Search results

  1. N

    Mtela Mwampamba anusurika kichapo Mbozi eneo la Mlowo

    Waweke picha!? aibu mbaya mkuu..
  2. N

    Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wapokelewa kwa shangwe Mbozi

    Hivi kumbe Juliana ni mjukuu wa Ndieli?? that man!?? nilikuwa sijui songo... wasalipa
  3. N

    Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wapokelewa kwa shangwe Mbozi

    Hayo uliyoyaandika hapo ndo uungwana wako!?? mi nakuona liberali tu...
  4. N

    Hili limenikuta ktk test ya pspf

    Hii ndo point ya msingi
  5. N

    Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wapokelewa kwa shangwe Mbozi

    It means they are going to fall even lower
  6. N

    Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wapokelewa kwa shangwe Mbozi

    mwanangu napamiss vwawa,hasa kitimoto ya kwa Abu Kule kwa Jimu, hawa njegele wanaosema dogo kapokelewa kwa shangwe wanajifariji,watu wa mbozi hatuko hivyo
  7. N

    Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wapokelewa kwa shangwe Mbozi

    inawachoma ee,wekeni picha muumbuke
  8. N

    Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wapokelewa kwa shangwe Mbozi

    kha kha khaaaa.... Mwanchekesha, afu eti mleta mada anasema waliondoka CHADEMA, walifukuzwa , sheenzy, na ninavyowafahamu wana Mbozi,imekula kwao, wekeni picha hapa tuwacheke
  9. N

    KIBUTI CHA Baba V a.k.a mwenyekiti

    Afu na wewe na Andindilile mmefikia wapi?
  10. N

    KIBUTI CHA Baba V a.k.a mwenyekiti

    Ngojeni arudi hapa,mtaona
  11. N

    KIBUTI CHA Baba V a.k.a mwenyekiti

    Khaaa... Na wewe unashabikia??
  12. N

    KIBUTI CHA Baba V a.k.a mwenyekiti

    Sio vizuri kabish kumsema hapa mtu ambae hawezi kujitetea, mmetegea mwenyekiti amewekwa sevani ndo mnakuja kumsema hapa,atakuja
  13. N

    Nape-chadema wamekiuka katiba yao wenyewe!

    Sijaona kitu hapo, labda nirudi darasani...
  14. N

    Mke wangu ataniua... Hii siyo haki kabisa!

    Hili ni jukwaa la MMU, ulitaka alete uzi wenye maslahi gani hapa!? ulitaka aje kuongelea kilimo kwanza na ufugaji wa mbuzi wa mayai ndo uone maslahi mkuu... you might be right but in a wrong place
  15. N

    Mke wangu ataniua... Hii siyo haki kabisa!

    Shem ni aje!?? mpe hi Slave
  16. N

    Mke wangu ataniua... Hii siyo haki kabisa!

    Jomba shukuru Mungu na endelea kupiga mzigo, kugongewa inauma...!! ohooo
  17. N

    Mke wangu ataniua... Hii siyo haki kabisa!

    Afu unaweza "kumchana" kweli aisee
Back
Top Bottom