Search results

  1. K

    Kikwete amuita Lowassa kwa mazungumzo ya siri!

    Mbona anachomuitia kinajulikana tu! JK na EL hawajawahi kuwa mahasimu. Anaenda kumkumbusha jukumu lake alilonalo coming 2015. Tutake tusitake, Lowassa ndio mrithi wa JK CCM. Issue ya Lowassa kuwa Rais ni nyingine kabisa kwa sababu rais aweza toka chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania.
  2. K

    Cabinet reshufle coming tomorrow?!

    Sidhani kama January Makamba kaiva kuichukua hiyo nafasi. Lakini kwa kufanya kazi na JK kwa miaka mitano iliyopita inaweza ikawa imemfanya kijana awe mkomavu na kuweza kubkabiliana na mchakamchaka wa ndani ya CCM, chama ambacho kinaelekea kupasuka vipande vipande.
  3. K

    Elections 2010 Mrejesho wa barua ya mwanakijiji tume ya uchaguzi, Membe apata mpinzani

    Nafikiri Ngandema hii hoja umeaicha hewani na mimi naomba niipanue zaidi kidogo. Hii kitu inayoitwa kapita bila kupingwa nafikiri imedhihirika kuwa hakuna mtu anayepita bila kupingwa kabla ya kura hazijapigwa. Sheria zetu zinaruhusu mapingamizi kuwekwa pale inapobainika sheria au kanuni za...
  4. K

    Elections 2010 Hata kama rais akitoka kwao...tumepata ushidi wa demokrasia!

    Lakini nafikiri mtoa hoja ameangalia kwenye maeneo yote kabla hajatoa hoja yake. Mie nasema, tukubali tu kuwa Slaa ameshinda. Ameshinda, sio kwa kuwa rais lakini kwa kuleta mabadiliko makubwa ambayo hayajapata kutokea katika historia ya nchi hii tokea ipate uhuru wake miaka hamsini na ushee...
  5. K

    Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

    To me I think the issue siyo Masha, lakini kuikosa Mwanza na kuchukuliwa na wapinzani. Mwanza ni moja kati ya ngome kubwa ya utawala. Mwanza ina represent kanda ya ziwa, sasa kama kanda ya ziwa imetekwa wewe rais uliye madarakani au chama inabidi muwe waangalifu. Kwa sababu hii blow ya mwaka...
  6. K

    VodaCom wanatumika kuinyonga CHADEMA

    Jamani active SIM Card ya network yoyote ni tracking device! msiwaonee Vodacom tu! wanaojua telecom engineering wanaweza wakaeleza vizuri how you can track an active subscriber.
  7. K

    VodaCom wanatumika kuinyonga CHADEMA

    Huyu mleta hoja amekurupuka tu. Angetueleza kwa takwimu ni kiasi gani ambacho Chadema ilitegemea kupata kutoka kwa wachangiaji, kiasi ambacho Vodacom wamekataa kuruhusu kukusanya hela hizo?? atuambie makubaliano ambayo yapo kati ya Vodacom na Chadema kuhusu uchangiaji. Atuambie nani anamiliki...
  8. K

    Elections 2010 JK amtambulisha Shigongo Buchosa

    Lakini jamani hayo si ni maneno ya kampeni ya vyama tu! Tanzania tunaijua na tunawajua watanzania wanataka wasikie nini! JK kumtambulisha kada wa chama chao haina ubaya! hata Chadema wanatambulishana. After all, kila chama kina watu wanaokichangia ambao chama chao kinatakiwa kuwatambua...
  9. K

    Ipi tamu kwa wote? (he&she)

    Khaaa!! sasa tutajuaje wewe unapenda zipi na yeye anapenda zipi??? Wewe umesema humu hatujuani! sasa anza kueleza ni style gani ambazo mkeo anazipenda na zipi hazipendi, na ni style gani ambazo wewe unazipenda tukuelezee. Jua kwamba kila mtu ana style zake na haziwezi kuwa uniform kwa wote...
  10. K

    Don't drink or use mobile phones when driving!

    Lakini kulingana na hiyo picha, sidhani kama dereva wa gari ndogo alitoka salama na kuweza kukimbia. Labda dereva wa lori ndo angeweza kukimbia
  11. K

    Ajali! Ajali! Ajali!

    Duh! Inaonekana huyo farasi aliingiza kichwa kwenye huo mti akashindwa kutoka! au mie naona vibaya!!
  12. K

    Kibabu nyuma ya kiuno balaaa

    Hao ni wazee ambao hawakupitia ujana wao!
  13. K

    maajabu ya wanawake katika mapenzi

    Lakini kweli yale majamaa ambayo yako rough rough na yanawa mistreat wanawake ndio huwa yana wasichana wazuriii!!
  14. K

    David Jairo wa IKULU

    Yaani Kanda 2 ametufanya sisi mazoba kweli! yaani unaibuka na kisirani chako na kukileta hapa bila hata ya source yoyote! mie nilifikiri Zungu kalalamika sehemu kumbe wewe unaongelea umbea tu! Acha kuiharibu JF ungekuwa na hoja ungejipanga ukaileta
  15. K

    Jaji Frederick Mwita Werema ateuliwa Mwanasheria Mkuu wa serikali

    Lakini AG ni mshauri mkuu wa serikali kuhusu sheria, na hana nguvu ya kupinga mambo yanayofanywa na serikali. kwahiyo nafikiri hatutegemei makubwa saaana kutoka kwa new AG. Akakae pale aangalie tu asipate kashfa za kijinga kwa kutotumia taaluma yake vizuri.
  16. K

    Two Kenyan men wed in London

    haya ngoja tusubiri watanzania!!! Laaaaana
  17. K

    Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

    Sidhani kama tunahitaji mapinduzi ya mabomu. Hayo yameshapitwa na wakati. Tunahitaji mapinduzi ya kiuongozi na kimtazamo. Tunahitaji Rais ambaye ataendeleza vision na mission za taifa letu kwa kasi kubwa. Tunahitaji rais ambaye atayaangalia matatizo ya watanzania na kuyafanyia kazi. Tunahitaji...
  18. K

    Waandishi wa habari walivyo dhalilishwa na ikulu ya Kikwete

    Mimi siyo Mwandishi wa habari lakini kuna mchangiaji kaongea suala la msingi ambalo mtoa hoja angepaswa kujiuliza kwanza kabla ya kutoa hoja. Chombo cha habari kikipewa mwaliko kwa ajili ya ku cover shughuli fulani ina kinatakiwa kilipiwe gharama zake za hiyo coverage? This is the main issue...
  19. K

    Rais ampe nishani Charles Kimei

    Kimei anajitahidi lakini amezungukwa na washauri wa Danida. Lakini tuangalie another angle, kwani CRDB ni benki ya kizalendo per se? au tunachanganya na lile jina la zamani la COOPERATIVE AND RURAL DEVELOPMENT BANK (CRDB 1984) au kwa kiswahili benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini. Sasa hivi...
  20. K

    Only in Tanzania LOL!....

    Kuna tatizo la attitude, ofisi ya RITA imekuwa ni ofisi ya mfano kwa sasa hivi kwa utendaji kaze wake na kwa jinsi gani imekuwa ni free corruption zone. Approach sometimes matter mtu kuku-ignore. Inawezekana kama alivyosema mmoja hapo kulikuwa na mtu kujisikia yeye katoka marekani na mwingine...
Back
Top Bottom