Search results

  1. Ndanda to Lomwe

    Mwigulu Nchemba: Amepata wapi hela ya kukodi Chopa?

    Mwacheni achanje mbuga kama kuna ushahidi wa yeye kutumia hela chafu leteni humu
  2. Ndanda to Lomwe

    DOWANS vs TANESCO - Why TANESCO Lost?

    INVISIBLE TAFADHALI WEKA DOCUMENT YOTE,KUNA PAGE NO 1 MPAKA 90 ZINAMISS:redfaces::hungry:
  3. Ndanda to Lomwe

    Elections 2010 Happy Birthday Dr. W. P Slaa

    happy birthday mr prezidaaa.
  4. Ndanda to Lomwe

    Prof David Mwakyusa ampoza Bw. Richard Kasesela kwa kumpa ujumbe wa bodi

    Pia kamteua dada yake kasesera anaeitwa dr subilaga kasesela -kaganda kuwa mjumbe wa bodi ya tfda iliyozundiliwa mwanzoni mwa mwezi aug 2010 huko dodoma.tfda ni mamlaka iliyo chini ya wizara ya afya.
  5. Ndanda to Lomwe

    Wanaharakati waandamane kumshinikiza Kikwete

    MM, ni kama ulikuwa akilini kwangu,mimi nimejiuliza sana kuhusu hawa wana harakati uelewa wao wa hayo mambo wanayotakiwa kuyapigania,Bunge limefanya sana kazi yake tena nzuri sana na ya kuigwa katika jamii yetu na hapa lazima tumpongeze Mh mzee 6 kwa ujasiri wake wa kusimamia kile ambacho...
  6. Ndanda to Lomwe

    Daudi Mwakawago afariki Dunia

    RIP mzee wetu mwakawago,nakumbuka alitoa mchango mzuri kwenye kongamano la mwalimu Nyerere foundtion lililofanyika mwishoni mwa mwaka jana amabalo viongozi wetu wengi walilibeza sana.
  7. Ndanda to Lomwe

    Uongo wa Mwanamke wa Daraja la Sarenda.

    Jamani,WHAT ABOUT THIS?
  8. Ndanda to Lomwe

    Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

    Mkurugenzi wa AICC Mr Kaale mbona ni mjumbe wa NEC ccm na aliteuliwa na Rais kushika wadhifa huo baada tu ya kuchaguliwa katika NEC kupitia mkoa wa Arusha.Ghasia is playing dirty politics,kama ni waraka uwe kwa watumishi wote kuzingatia maslahi ya Taifa.
  9. Ndanda to Lomwe

    Spika 6 alivyotajirisha watu wiki iliyopita

    GT aaaacha Udaku,wewe unataka tu kumpaka huyu mzee 6 kama ambavyo umekuwa ukifanya kwenye post zako za huko nyuma. Kabla ya kikao cha CPA kunza mzee Sitta na kamati yake waliitisha kikao na waandishi wa habari akatoa maelezo mazuri sana juu ya ngarama za huu mkutano kuwa ni shs bil 3,kati ya...
  10. Ndanda to Lomwe

    TANESCO yatangaza mgawo wa umeme

    HII habari ni ya kweli,Mimi nilifanikiwa kuona utafiti wa baadhi ya wabunge kuhusu huu ufisadi,walikuwa na Dossier ya nguvu kuhusu hili na hizi taarifa zimeshaanza kufanyiwa kazi na wabunge kwa kuanzia tu Documents zote zimeshapelekwa kwa waziri mkuu kwa aushauri na kama hatachukua hatua...
  11. Ndanda to Lomwe

    Kikwete azidiwa jukwaani, akimbizwa mapumziko

    Ni kweli muungwana ni mgonjwa anasumbuliwa na ninadhani ni tatizo la NERVE katika sehemu za medula oblangata(nerve compression) kwa lugha ya kitaalam, na kwa taarifa nilizonazo baada ya kuanguka pale jangwani wakati anamalizia kampeni zake za Urais 2005 alipata kutibiwa na Daktari mmoja huko...
  12. Ndanda to Lomwe

    Sitta avusha mipaka moto wa ufisadi

    chanja mbuga mzee wa kasi na viwango,tuko nyuma yako.Tunakusubiri November bungeni,lazima serikali ilete majibu ya hoja za wabunge usirudi nyuma.
  13. Ndanda to Lomwe

    Usanii wa CCM kuelekea 2010 waanza rasmi

    Uuuuuuwiiii,kweli sisi ni wadanganyika,hawa wana sisiemu wa tabora kwanini hawakumzomea huyu makamba?kwa kweli hainiingi akilini. Ni huyu huyu makamba alieamrisha ccm mkoa wasimpokee sitta alipotoka nec leo bila aibu anakwenda kujiosha.ningemuona mtu wa maana kama angemuomba sitta msamaha...
  14. Ndanda to Lomwe

    Vigogo zaidi wa BOT watinga kortini

    Huyu jengo si ni mzee wa Kanisa pale azania front ?
  15. Ndanda to Lomwe

    Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

    Huyu mzee yuko nyumbani kwake Kigamboni,anahudumiwa kama kawaida ya wastahaafu,walinzi na matibabu na Serikali ya Jamhuri,anaugua muda mrefu sana prostate cancer na Zaidi anasumbuliwa sana na macho,nadhani hata haoni kabisa.
  16. Ndanda to Lomwe

    Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

    Spika akikabidhiwa ngao na mkuki kama ishara ya ushujaa na wazee wa jadi katika baadhi ya vijiji alivyohutubia.
  17. Ndanda to Lomwe

    Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

    Spika wa bunge amewasili mjini Urambo majira ya alasiri akitokea Tabora ambako alitua na ngege ya pricision iliyotokea Dar.Mjini Tabora alipokelewa na wanafamilia. Baada ya mapumziko ya muda alianza safari ya kuelekea Urambo,kama kilomita 20 kutoka Urambo ndipo yalipoanza maandamano ya kumpokea...
  18. Ndanda to Lomwe

    Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

    Ni kweli viongozi wa chama wa mkoa wamepigiwa simu na fisadi makamba na kuwaonya kushiriki katika mapokezi hayo na kutotumia hela yoyote ya chama kwa shughuli hiyo,mwenyekiti wa chama ameshawasiliana na sitta na kumtaarifu juu ya hilo na kumwonda radhi kuwa hatakuwepo ila wako pamoja katika...
  19. Ndanda to Lomwe

    Rostam atingisha mkutano wa hadhara igunga

    RA ajibu hoja kuhusu KAGODA na RICHMOND, asitumie hela zetu alizoiba kutugawa,wale wananchi wa Igunga maskini anawalaghai kwa hizo hela ,aitishe maandamano Dar ,au aende mwembe yanga kama alivyofanya Dr Slaa ndo nitajua kweli ye mwanaume,Anamuonya Mengi yeye kama nani?Hao wabunge waliozunguka...
Back
Top Bottom