Kuna hili suala la Bandari linaloendelea Nchini, limekuwa lichukua sura tofauti tofauti kila kukicha, na kadri siku zinavyozidi kwenda, mambo mbalimbali yamekuwa yakijitokeza hasa mara baada ya Bunge la Bajeti kutenga muda wakati fulani siku ya Jumamosi kwa ajili ya kujadili jambo la Bandari...
"Great Thinkers thinks alike" hii inadhihirisha kazi yake inayopimika, natafakari tu jinsi chuki na kutukuza watu kunavyoongezeka Nchini, napata wakati mgumu sana
Katika miaka ya hivi karibuni takribani 10, jina la Peter Kibatala limekuwa maarufu sana. Umaarufu wake unatokana na yeye kuwa Wakili mashuhuri anayetambulika kama wakili msomi, nimekuwa nikifuatilia aina ya kesi anazopangua na dhidi ya watu anaowashinda, hakika kuna baadhi ya kesi anazoshinda...
Bahati mbaya watanzania wengi tuna fikra kuwa kuhoji vitu vinavyoonekana vidogo mbele ya macho ya watu hususani bando km la Tshs 2,000 ni kukosa fedha.
Hii kwangu ni kuwa nje ya box na kuwa na "keen to details" tu. Keen to details ni kitu muhimu sana, pata bahati ya kukaa na mtu mwenye...
Nimenunua bando ya Airtel ya Tsh 2,000 kwa ajili ya intaneti ya 3 GB, ndani ya dakika 10, wametuma msg bando imeisha, what a prank, 3GB in less than 10 minutes na hakukua na suala la sijui updates, sijui kumuunga mtu na tethering nk nk.
Hivi vitu vidogo vidogo ndiyo vinavyoleta matatizo...
Sema 4,wakati mwingine inaweza kuwa ni tafsiri hafifu ya waliyonayo wasomi ambapo Sasahivi inaonekana ukiwa Prof au Masters holder gombea then shavu nje nje.
Au wakati mwingine labda tatizo la Ajira ni kubwa kiasi kwamba ma Prof kutoka Mara wamesanuka deal ni kuomba Ajira husika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.