Search results

  1. Waberoya

    Swali: Wimbo wa Gere haupo trending au umekuwa replaced na Jeje? Kwa nini haupo kabisa kwenye 50s

    Wimbo wa Gere ulikuwa Trend no. 1 juzi yu, na then umekuwa replaced no. 1 na Jeje Jeje kuwa no. 1 kwa popularity na power ya Diamond haina la kushangaza Ila iweje Gere umepotea kabisa? Ungekuwa angalau no. 3, 4, Hata 10, 30, hata 40.. HAUMO Wimbo kama wa haujanikomoa ni wa 49 sasa it makes a...
  2. Waberoya

    Project Coordinators/Secretaries/Planners are needed

    Project Coordinator, Project Secretary, Project Planner is needed! You will need to be able to work on tight deadlines, be competent in using Microsoft Office applications such as Word and Excel, and have exceptional verbal, written, and presentation skills. A bachelor's degree in a related...
  3. Waberoya

    WAHANDISI WANAHITAJIKA

    Looking for Civil Engineer with Experience in-Irrigation Engineering (Design, Drawings and Tender Documents) also with experience in Highway Engineering (preferably not condition). Experience > 3yrs < 8yrs is preferable he/she should be able to write a report, design, Drawings, tender...
  4. Waberoya

    Msimamo wa Makonda sio wa Serikali, msimamo wa Serikali sio wa wananchi!

    Makonda alianzisha lile sakata baada ya video cha uchafu kuvuja na zingine nyingi kutolewa na watetezi wa zile video wakaeleza na wanaume pia wanapitia mkondo ule ule!!! swala la MASHOGA limeibuka kama mitigation measure ya hali ilivyo kwa sasa Makonda kachokoza fikra, kaelezea ukubwa wa...
  5. Waberoya

    Unafiki wa wanaChadema kwa Chadema

    Yale matusi, chuki za wazi, vijembe , hasira na kebehi za wanachadema kwa serikali hii, au hata mwenzao ambaye ana mawazo ya tofauti umezidi kuiacha uchi chadema Wengine tumejaribu kila njia kuiongozea damu chadema kuipa uhai na hata kuwasha mashine za kupumulia, tena kwa upendo tu ila...
  6. Waberoya

    USALITI: Wabunge wapinzani wanaanzaje kuingia bungeni bila Lissu?

    Kwa mfano! Hasira zote zile, matamko yote yale, kunyooshea vidole watu na kumzodoa kila anayesema tofauti!! bado CHADEMA mmeshiriki bunge? Mnashiriki bunge? mnakula, mnacheka huku kuna mtu yuko kitandani na bado hakuna hata clue ya nani ni nani alifanya nini! Ilikiwa rahisi kwa mbunge Sugu...
  7. Waberoya

    CHUKUA: Kila Mwanachama wa CCM ni Kamanda Mtarajiwa

    Kuwa Chadema ina nguvu za kiroho za chini ya bahari, mbinguni, peponi au kuzimu! Ukiwa mwanachama wa CCM hata uwe mchafu vipi aidha wa mwili, akili, roho na tabia mbaya, moment unapoamua tu kuingia chadema unakuwa 'converted' na kuzaliwa upya! Tabia zako zote mbaya zinapotea na mara...unakuwa...
  8. Waberoya

    HE MUST GO: Waziri wa Mambo ya Ndani Unajiuzulu Lini?

    Tuhuma za watu kutekwa au kutishiwa maisha serikali mmeishasema hamuhusiki, si polisi, JWTZ au TISS. Lakini kama watu walifanyiwa hayo, wakaumizwa na kisha kila kona mnasingiziwa nyie na hasa wewe ukiwa kama waziri husika ina maana 1. Kikundi hiki cha kuwatesa watu kimeishinda nguvu serikali na...
  9. Waberoya

    TWIST: Wanajiteka, Wanasingizia, Wanaogofya, Wanatisha

    Kuna Kundi limekaa na kuratibu hizi movies kwa umakini sana kuwa rais 1. Achukiwe 2. Asiweze kutawala 3. Asifikie Lengo lake 4. Apoteze umaarufu Hili Kundi ni wale waliotarajiwa 1. Mafia wauza madawa ya kulevya-Kinana tuliza watu wako 2. Kundi shindwa la ugombea urais ( Kundi linahusisha...
  10. Waberoya

    Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

    Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi na amepitia katika kipindi cha presha Kwa nini hakutulia??? au kulikuwa na ulazima wa yeye kusema kitu? what if kama Magufuli alikuwa anataka ampe nafasi ingine ya serikalini? Nyuma ya pazia kuna nini ambacho Nape anahisi kachukiwa sana wakati kitu...
  11. Waberoya

