Search results

  1. E

    Bado nahitaji mke wapendwa

    kwa mara nyingine,mimi ni mwanaume wa miaka 27,mrefu wa futi 6,mweusi wa maji ya kunde,mchaga na mkristo safi. Elimu degree of banking and finance. Kwa sasa nmejiajiri kwenye kilimo. Mke nimtakae awe na elimu ya form 4 nakuendelea,mrefu kiasi,mweupe au maji ya kunde,kabila lolote,akubaliane...
  2. E

    Nahitaji kuoa wapendwa

    Mke mwema anaitajika, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo: Elimu shahada,umri 28 yrs,mkristo safi(lutherani),mrefu na mweusi wa maji ya kunde, nimejiajiri kwenye kilimo cha mpunga kwa sasa, ni Mchaga etc. Mke nimtakaye: Awe na elimu ya form 4 nakuendelea,akubali dini yangu,mrefu kiasi na...
  3. E

    Girl friend from mwanza

    Mim n mwanaume wa miaka 27,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati,mwenye elimu na dini yoyote. pm ndio itakuwa rahisi kujaana nakupeana namba za simu. Nipo mwanza
  4. E

    Girl friend from mwanza

    Kwa sasa npo mwanza maeneo ya IGOMA,so nahitaji girl friend wakuwanae,kikubwa awe mwaminifu na mwenye sifa zfuatazo:Awe mweupe au maji ya kunde,awe mrefu kiasi,awe mcha mungu,sitojali kiwango cha elimu sana. Mim n mrefu wa maji ya kunde but sifa nyingine tutapeana on phone Contact:0715...
  5. E

    Nahitaji mpenzi wa kike kutoka Moshi

    Mimi ni mwanaume wa miaka 27,npo Moshi mjini Msaranga,nahitaji mpenzi mwenye elimu,kabila na Dini yoyote kikubwa mwenye kujiheshimu nakuthamini mapenzi yetu,karibu pia on whatsapp but pia mimi ni Mkrito Lutherani. Mawasiliano:0715 406010 na 0759 706090 Karibuni sana ndugu zangu.
  6. E

    Nahitaji mpenzi wa kike

    Habari na heri ya mwaka mpya ndugu zangu. Mimi ni mwanaume wa miaka 27 now,nipo Moshi mjini Msaranga.Elimu bachelor degree of banking and finance,mchaga wa Oldi moshi,mkristo safi Lutherani,mrefu na mweusi, wa maji ya kunde. Sifa za mpenzi nimtakaye: 1Kabila lolote 2Umri miaka 20-25 3.Elimu...
  7. E

    Mpenzi

    Habari za saa hiz ndugu zngu hatimae nmetoka kwenye jiji la joto na kwa sasa npo mo town at msaranga but nahitaji mpenzi wakunifariji mim n mwanaume wth 27 yrs old,for any girl from moshi can check me on 0715 406010 for more detail.
  8. E

    Tatizo la umeme

    Habari za saa hizi ndugu,naomba kwa anayefahamu atujuze n nini hasa kinachopelekea umeme kukatwa mara kwa mara takribani tokea suala la Tegeta escro kurepotiwa bungeni,haswa kwa jiji la Dar es salaam bcs kwa mikoani sina evidence. Mwenye majibu au maoni plse,karibuni.
  9. E

    Msaada: Ilipo GEPF house

    Habari za asubuhi ndugu zangu,naomba munipe location ya GEPF HOUSE ilipo ktka alihasani mwinyi road,so nchukue gari za wapi nkitokea mbagala na nshuke kituo gani?
  10. E

    Madhara yatokanayo na unywaji wa bia

    Naomba niulize, kuna madhara yoyote anayoyapata mnywaji wa bia hususani safari lager tofauti na bia nyingine?
  11. E

