Search results

  1. W

    Tanzania ni ardhi na watu wake, Siyo siasa na vyama vya siasa

    Naomba niwakumbushe watanzania kuwa, kwa hali tuliyofikia sasa inabidi tuwe na ufahamu wa kutosha kuhusu vyama vya siasa na wanasiasa. Haitoshi kuwa mwanachama wa chama fulani na kupiga kura, bali kuwa na sababu ya kwa nini upige na hasa kupigia kura chama fulani hata kama wewe ni mwanachama wa...
  2. W

    2/3 ya CUF yapatikana Bunge la Katiba, kweli CCM kiboko yao

    Haki huinua taifa lakini dhambi ni chukizo kwa kila mtu!:llama:
  3. W

    Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Ninachokijua ni kwamba ccm wanapoteza umaarufu! Ikumbukwe kuwa, wanamageuzi wengi hawana sifa za kupiga kura kutokana na kutokuwepo kwenye daftari la wapiga kura! Km mambo yatakuwa hivyo baada ya kurekebishwa kwa daftari hili basi nitajua ccm iko juu otherwise hakuna kipya zaidi madudu yaleyale...
  4. W

    Rwakatale aibuka na kumponda Mwigulu, aongelea matumizi ya chopa

    Kumwelimisha mtu kama mwigulu ni kupoteza muda. Mbona hahoji misafara ya mashangingi wake na watoto wa wakubwa? Zamanizile hatukuona ving'ora eti mke au mtoto wa rais anapita!Hebu huyu mchumi atueleze gharama hizo analipa nani? Kiranja mkuuanasafiri siku 350 kwa miaka 8, hiyo gharama ya kuitunza...
  5. W

    CHADEMA Ngara yaendelea kutishia uhai wa CCM

    tumechoshwa na chama kimoja kutawala kwa ufisadi uliokithiri na majigambo yao kifirauni
  6. W

    Wazanzibar muungano tutaununua...

    Mm! Mimi naona kana kwamba wazanzibari hawajajua ni wazanzibari wangapi wameajiriwa katika mfumo wa muungano na hawajafikiria how these fellows will be accommodated in their new government. Lakini yote mema zuri zaidi linabaki kuwa serikali tatu au kuvunja blur blur za the so called union of...
  7. W

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    Hakuna sababu sababu ya kulazimisha kubaki cdm kwanini asifuate nyayo za malema? Hapo ndo natambua kuwa kuna something behind the scene! Mimi nitashukuru kama atatimuliwa kabisa ili tuone cdm kinakufa vipi kwa lengo la kujifunza pia. Mtu mmoja hawezi kuwa yeye ndo yeye....waandamanaji...
  8. W

    Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

    Baada ya dhiki faraja; ipo siku kitaeleweka tu. Kimsingi napenda kuwajibishana bila kujali ni nani anawajibishwa. Utamaduni wa kutowajibishana umeua uzalendo wa nchi nyingi za kiafrika kwa kudhani kuwa kuna mtu/watu mhimu ambao bila wao nchi haiwezi kwenda! Tumekosea na tunavuna uharibifu wa...
  9. W

    Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

    Wajinga ndio waliwao! Lakini Mungu atawakomesha siku moja kwa aibu yao kubwa!
  10. W

    Tuyatafakari maneno mazito ya dr. Kigwangalla(mb) kwa Job Ndugai (naibu spika)

    Kigwangala is a pig headed politician who is there to please himself! sisi wapiga kura tunaelewa wabunge gani wanafaa; Mbowe is a million times better than Kigwangala. Halafu ni aibu kwa mtu mwenye level ya DR kuongea mipasho bungeni!
  11. W

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    Mungu atuepushe na udhalimu huu wa kuongoza bunge kwa kuegemea upande wa chama chenye rais!
  12. W

    Kigwangallah: Nimepewa majina wabunge dawa za kulevya, Wamo CCM na CHADEMA

    Nimepata habari humu JF eti Dr kigwangala amekabidhiwa majina ya wauza unga wakiwemo wabunge wa ccm na chadema na kwamba atawataja hivi karibuni baada ya intelijensia yake binafsi (siyo ya kova wala IGP) kukamilisha uchunguzi. Kwa hili ninaona sasa viongozi wetu wa siasa mmezidi kututapeli...
  13. W

    Moses Kulola, Askofu Mkuu wa Makanisa ya EAGT afariki dunia

    Bwana alitoa na Bwana amotwaa! Jina la Bwana lihimidiwe!
  14. W

    Harakati za Mwigulu zinavyozidi kumharibia

    Lakini kumbuka "ubaya haulipwi chochote: ukilipwa hulipwa ubaya"
  15. W

    Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    Mzazi akitamka neno 'kijana' si lazima libebe generic reference sometimes hubeba specific refence: kwa hiyo huenda kijana akawa Ridhiwan (specific refence), kijana wa zamani Lowasa (specific reference)au mtu yeyote mwenye umri usiopindukia utu uzima (generic ref). Kazi ipo kwa...
  16. W

    Nape ambwaga Mwenyekiti Kagera! Madiwani wapeta!

    I'm a silent observer today!
  17. W

    Sema hapana kwa dawa za kulevya

    Kuna mambo hayahitaji kuendelea kusikika masikioni mwetu hata kidogo! Hili suala la madawa ya kulevya na jinsi linavyoshughulikiwa inatoa taswira ya namna ambayo nchi yetu haiwezi kutatua matatizo makubwa na ya msingi. Hivi unapomkamata mtu uwanja wa ndege akiwa na ushahidi huo unashindwaje...
  18. W

    USAHIHI: Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na kujitenga na ziara ya viongozi wakuu

    Zitto;ni vizuri ukang'amua kuwa wewe ndiyo 'target' ya maadui wa chadema siku zote! watakujia kwa rangi zote ili kukutoa kwenye mstari. Nakushauri usiwasikilize watu hasa walio nje ya chama maana wana lao jambo; hata kama ndani ya chama kuna kutofautiana hiyo ni kawaida ya taasisis yoyote...
  19. W

    Ama kweli sisi ni wadanganyika!

    Mimi naona wanaharakati waandae maandamano makubwa ya kushinikiza serikali iwataje waingizaji na wasafirishaji wakubwa wa madawa ya kulevya! Mbona wanajulikana! Mbona hata Rais Kikwete anawajua? Mungu awahukumu sawasawa na udhalimu wao!
Back
Top Bottom