    Magufuli wana hasira na wewe, mpe Makonda Unaibu Waziri Mkuu, anaweza

    Sijawahi kudhani kuwa watanzania wengi ( sio wote ) ni wajinga wa ngazi hii tunayoiona. Ndio maana ni ngumu kutofautisha mtanzania wa kidato cha sita na yule wa chuo kikuu. Katika IQ zao, kuwaza kwao, kufikiri kwako. Maana hata huyu aliyesoma kasomeshwa kuwa manamba, robot ambaye hawezi...
  12. Waberoya

    Nasikia walipotangaza yale majina hiki kilifanyika

    Nasikia Ukimkamata muuzaji mmoja, unampata huyo huyo, network yake hauipati kabisa! Ukimtangazia anapata muda wa kuhaha kupiga simu, kuhamisha mizigo na kujisafisha Lilipotangazwa Jina lako tu, waliishawekewa makachero na tracking systems zote na kupata mtandao mpana zaidi, with evidence Na...
  13. Waberoya

    Lissu awe Mwenyekiti CHADEMA na Lema awe Katibu

    Sijaandika kama naota au nimekurupuka, Japo CHADEMA chini ya Mbowe huwa hawapokei kabisa ushauri wowote ule, mwisho wa siku hawaendi mbali, na hawarudi nyuma kuangalia walipodondokea. Mbowe ni fisadi anayetumia mwanya wa CCM kuwa hivi tunavyowaona, Mbowe hana tofauti na mchungaji Lusekelo, au...
  14. Waberoya

    Miaka kumi ya Rais Magufuli imeenda haraka sana

    Imepita kama upepo, imepita kama ndoto , imepita kama kiu ya maji au mkojo wa kubanwa Kuna wakati unaweza ukajisahau ukaona kama miaka haiendi, au ukaona miaka mitano au kumi ni mingi sana, sijataka kuzungumzia miaka mitano, hapana nimesema miaka kumi, kwani atakayetaka CCM iongoze miaka mitano...
  15. Waberoya

    Tangazo la Nafasi ya Kazi IWL

    Anatakiwa secretary au Diploma holder yeyote ambaye anaweza kufundishika kwa kazi mbalimbali za kampuni. kituo cha kazi ni sinza asizidi Miaka 35, awe mvulana au msichana Mshahara wa kuanzia ni kati ya 300,000 mpaka 450,000 Deadline appplication ni 26/11/16 email ziandikwe kwa...
  16. Waberoya

    Undisputable: CHADEMA wamehalalisha rushwa

    Walimtaja Lowassa kwenye list of shame, na walimtukana na kumsema kwa miaka kama 8, huku msigwa, sugu, Lissu, Lema wakizungumza kila neno baya juu ya Lowasa na ufisadi wa CCM Slaa alipita nchi nzima akieleza bayana uchafu wa Lowassa na CCM, Baada ya Mbowe kupiga hesabu zake za kibiashara...
  17. Waberoya

    Mbowe: Cultist, Manipulator, Cruel, Untouchable chairman of CHADEMA for Life; Dictator in the making

    Anaijua hela! Leta habari zako za siasa, uzalendo au ushauri wowote ule ukiwa hauendani na matakwa yake au malengo yake ya kupata pesa! atakuumiza tu. Mbowe hataki heshima, wala haijui heshima, hana muda wa kuitaka heshima, Mbowe anachotaka ni pesa! Alianza taratibu hivi, kidogo kidogo tu...
  18. Waberoya

    Shida yetu, haja yetu, dhiki yetu na lengo letu imekuwa fursa yao ya kutaka kutuibia vizuri

    Kuna wakati au mara zote shida ya mtu fulani inakuwa ni fursa kwa mtu mwingine Kwa muda mrefu watanzania wamekuwa na nia, hamu, haja na kilio cha kuiondoa CCM madarakani. Nia hii imekuwa kubwa sana miaka ya karibuni pale CCM walipoendekeza kuiba mali za umma na kutumia kidogo kilichoko kwa...
  19. Waberoya

    Good Friday: ACT Wazalendo kinakuhitaji wewe, ni chama chako, chama chetu

    Mwaka huu kuna uwezekano mkubwa UKAWA chini ya EL wakaingia ikulu kwa mara ya kwanza katika historia. ACT wamesema bayana kuwa hatua zozote, vuguvugu lolote na michakato yoyote ya kuiondoa CCM madarakani wao wanaiunga mkono, wana issuport. Kuunga mkono huku hakumaanishi ni lazima ACT wawe...
  20. Waberoya

    COMPARE AND CONTRAST: CCM vs CHADEMA: For rethinking our fate

    WANACHAMA WAKE Wanachama wa CCM wako tayari kukubali chochote kitakachosemwa na Mwenye kiti wao, kuunga mkono chochote pasi kuuliza wala kujiuliza kwa manufaa ya nchi: wanachama hawa mara nyingi wana mihemko ila watulivu, lakini wakali sana hata wanaweza kutumia silaha wakichokozwa Wanachama...
Back
Top Bottom