Kwa hiyo usiku wa saa saba umeona mtu wa kuandika matatizo ya watanzania ni Pasco
katika watu milioni 70 wa nchi hii, moyo wako, akili zako, hisia na matamanio yako ni kuwa Pasco aandike jambo kuhusu kupanda bei!!!!!
1.umeonyesha udhaifu mkubwa, wewe hauwezi kuandika? Au ni vile unajiona ni...
Wasaidizi wa Putin ni wabaya na wana hasira sana
putin yuko so composed, considerate na humanity , nje ya hapo...London,madrid, paris kungekuwa na watu wanatema vumbi saa hizi...
Abaki hai tu
Naona history hauijui
Putin sio mbabe, mpole kabisa na humanity
nato na usa walimchukulia poa
Weka akili zako kwenye ukweli, utakuwa na akili njema kuliko kufuata mkumbo
Why nilikane mkuu
Hii ni imani yangu, msimamo wangu, mtazamo wangu, na mpaka kesho nasimamia hili
Kitu gani kimekufanya uhisi nitalikana?
i am genuine, nasimamia ukweli wa ukweli na siangalii mtu au watu..
Anzisha chama chako
CDM sio chama cha siasa
Wala hawana mpango kuchukua dola,
Wala hawawezi kuchukua dola
Weka akili na moyo , nguvu, energy kwenye vitu vya maana
CDM
Tengeneza kuungwa mkono na jamii, ivuteni jamii iwe upande wenu, na ndio siasa haswaa
Hii ya kutengeneza moves kupata keki ya taifa mtaishia second runners always if not forever..Na always mtakuwa watu wa kubeg
Kuna makosa na dhambi mmeifanya kwa raia wa Tanzania
Leo nyie hamna mvuto kwa...
Hawa wanachama wa chadema humu, mitaani, whatsap wote ni kama mazombie
Hakuna wa kuuliza hili, kusema hili, kujadili hili, kusimamia hili..hayupo wa kumuuliza mbowe hili
Yaani eti ukute wanakujibu hili swali?
Saa hizi wamekuwa programmed kumtukana spika!! Na CCM! Kwisha
Atakuja mtu kuijibu...
Watanzania wengi wana inferiority complex
Hawajiamini, wivu na wako addicted kutaka kupendwa kwenye social media
Wao kupewa likes, au kutaka kuonekana anakuchukia wewe ili apendwe na fulani sio hoja kwao
Hawa ni maskini wa akili wa kutupwa
Utajiumiza bure
just relax, live your life wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.