Search results

  1. B

    Kwaheri TIGO Mobile Network, Unachosha kwa Usanii!

    Huu mtandao sasa basi, unatia kichefuchefu hadi kutapika. Kwao wateja si watu wa kuthaminiwa tena. Wameshiba utajiri waliochuma kwa wateja wanaowadharau na kuwapuuza. Unaripoti tatizo kwao (customer care) halitatuliwi. Baadhi ya kero za TIGO Mobile: 1. Unalipia kifurushi (data au muda wa...
  2. B

    Hata nipigwe bani, kamwe sitetereki!

    Hata nipigwe bani, Kamwe sitetereki Ninapopigwa bani, Hata kama si haki Nitabaki kundini, Jeefu sitoroki Siku tano kambani, Katu haz'zoeleki Nimetengwa kundini, Na mods kindaki Kwani uzito gani, Ya kwangu misiteki? Wanagawiwa bani, Kana kwamba ni keki Wawekwa gerezani, Na mamodi kindaki Watiwa...
  3. B

    Ikiwa mtu ana shari na wewe kisha akakuita kibabe kwenye mahojiano, ukienda chukua tahadhari zifuatazo:

    Ikiwa mtu ana shari na wewe kisha akakuita kibabe kwenye mahojiano, ukienda chukua tahadhari zifuatazo: 1. Wakati wa kusalimiana hakikisha usigusane na mtu au watu hao, transfer ya nguvu za kiroho (-ve au +ve) ni effective sana kwa kugusana 2. Kiti ulichowekewa kukalia kikwepe 3. Maiki...
  4. B

    Swali kwa wanandoa tu!

    Imagine umetokea mwisho wa dunia hii tunayoishi sasa! Wote tumeondoka na kujikuta tumezaliwa upya katika dunia mpya ambayo hatua za kukua ni kama ilivyokuwa kwenye dunia ya awali (mtoto, kijana, mtu mzima, uzee). Sasa umekuwa kijana kwenye dunia mpya (ikiwa umerejeshewa kumbukumbu za maisha...
  5. B

    Mwananchi, akili za kuambiwa changanya na zako!

    Ipo rangi nyekundu kwenye bendera yao. Nyekundu inawakilisha DAMU. Kitu chochote kinachowakilishwa na rangi nyekundu, kuanzishwa kwake kafara ya damu lazima ilitolewa. Ili kiendelee kuwepo ni lazima kafara ya damu iendelee kutolewa tena na tena. Ndiyo maana wanafosi maandamano ili damu imwagike...
  6. B

    Je, majinni/mapepo ni watu halisi? Kama siyo, inakuwaje .......

    Swali: Je, majinni ni watu halisi? Kama siyo, inakuwaje tunapopiga majinni/mapepo kwa maombi (kwa jina la Yesu) madhara huonekana kwa binadamu? Kisa hiki ni tukio la kweli kabisa! Mimi nasali kanisa la Tanzania Assemblies of God. Kila usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi huwa tunafanya mkesha wa...
  7. B

    Wafanyabiashara Kariakoo hawatoi risiti za EFD, TRA mko wapi?

    Heshima kwenu wana JF! Jana nimeenda Kariakoo kununua kifaa cha computer. Baada ya kulipa pesa nilipodai risiti nikapewa ya kuandikwa na kalamu, nikaikataa. Nilipoikataa wakaanza kukonyezana wao kwa wao, wakaniona nuksi! Nikawaambia isiwe taabu, nirudishieni pesa yangu na kifaa chenu chukueni...
  8. B

    Nipande 'basi' gani la uhakika kwenda Tabora kutoka Dar es Salaam?

    Wakuu, salaam! Wiki ijayo natarajia kwenda Tabora, basi gani la uhakika nipande wandugu? Nauli ni shilingi ngapi hadi kule? Ahsanteni!
  9. B

    Huku raisi wa awamu ya 5 anaapishwa, kule Arsenal yapigwa 5 na Bayern!

    Acha kabisa kufanya mchezo na Bayern! Arsenal si walijifanya kupapasa masharubu ya Bayern pale Emirates kumbe nao wanawalia taiming pale Munich! Tano si mchezo! LOWASSA 0 - 5 MAGUFULI
  10. B

    Nipande basi gari kwenda Kiteto nikitokea Dar?

    Wana JF salaam! Natarajia kwenda Kiteto tarehe 18/09/2015, sijui mabasi yanayo kwenda huko kutokea DSM. Pia naomba kujulishwa nauli ni kiasi gani kufika huko ili nisipigwe nauli kubwa na wajanja wa UBT. Asanteni wadau.
  11. B

    Raisi Pierre Nkurunziza awafanye nini waliotaka kumpindua?

    Toa maoni yako yanayojenga mustakabali bora wa nchi ya Burundi na wananchi wake. Tiririka; karibu sana mwanawane.
  12. B

    Ushahidi wa mauaji aliyofanya "kagame" and his co-generals, inatisha jamani!!!

    RWANDAN GENERALS ACCUSED OF WAR CRIMES IN UN EMPLOY By Judi Rever -Rwanda witness Why did the United Nations choose men alleged to have supervised death squads to head peacekeeping forces in Darfur and Mali?The activities of Lieutenant GeneralPatrickNyamvumbaand Major GeneralJean...
  13. B

    Ushahidi wa mauaji aliyofanya "kagame" and his co-generals, inatisha jamani!!!

    RWANDAN GENERALS ACCUSED OF WAR CRIMES IN UN EMPLOY By Judi Rever -Rwanda witness SUMMARY Why did the United Nations choose men alleged to have supervised death squads to head peacekeeping forces in Darfur and Mali? The activities of Lieutenant General Patrick Nyamvumba and Major General Jean...
  14. B

    About PAUL KAGAME'S Corrupt Style of Leadership!!!

    Dear President Paul Kagame, Practice What You Preach Sir! Source: African dictator: Dear Mr President, I never thought of writing you a letter Sir. I am compelled to do so after listening to your speech yesterday on Wednesday 22, August 2011 to over 400 local leaders from Rwandan...
  15. B

    Huyu ndiye Paul Kagame Original (by Noble Marara his ex- bodyguard)

    Behind the presidential curtains Yesterday (Friday, 10 June 2011) as I sat on the sofa to read the transfer window of the British foot ball league which is booming, my phone rang the number was hidden, normally I never answer hidden numbers but this time answered because of being a...
  16. B

    Aibu tupu ziara ya raisi kagame nchini uingereza!!!!

    President Paul Kagame shocked by Oxford demonstrators who threw manure and eggs at him May 19, 2013 by Rwema IT Webmaster By: Noble Marara While attending Rwanda day in London President Kagame stated that those who threw manure and eggs at Oxford University and at...
  17. B

    Naomba Mwongozo namna ya kuchinja Nyati (mnyama wa porini) ili awe HALAL

    Ndugu wana jamvi, salaam. Kuna mahali (kijijini) nimepita nikaona kwa mbali umati umekusanyika bila wasiwasi, nikadokezwa kuwa inauzwa nyama ya nyati mahali pale. Ndipo nilipochukua hatua kusogea mahali pale ili nami niambulie japo kidogo. Waliponiona shughuli ya kuuza ikasimama kwa muda kwani...
Back
Top Bottom