Search results

  1. S

    Dark days 17/03/20...

    Yule mzee alisaidia sana kukausha biashara ya unga sasa wenyewe wamekasirika yani watu wote walioziba njia zao chafu adhabu ni kifo ila Mungupia yupo
  2. S

    Maisha baada ya kumzika mwanangu

    Mzee kanisa la Yesu linakuita nenda kanisani kama uko dar eagt city center kwa pastor katunzi ni sehem sahihi sana kusali....
  3. S

    Nimejikuta ni mtu wa mawazo sana na bado ni kijana mdogo

    Nenda kanisani kama uko dar sehem sahihi sana kwa pastor katunzi eagt city center mbagala huko mtafute aisee utapona vzur sana... trust me
  4. S

    Simba karatasi aliyesumbua Sana Mtwara vijijini

    Daahh miaka ya 90 hv nilikuwa huko yani hii ndio ilikuwa habar tata sana ila wakaz wa mtwara huko muache kuwanga uchawi sana huko
  5. S

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Paula billionaire mindset cha daniel strauss nakitafta sana please if u caj help me i will appreciate...
  6. S

    Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Mwarabu yupo kama kivuli tu kuna mzee wa mjini ndio yuko hapo kila sehem yupo anapanga vivuli vyake tu
  7. S

    Nani ana taarifa ya Loliondo? Nasikia zimeanza kuchapwa

    Bwana weee wenye nchi wako kazini wanarudisha vya kwao yulr Bwana ana rohi mbayasana
  8. S

    Dark days 17/03/20...

    Kuna mtu mmoja tu akipotea hii nchi itaanza kuhema vzur
  9. S

    Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

    Mwambie mama ba mdingi fasta atawaua huyo shetani mbaya kamuingia..
  10. S

    Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

    Daah kuna watu wanaroho ngumusana ktk nchi yetu kinachofanya watalii waje ni hao wanyama leo unawabeba kuwauza Mwenyezi Mungu ingilia kati nchi hii inaenda zake....
  11. S

    Napata wapi kitabu hiki?

    Mimi nahtaji soft copya ya Billionaire mindset cha daniel strauss.
  12. S

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Bado natafta billionaire mindset cha daniel strauss
  13. S

    Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Hao unaowasema hawakwenda mahakamani ukienda mahakamani inabd usubiri
  14. S

    Katibu Mkuu Uwekezaji "Miaka 5 iliyopita Kwenye Uwekezaji tulirudi nyuma Sana"

    Acheni kuropoka kaweza wapi kila mtu analalamikabhali mbaya acheni ujinga
  15. S

    Hatimaye Mbowe atoa ya moyoni kuhusu Halima Mdee

    Eti nitatafuta kazi ulipwe usd 15,ooommh labda kama kwenye kampuni yake
  16. S

    Familia ya mzee Zahir Zorro 'ilivyomuokoa' Nzela

    Ukiimba nyimbo zenye zenye uhalisia hudumu sikuzote
  17. S

    Picha za kufikirisha/Intelligent photos only

    Hii ina maana gani
  18. S

    Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

    Move imeandaliwa kumdhihaki Magu hujui tu...
  19. S

    Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

    Watu wengi waliokuwa karibu na Magu walichezewa michezo ya kifo bila wao kujua na mwisho wakammaliza na yeye kabisa kuna doktor mhimbili ana ulinzi wa usalama kamuulizeni alichofanya lkn siku moja kitanuka...
  20. S

    Hali ya Usalama kwa sasa hapa nchini inazidi kuwa mbaya, Unapaswa kujilinda mwenyewe na familia yako kadri unavyoweza

    Kuto ktk kipindi cha revenge time kulipiza kisasi kwa hyo muombe Mungu tu msaada ni kidogosana....
Back
Top Bottom