Search results

  1. K

    Viongozi hawa wa CHADEMA ni mfano wa kuigwa

    lema naona ni jembe sana hivi kasafiri au wanakusanya nguvu bungeni bajeti
  2. K

    David Kafulila asamehewa NCCR-mageuzi

    hongrea kafulila ,ila msimamo wa vijana kwisha,maana chaumma watasema sio mda mrefu ufadhili wako
  3. K

    Inerview immigrarion 2013

    wadau habari kutoka uhamiaji zinasema vijana zaid ya 6000 wameomba lakini haijulikani kama wataita kwenye intervie, itakuwa kimya kimya ili kuondoa msongamao. wadau tujuzane kama watatoa hiyo kimya kimya, au mwenye update atupe maana vijana walificha degree na kujifanya form six hat mimi mmoja
  4. K

    post za jeshi 2013

    HApa kazi ipo kila sehemu wanabana
  5. K

    Ya Lwakatare: DPP, Polisi watofautiana

    sijawahi kuona ushahidi wa youtube ukatumika mahakamani , hii ndio kazi mpya pekee kwa jeshi la polisi, sidhani hapa wanataka kumlipa lwakatale hela tu kwa ajili ya uchaguzi T 2015 chadema
  6. K

    Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

    Amini aka Philipo mlugo hana pa kukimbilia kutokana hii issue ilipamba wakati wa uchaguzi wakati Mkgombea wa chademaakiitwa Ntwina kutaka kulipua hii jambo laakini wazee lakini baada ya huyu mlugo kucheza game ya kuichukua form ya mgombea wa chadema na kumkimbiaza halafua atambulike amepita...
  7. K

    PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

    wakati lema akishinda mapambano ya CCM Arusha waandishi wa habari wagawanyika kuhusu nani alipaswa kushinda huku, baadhi ya waandishi waliopanga kugombea ubunge 2015,kuanza kuingia kwenye makundi huku kamati kuu ya mkoa CCM ikimbariki Mwandishi JOHN MWAKIPESILE kugombea ubunge 2015,
Back
Top Bottom