inabidi tukubaliane kuwa na uwezo wa kuvumilia kwani wakati wa registration hakukuwa na limit ya age (so long as you're 18yr) basi upo huru kuja na sensible and constructive topic au swali. Sasa mtoa hoja hii inawezekana wakati akivaa mavazi yale alikua 14-16yr lakini leo yupo 30yr...
  8. kibaizi kiki

    Denis Msaky atoka Mwananchi atimkia Mtanzania

    New Habari Corporation wameamua kujiimarisha hasa katika kipindi kinachokaribia kampeni za uchaguzi mkuu kupitia magazeti kwakuwa wanamchukua na Sholei aliyerithiwa na Tido pale Mwananchi
  9. kibaizi kiki

    Amiri Jeshi Mkuu mlemavu wa miguu

    Sina uhakika kama rais wa USA ndie pia amiri jeshi mkuu
  10. kibaizi kiki

    Amiri Jeshi Mkuu mlemavu wa miguu

    Natambua katiba ya nchi ya sasa na hata rasimu ya pili ya katiba inatambua kuwa rais wa nchi ndiye atakua amiri jeshi mkuu. Na moja wapo ya matukio baada ya kuapishwa rais na katika matukio mengi ya kitaifa rais ukagua goalie la majeshi yake yote. Naomba wana JF mnisaidie kunielimisha juu ya...
  11. kibaizi kiki

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Mtoa mada anaonesha jinsi asivyo makini, yaani hata kirefu cha tpdc alivyokiandika ni kuwa hana shida na alichokiuliza
  12. kibaizi kiki

    Ajira TPDC

    Ndugu, hapa tunaongelea rare professions, ila hata mshikaji wangu ashaenda ingawa priority ni kwa key staff waliopo kwenye oil and gas. Lakini pia sio kila auditor au accountant anafit moja kwa moja bila kupata mafunzo specific kwenye industry ya petrol and gas
  13. kibaizi kiki

    Ajira TPDC

    Kama una cpa umeula maana ni equivalent na master degree
  14. kibaizi kiki

    Ajira TPDC

    Nasikia ni kama 1.7m/- ila uzuri wao ukiingia unalazimika kupelekwa abroad for further training hata kabla ya kumaliza probation nchi za Norway, UK, Australia etc. Wanahitaji wataalam kwa gharama yoyote na kwa haraka sana. Vijana wengi hawamalizi miaka miwili wanapelekwa tena shule. Huu ni...
  15. kibaizi kiki

    CRDB Kijitonyama mnaboa bhana

    Hivi kuna maana gani kuwa madirisha mengi lakini lifanye kazi dirisha moja. Branch managers wanatakiwa waangalie na situation, kama customers ni wachache basi tellers wapunguzwe, lakini unakuta watu zaidi ya mia na teller wapo wawili ilihali madirisha manne hayana tellers, inaboa sana, CRDB...
  16. kibaizi kiki

    Ajira TPDC

    Ndugu hizi ni mpya mbichi kabisa, zile zilikua kama 50 na kitu, hizi ni karibia 200. Usikate tamaa inawezekana hii ndio zamu yako kwani hamuwezi kupata wote kwa mara moja. Chukua ushauri wangu utafanikiwa ndugu
  17. kibaizi kiki

    Ajira TPDC

    Huwa najiuliza kwanini wakenya wanapata ajira zetu hapa wakati sie ni wazuri sana kwenye performance, kumbe ni uoga tu kuomba kazi kwa kisingizio kuwa eti 'after all kazi zenyewe washapeana hii ni formality tu'. Huwa natamani kuomba kazi kila siku na huwa napata ila nachagua na nyingi...
  18. kibaizi kiki

    Ajira TPDC

    Ndugu acha maneno magumu hivyo
  19. kibaizi kiki

    Ajira TPDC

    Wakwepa hesabu utawajua tu. What I understand, of recent, science university students have been doing good, we should not generalize on individual poor performance. First na upper second zipo za kimwaga na nowadays hawataki kubakishwa kufundisha manake lini watakua senior lecturers wakati...
  20. kibaizi kiki

    Ajira TPDC

    Well said my friend, tuache kulalama tutume maombi wakachuje wenyewe manake you never know. Labda tumeridhika kukaa kwa shemeji
Back
Top Bottom