Search results

  1. M

    Nyumba za Prefab Tanzania

    TEKNOLOJIA ya prefab haiwezi kuwa na mana kama nayo pia itakuwa ni kitu cha kuagizwa toka nchi za nje. Kimtazamo kwa sababu huko nje vifaa vyote vya ujenzi ni nafuu na vinapatikana, prefab ni kitu cha anasa na hivyo bei yake haishikiki. SISI Afrika tufanye juu chini ili tutengeneze...
  2. M

    Serikali tatu inawezekana, inatekelezeka

    SERIKALI TATU INAWEZEKANA, INATEKELEZEKA..... SEHEMU YA KWANZA: Tuanze na dua ambayo ninapendekeza kwa kila mjumbe kaika bunge la katiba kuikariri na kuisoma binafsi au katika kikundi asubuhi na jioni. DUA ambayo itawafaa wajumbe wote wa Bunge la Katiba Mpya bila kujali imani ya mtu kuanza...
  3. M

    Shelukindo: Namuunga mkono Lowassa kumrithi Kikwete

    SHELUKINDO TUMEKUSIKIA, NA SISI TUTAKUUNGA MKONO IKIWA KAMA CHAGUO LAKO LA MGOMBEA WA CCM LITAWEZA KUYAJIBU MASWALI HAYA KITAIFA NA SIO KICHAMA: Mheshimiwa asiye mheshimiwa na asiyejiheshimu, Shelukindo hebu tupe sababu za sisi kukuunga mkono kama bwana huyo atakusaidia utujibu masuali...
  4. M

    16 shops in one landlady building to pay each 50,00/= each for a dirty latrine?

    TANZANIA lawyers can you help these people. It is a group of 16 wajasiriamali who rent Mama Upendo shops. Now, the building that house the shops has been fined for a dirty latriene. The fine is shs.50,000/=. Mama Ofisa afya wa kata says each shop has to pay that fine totalling up to shs...
  5. M

    Simu za mkonooni na wizi wa kimachomacho

    BAADHI ya watumishi wa simu za mkononi inaelekea wameanzisha biashara mpya isiyo na kodi nayo ni kukata muda wa maongezi mtu aliolipia na kuuhamishia kwenye simu au zana nyingine za kitahama ili kujinufaisha wao binafsi na sio mteja wala mwajiri wao... Mkiwa na teknolojia inawashinda mameneja...
  6. M

    Octoba 14 na kumbukumbu ya nyerere na nasaha zake

    Friday, October 12, 2012 OKTOBA 14 (Kwa ajili ya kumbukumbu ya Mwalimu na Usia wa Hatma ya Tanzania.) NAMSHUKURU Karimu, kwa kunipa itihari, Amri nimesalimu, nakukubali kadari, Ili siku ya hukumu, janibu isiwe nari, Kwa nafsi kuidhulumu, kwa yasokuwa na kheri...
  7. M

    Mapungufu katika Wimbo wa Taifa la Tanzania

    Wimbo wa Taifa:MAPENDEKEZO KWA TUME YA KATIBA: WIMBO MPYA WA TAIFANINATUMIA fursa hii kuwaomba wasomaji wangu kuchangia maoni na maudhui kwa ajili ya wimbo mpya wa taifa. Ninaona kuotkana na matukio ya zamani na hivi karibuni kwamba wimbo tuliokuwa nao ambao upo hapa chini umeshapitwa na wakati...
  8. M

    Watanzania mmefanya makosakuchagua serikali ambayo ndiyo chama tawala pia

    Watanzania sio tu wabunge ambao ndio wawakilishi mliowachagua wenyewe kwa huba na mapenzi yenu sio tu wanaamini kuwa wana haki ya kuwa na mishahara, marupurupu na posho kubwa kubwa, bali pia kwa kukataa kwao bungeni kuzungumzia masuala ya kufa au kupona kwa upande wenu kutokana na mgomo wa...
  9. M

    Vyandarua vinavyotiwa dawa sasa vyazua maaafa.

    UTAFITI wa hivi karibuni unaonyesha kwamba mbu wana akili zaidi kuliko viongozi wa binadamu waliopo duniani hivi leo baada ya mbu hao kujibu mapigo ya chandarua kinachotiwa dawa kwa kujigeuza viumbe wasiodhurika na dawa zitumikazo na hivyo kuongeza maradufu kasi ya kuwashambulia binadamu ndani...
  10. M

    Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    By M. Njaakali. Transport in and around Dar es salaam city has become almost impossible due to an unexplained and unresolved causes that remains a mystery todate since the government intervened in the market by lowering the prices by around 8 per cent.Today, there were long queues in the few...
  11. M

