Search results

  1. K

    Sina uhakika

    Nilifanya mapenzi na mwanamke,ila kwenye process sijui kilichotoka ni sperm kidogo au semen. Wakati huo nikiwa chini mwanamke juu lakn baadaye sana nika P. Je hata kama zilitoka kidogo ni kwa kiwango gani naweza kusababisha mimba nikiwa chini(japo sina uhakika ni soerm au semen).
  2. K

    Mwenye kujua simu ya Oppo f11 nikitaka kurecord call nafanyaje

    Mwenye kujua simu ya Oppo f11 nikitaka kurecord call nafanyaje. Kwa simu zingine ukitaka kurecord oncoming na outgoing calls unapaona kwenye keyboard. Oppo f11 hapaonekani. Help pls
  3. K

    #COVID19 Naomba ufafanuzi wa mambo haya kuhusu chanjo ya Covid-19

    Habari zenu wanajukwaa. Binafsi nina ugonjwa wa kudumu(Pumu) na nahitaji chanjo. Naomba kujua hili kuhusu chanjo ya Corona kwangu mimi na ambaye hana Puma. Je, nikipata chanjo bado nitaambukizwa corona? Kama ndiyo, je niliyepata chanjo na ambaye hajachanja tofauti yetu ni nini?. Msaada hapa please
  4. K

    Nahitaji Simu ya Lenovo K9 note

    Mwenye kujua za za lenovo zinapatikana wapi jamani.
  5. K

    Msaada jamani. Jinsi ya kuachana na jambo la Mazoea

    Salaam kwenu wanajukwaa. Nimekua addicted na mchezo wa kubahatisha wa bonanza kiasi cha kuhatarisha uchumi wangu. Hii hutokana na kila ifikapo kuanzia saa 12:00 jioni sina cha kufanya kiasi cha kushawishika kujumuika wa Watu katika mchezo huu. Siwezi kukwepa kutokuwepo maeneo hayo maana mji ni...
  6. K

    Naomba kujua Bei ya mabati ya ALAF

    Naomba kujua Bei ya mabati migongo midogo kutoka kiwandani. Rangi ninayopendelea Ni carrot
  7. K

    Msaada: Ulimi wa mwanangu haunyanyuki

    Nina mtoto wa kiume ana miezi mitano awali kina mama moja wa mtaani aliniambia ulimi wa mwanao haunyanyuki hivyo akatwe kidogo ili asiwe bubu. Lakini huyo mama nikampuuzia nikampeleka hospitali wamcheki lakini doctor akasema mtoto hana shina ila akaniambia nirudi akiwa ana miezi mitano maana...
  8. K

    Msaada. Jino kuota juu ya fizi

    Nina mtoto wa kike mwenye miaka minne. Alikatika meno ya awali(ya maziwa) Kama meno manne ya juu kwa sababu alitumia sana dawa za maji. Sasa hivi jino jipya linachungulia(linaota) juu ya fizi. Je lipi lifanyike hapo?.
  9. K

    Natafuta kabati la vyombo

    Niko Mwanza na budget yangu ni 2k
  10. K

    Nasumbuliwa na UTI na maumivu makali

    =Nawasalimia humu ndani. Nisaidieni jamani tatizo la kurithi', Tatizo langu ni la siku nyingi kidogo. Nasumbuliwa na UTI na maumivu makali upande wa kulia na kushoto mwa tumbo, mara nyingi pia maumivu ya kiuno, mkojo kuwa wa njano. =Mzee wangu anasumbuliwa na matatizo haya na nahisi nimerithi...
  11. K

    Naomba msaada wa kisheria

    Mm ni mtumishi wa serikali. Kuna mtumishi mwenzangu ambaye tunafanyanaye kazi kituo kimoja. Ametamka wazi kuwa atakuja kunilisha sumu, japo hakuniambia mm moja kwa moja ila ushahidi upo.
  12. K

    Naomba ushauri wenu

    Wakubwa nahitaji gari, naomba mnishauri aina ya gari inayonifaa. Budget yangu ni mil12. Sifa ya gari niwe naweza kusafiri nayo kutoka Mwanza- Arusha angalau mara mbili kwa mwaka (iwe na uwezo huo), isiyozidi cc 2000, upatikanaji wa spare uwe mrahisi, isiwe chini sana maana kule kwetu kuna milima...
  13. K

    Naomba ufafanuzi wadau juu ya magonjwa haya

    Kwanza heshima kwenu. Naomba kueleweshwa kuhusu utofauti wa magonjwa haya; 1. Aleji 2. Pumu 3. Nimonia
  14. K

    Gharama ya ujenzi: msaada pls

    Wanajukwaa natanguliza shukrani zangu #Nampango wa kujenga nyumba. Sina uelewa mpana sana kuhusu gharama ya kujenga nyumba # Nahitaji kujenga nyumba ya kuanzia tofali za block 2800-3000 na bati 1 isizidi 30000. # Kiwanja tayari ninacho 30×30 tu # mchanga na mawe 60000 kwa trip # Budget...
  15. K

    Hiki kitabu kinahitajika

    David Waugh - An integrated approach 4 edition
  16. K

    Nahitaji kabati la vyombo.

    Niko Mwanza. Kabati la vyombo milango 3 linahitajika
  17. K

    Nauza galaxy i9152

    Iko ktk hali nzuri kabisa. bei ni 350000
  18. K

    Nahitaji mkopo

    Nahitaji mkopo wa mil 15 ambayo nitairudisha miaka 5
  19. K

    Ugonjwa wa vidonda makalioni mwa watoto wadogo unasababishwa na nini?

    Wanajamvi! Huu ugonjwa wa watoto kuwa na vidonda makalioni unasababishwa na nini? Hasa hutokea wakati wanaharisha. Huku Mwanza wanauita Makaptula (sijui kama ndo jina halisi)
  20. K

    Msaada wa haraka tafadhali

    Ni mara ya nne sasa mama anaenda hospital. Tatizo kubwa ni mkono wa kushoto kuuma, maumivu huanzia usawa wa uti wa mgongo. Kuna kitu kinatembea ama kinahamahama na yenye maumivu makali kiasi cha kumnyima usingizi. Na mkono hushindwa kufanya kazi. kaupepo kadogo kakipita unapitiliza kwenye...
Back
Top Bottom