    Jinsi yakufuta whatsapp

    Habari za saa hizi ndugu zangu,naomba munisaidie jinsi yakufuta whatsapp kwenye nokia Asha 311 nmeshajaribu mpaka nmechoka nw bila solution bcs imeexpire nkiupgrade feedback inakuja service nt available wakati mb nnazo zakutosha na upande wa connection upo fresh@ please npo serious ndugu zangu.
  12. E

    Bunge la bajeti 2014/2015

    Swali langu ndugu zangu,naomba mchango wenu ni kwann idadi kubwa ya wabunge wa ccm wapo kwenye ziara za kinana mikoani wakati serikali inayohusika na matatzo ya hao wananchi wapo bungeni na mjadala wa bajeti ya 2014-2015. so matatzo ya hao wananchi yatawasilishwa na nan bungeni.
  13. E

    Nokia Asha 311

    Habari za jioni ndugu na poleni na majukumu,mimi natumia Nokia Asha 311,tatzo nilikuwa natumia huduma ya whatsapp but chakushangaza jana imenizingua na kila nikiingia whatsapp inaonyesha neno upgrade means imekuwa expired na kila nikiupgrade inachukuwa muda mwisho inaonyesha service not...
  14. E

    Mke mwema mtarajiwa.

    Habari za wkend wana jf,Niliyekuwa namtarajia bado yupo mkoani na kanibore sana na sihitaji tena kuwa nae,nikiipogia cm working days mara npo busy,mida ya jioni mara nmechoka,wk ends mara mara nyingi nakuags busy,so ndugu zangu bado nahitaji mke mtarajiwa mwenye umri wowote wakuendana na nami...
  15. E

    I believe in god

    Habari za sa hizi ndugu zangu,Bado sijampata mke mtarajiwa ndugu,my contact are:elly.makombe@gmail.com,0715 406010,contact 4 more datails but nipo dar mtoni kijichi.
  16. E

    In unit there is strength

    Habari za saa hizi ndugu zangu,ni mara nyingi nmejitokeza hapa mtandaoni nkiomba npate mke mwema mtarajiwa through 0715 406010 but imeshindikana kumpata@naomba ushauri ndugu zangu ni njia ipi iyaweza kunisaidia zaidi! Naomba ushauri kwa waliofanikiwa tuu.Am serious ndugu zangu.
  17. E

    Nahitaji mke mtarajiwa

    Habari za asubuhi ndugu zangu,ni muda mrefu nakuwa nkitumia huu mtandao but ombi langu bado halija fanikiwa,Ila mim n mwanaume wa 27 yrs,mrefu na mweusi wa maji ya kunde,elimu ya chuo kikuu. Ombi langu n kupata msichana wakuanzanae mahusiano kwa dhamira ya kuja kuwa baba na mama if GOD...
  18. E

    Nahitaji girlfriend wakubadilishana mawazo

    Habari za saizi na poleni kwa majukumu ndugu zngu,ila nashukuru kwa walioni nshauri nakunikosoa jana kwa ombi langu la kupata mdada wakula nae raha jana,kwa bahati nzuri au mbaya ombi langu liligonga mwamba,ila ombi langu kwa sasa n kupata girl friend wakubadilishana nae mawazo kupitia no.0715...
  19. E

    Nafasi za kazi

    Habari za asubuhi ndugu zangu,Naomba mwenye uelewa anisaidie ni web site gani naweza kuwa naitumia kucheki nafasi za kazi kwenye standard chartered bank. NIPO SERIOUS NDUGU ZANGU
  20. E

    sintofahamu

    Serekali kupitia jeshi la polisi limesitisha mikutano yote ya hadhara nchini,swali langu kwa serikali je mikutano ya dhihara ya katibu mkuu wa ccm (KINANA) kwanini inaendelea nchini na huku sera za katiba zinatanda kwenye mikutano,swali langu kwa jeshi la polisi ni kwnn jeshi halijachukuwa hatua...
Back
Top Bottom