    Serikali, Rada na gazeti la Majira, Tanzania

    HVI kashfa hii ya rada na fedha zinazodaiwa kutoka Uingereza baada ya kusemekana maofisa wa serikali yetu walipewa chochote ili dili hilo lifanyike si iliwahi kuandikwa na gazeti la Majira linalomilikiwa na Business Times LImited, Tanzania kwenye miaka ya 1994. Nakumbuka kuwa wachapishaji na...
  12. M

    Bunge la sasa kwa msiojua ni Bunge hasa

    KUNA wanaodhani eti kuna kasoro na udhaifu mkubwa bungeni hivi leo. Siamini hivyo. Hili ninadhani linatokana na yale mazoea ya kuwa na bunge ambalo lilikuwa legelege na linalolala na kuuunga mkono hata kile wasichokijua wala wasichokielewa.Bunge hili lina vijana angavu wasiotaabika na maumivu ya...
  13. M

    Bunge la Uingereza vs Bunge la Tanzania

    Nilikuwa nikitazama bunge la Uingereza juzi na jana kufuatia sakata la Mzee Rupert Murdoch na uvujaji wa siri za serikali na viongozi wa Uingereza. Nikafananisha bunge hilo na kuona kwamba MKAO wake ndio unaostahili kuwa mkao wa bunge la Tanzania. Mkao wa hivi sasa wa bunge Dodoma ni mkao...
  14. M

    Tukijifananisha na Malaysia tuna kitu cha kujivunia miaka 50 ya Uhuru?

    WANAOTAKA tujipongeze kwa mafanikio ya Miaka 50 ya Uhuru kwanini wasijiulize: 'Hivi hizi mbio za uhuru na maendeleo si tulianza sawa na Malaysia, Korea Kusini, Indonesia na nchi nyingi tu za Kiarabu ?' Hivi tukijifananisha na Malaysia ambako juzi tu Mzee katoka huko, tuna kitu cha kujivunia...
  15. M

    Siasa za kizamani,Bunge na gharama za Uendeshaji

    LAITI mikoa ingekuwa na mabunge ya mikoa basi bunge la JMT lingehitaji tu kukutana mara nne kwa mwaka katika vipindi vya juma moja kila kikao.Kikao cha kwanza kingelihusu kupitia maamuzi ya mabunge ya mikoa na kuyabariki; kikao cha pili kingelihusu kupitisha miswaada mbalimbali; kikao cha tatu...
  16. M

    Constitution Does Not Justify Seating Allowances to MPs, Say Activists ... Pinda was Wrong!!!

    WAKATI Watanzania wameanza kuhoji mishahara, marupurupu na posho wanazopata wakubwa serikalini na kwingineko lengo lake likiwa hao wanaolipwa vizuri wanalipwa hivyo ili wasaidie wananchi kuondokana na umaskini lakini sasa kukiwa na maswali kama HALI YA NCHI NA WANANCHI kwa ujumla inaruhudu...
  17. M

    Waliowekeza hapa Tanzania kwa mapana na marefu yake sio wawekezaji bali ni wasanzuaji

    Dalili za kubaini kwamba mwekezaji si mwekezaji bali ni msanzuaji ni hizi hapa:1. Hutumia mabilioni kujisafisha na kujitakasa kwa sabuni na marashi kwa nje, lakini kwa ndani ananuka uharo na matapishi kabakaba;2. Huwafundisha hata korokoroni wao kudharau sio wananchi tu hata viongozi wao;3...
  18. M

    Zitto, Serikali na hasara ya

    Zitto, Serikali na hasara ya BOT HIVI wenzetu BOT watalipwa bakshishi na maslahi yao kama kawaida pamoja na kulitia taifa hasara kutokana na kuachana na utaratibu unaoaminika kimataifa wa kuweka akiba ya fedha za kigeni kwa dhahabu ? Niliamini kwa kuwa taasisi hii imepata msomi tena...
  19. M

    Mwanasiasa, mbunge, mchungaji, nabii, mwenye shule, Chuo, Chuo Kikuu, redio na....

    HEBU zitazame shule zako eti, maana toka shule zifunguliwe msimu huu matatizo ya watoto kukosa magari ya uhakika yamezidi. Basi moja limepata ajali za kipumbavu tu mara mbili. Mama, tunazipenda shule zangu lakini jairbu na wewe kutokana na ada tunayolipa kututendea sisi wazazi haki. Watoto...
  20. M

    Utajiri wa Ridhwani wamweka pabaya Kikwete

    Kinachomponza Ridhwani sio kingine ila tabia yake na mahusiano yake na mafisadi. Maana watu humtambua mtu kutokana na wale anaoandamana nao. Kaka ulikuwa na kina nani Uingereza ? Na leo hapa Dar unaafuatana na kina nani, unakula na kina nani, unazungumza na nani na unawakopa kina nani ? Kiasi...
Back
Top Bottom