Search results

  1. Steven Sambali

    Ndoto ya Ujerumani kuitawala Ulaya imetimia?

    Mwandishi asante kwa Makala nzuri ya Vita za Dunia. Nimejifunza mengi. Labda tu angalizo kwamba, Taiwan ni Sehemu ya China na bado kidogo waichukue bila hata Risasi moja. Nadhani itakuwa Kama Hong Kong na China. Muda ulivyofika, China wakapandisha Bendera tu.
  2. Steven Sambali

    Ndoto ya Ujerumani kuitawala Ulaya imetimia?

    Vita ya Kwanza alianzisha Austria. Mfalme wa Austria baada ya Toto lake Bishi kwenda kumuowa Sophia ambaye hakutoka Familia ya Kifalme, Baba yake aliyekuwa Mtawala wa Austria huku Mwanaye aliyeishi Czech nankutawala hapo, alitaka sana kumpoteza. Alijua akienda Kosovo anakwenda kuuliwa ila...
  3. Steven Sambali

    Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

    Na TV kwa ujumla unaleta? Weka Namba yako hasa yenye Whatsapp please.
  4. Steven Sambali

    Kwa wadau wenzangu wa MMA....!!!!

    Dana White anasema: “Francis Ngannou has the world record for most powerful punch, his punch is the equivalent of 96 horsepower, which is equivalent of getting hit by a Ford Escort going as fast as it can, and it is equal to getting hit by a 12-pound sledgehammer swung with full force from...
  5. Steven Sambali

    Kuhusu wapi naweza kupima kipimo cha PCR jijini Dar?

    Sina uhakika kama Agha Khan sasa wanafanya wao. Inabidi kujua kama kuna sehemu wanafanya wao Direct. Hata Muhimbili wanafanyia Lab ya Taifa. Nimefanya wiki mbili zilizopita na majibu yalitoka saa tano asubuhi siku iliyofuata. Airport waliweka mitambo ya kupima PCR Test kwa ajili ya wasafiri...
  6. Steven Sambali

    Kuhusu wapi naweza kupima kipimo cha PCR jijini Dar?

    Ukitaka kupima Covid19 ni lazima kwanza uingie huu ukurasa: https://pimacovid.moh.go.tz/#/booking Ukishajisajili utapewa Control number. Ukishawalipa fedha zao ambazo ni kama Tsh 120,000 utapewa taarifa kwamba unaweza kwenda kupima tayari Covid. Wakati unachagua hapo juu kwenye hiyo Link juu...
  7. Steven Sambali

    Kijana tafuta hela uache unnecessary movement za Mlimani City, Kidimbwi ukale bata na matajiri ndani ya Ibiza

    Kuna Kisiwa huko Mafia kinaitwa Thanda. Bei ni mara mbili ya hiyo na chenji inazidi. Inatakiwa ukae siku si chini ya tano. US $25,000 x 5 = $125,000/ Minimum.
  8. Steven Sambali

    Ukiachana na dunia kulizunguka jua na kujizungusha kwenye muhimili wake nadhani kuna mzunguko mwingine ambao wanasayansi hawajaugundua

    Mkuu, ukiwa na muda, basi pitia hii Film chini. Inahusiana sana na SPHINX ya Egypt iliyo pembeni na Pyramid of Giza.
  9. Steven Sambali

    Jamani hii kitu ni ndege ama nini

    Mkuu hujanisoma. Umeshawahi kufanya jaribio la Mpemba Effect kwenye baridi Kali? Mie nilifanya nje kwenye baridi kama -10*C. Nilimpata Mpemba ingawa hakuwa Mzuri sana. Tafadhali jitahidi kwenda deep zaidi ndiyo utanielewa. Vinginevyo namalizia hapa
  10. Steven Sambali

    Jamani hii kitu ni ndege ama nini

    Water can be in three forms: Solid, Liquid and Air. Vinginevyo, tupo pamoja.
  11. Steven Sambali

    Jamani hii kitu ni ndege ama nini

    Anga la Kimataifa ninavyofahamu Mimi ni kuanzia 10 km kwenda juu zaidi. Rocket Engine Muanzilishi wake ni German kipindi cha Hitler. Baada ya Vita ya 2 ya Dunia kuisha, USA na Russia walikimbilia kuchukua Know How ya Hitler na kuiba Wanasayansi wa German. Huo Mvuke tunaouona, kuna Mtanzania...
  12. Steven Sambali

    Biashara ya spare za pikipiki

    Kuna Ngosha kadhaa wameishika vizuri sana hii biashara ya spare parties za pikipiki Kariakoo. Kwa sasa wako mbali sana. Kuna mmoja hadi anatengeneza kwa jina lake zinaitwa MKZ ila jina kapuni. Ushauri wangu: Kuuza jumla mwanzoni na huna jina inaweza kuwa shida. Anzia mikoani au nje ya jiji...
  13. Steven Sambali

    Pentagon is ready to destroy Iran atomic bomb

    Natalia, Tsar alikuwa Mtawala wa Urusi kabla ya mwaka 1917. Hivyo lazima ujuwe kuwa hiyo ni silaha yq Mrusi. Ni sawa na usikie Meli ya kivita inaitwa USS Theodore Roosevelt (CVN-71) ukasema ni ya Urusi. Mabomu ya Maji yaani Hydogen Bomb ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Achana na Nuke Bombs...
  14. Steven Sambali

    Pentagon is ready to destroy Iran atomic bomb

    Mrusi mbona miaka mingi tu ana Father Of All Bombs? Uliyoweka wewe inaitwa Mother Of All Bombs yaani MOAB. Hizi zote ni Non Nuclear Bombs. Next time angalia habari zako vizuri unapokuja hapa JF.
  15. Steven Sambali

    Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

    Mshana Jr, Asante kwa makala nzuri. Mie ni mpenzi wa kusoma habari za hawa MAFIA tangu nipewe story kuhusu kitabu cha THE GODFATHER cha Mario Puzo. Katika wote ulioandika, nilikuja kushangaa sana kusoma Story ya FRANK LUCAS. Hii ilikuwa baada ya kuangalia film ya AMERICAN GANGSTER aliyocheza...
  16. Steven Sambali

    Simanzi Afrika! Dj Arafat Azikwa Kitaifa Ivory Coast

    Alikuwa ni King wa Coupe Decale. Ukiangalie waliokwenda kumzika ndiyo utajua. Mara kadhaa Drogba alikuwa akifunga goli basi hucheza kama anakata kitu hewani na kisu ambayo ndiyo ilikiwa style ya Coupe Decale. RIP Arafat. Vijana vaeni kofia yaani Helmet mkiwa kwenye pikipiki. Pia kuweni...
  17. Steven Sambali

    Nimegundua App Developers tunakosa ubunifu na kujua jamii inataka nini

    Mimi niliweka tangazo hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/tunatafuta-vijana-wawili-wa-it-kama-wabia.1546729/ Malengo ni kuwaunganisha vijana kadhaa na kuanzisha kampuni itakayoweza kuwa ikifanya kazi kubwa huku ikihusisha Artists ambao tayari wanafanya kazi hizo kwa miaka mingi...
Back
Top Bottom