Search results

  1. asporo

    Mwana rock city hii inakuhusu

    Habari za jion wapendwa! Natafuta marafiki toka mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla..umri 21-30..jinsia yangu ni ME.. Ni PM kwa maelezo zaidi
  2. asporo

    nakupenda Sana @smile Nipe moyo wako niutunze

    Kwakweli nimejikuta navutiwa sana na wewe,nakupenda sana na nakuhitaji naomba nafasi moyoni mwako na naamini Inawezekana Tukawa mke na mume.. Nimejiajili, Na pesa ya kawaida tu(kitamzania) Nasoma MBA(finance) SAUT mwanza N.B nimeamua kuandika hii thread ili kila Mtu aone.. NAKUPENDA SANA na...
  3. asporo

    Nimenusurika na mzizi huu hatari wa kamata nchinje

    Habari za jioni wanajamvi!poleni na mihangahiko ya maisha... Nimeguswa kuilete thread hii humu jamvin Ike iwe fundisho kwetu wote hasa kwa sisi tunaopenda kamata nchinje,Jana muda wa saa Saba mchana nikiwa kwenye mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku,Mara simu ikaingia(NAMBA ngeni) kupokea...
Back
Top Bottom