Search results

  1. pipii

    Peter Mutharika, Rais mpya wa Malawi: Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi!

    Sisi watanzania tumsubirie aje na papara zake. Hatuogopi msimamo isiyo na mantiki, sehemu ya TZ ya ziwa inatambulika according to international laws na sio mtu aliyeshinda uchaguzi.
  2. pipii

    Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

    vitabu vya dini vinasema 'bila ndoa hakuna tendo la ndoa' wewe unasema 'bila tendo la ndoa hakuna ndoa' kwani wewe ni mpinga dini?
  3. pipii

    Nimeachwa kisa sili kitimoto

    kama ni kweli amekuacha kwasababu ya kukataa kula kitimoto ingawa ulibadili dini hapo amekuonea sana, tena amekurupuka, labda kuwe na sababu nyingine ambayo imejificha. Amekuwa na haraka ya kukubadilisha, anatakiwa ajue kuwa kumbadilisha mtu dini is a slow process sio tu siku moja mtu aanze...
  4. pipii

    Umenipendea nini?

    unaelewa maana ya hilo swali lkn? usilipende bila kuelewa kiini chake:
  5. pipii

    Umenipendea nini?

    hahahaha hahaha unaelewa maana yake lakini?
  6. pipii

    Umenipendea nini?

    Hii pipii sio ya pipi tamu ni pipii ya honi ya gari au treni hivyo change the conceptual image usije ukapotea njia.
  7. pipii

    Kwa wanaopenda mieleka tupia neno

    FULL-LENGTH MATCH - SmackDown - 41-Man Battle Royal - YouTube ninachoshangaa hawa watu mbona huwa hawaumii wakati vipondo ni vikali sana
  8. pipii

    Umenipendea nini?

    hivi unanipenda kweli?
  9. pipii

    Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

    hahaha hahaha hahaha
  10. pipii

    Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

    Atakuwa hana kabila huyo maana sijawahi kuona punguani wa namna hiyo.
  11. pipii

    Ex boyfriend anataka nimlipe gharama zake

    pole uliingia choo sio chenyewe
  12. pipii

    Tumetoka mbali Sana, lakini hanithamini!

    Huyo kachanganyikiwa na pesa, anahitaji msaada wako, anakoelekea huenda hajitambui. Hivyo wa kumsaidia ni wewe mwenyewe uliotoka naye mbali. Wengine wapya watambamiza halafu atakuja kurudi kwako yuko hoi. Usikate tamaa haraka ndio changamoto za maisha hizo.
  13. pipii

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi tarehe 27 Machi, 2014 - Uwasilishaji wa kanuni za Bunge

    Mshaurini na yeye aende kwa TB joshua Nigeria akatubu zambi zake kama Lowasa.
  14. pipii

    Bado hujajua tabia ya Mkeo mpaka likukute hili!

    haha hahaha hahaha wengi huwa wanaaahidi hivyo sijui kama huwa wanatimiza. Endelea na moyo huo.
  15. pipii

    Bora EAC iwe nchi moja Uhuru Kenyetta awe rais tuondokane na huyu kikwete

    Mkuu usikate tamaa na maisha kiasi hicho, watakuja wengine na mambo yatakuwa poa tu. Hata nchi zilizoendelea zilipitia vipindi kama hivi. viongozi wa namna hii waliwahi kupita pia. Ni genge tu la watu fulani likitoka mambo yanaweza kuwa na mwelekeo mzuri.
  16. pipii

    PICHA: Tukio la DR Hamis Kiwangala alivyo tiwa mbaroni huko NZEGA

    Kazi ya kutetea wananchi awaachie CHADEMA, sasa ona yanayompata na yeye mwanaccm, hajui kuwa ukisaidia wananchi CCM wanakutenga. Unachotakia ni kuonyesha kama unawasaidia lkn usiingie kwenye matendo halisi. Namshauri ahamie CDM kabla hawajamshughulikia zaidi au la sivyo atulie kabisa.
  17. pipii

    Lowassa ndani ya Scoan tv

    sawa kabisa wamwache amwabudu mungu.
  18. pipii

    Lowassa ndani ya Scoan tv

    ni nyema tu sasa kuna shida gani? kwani vibaya yeye kwenda huko?
  19. pipii

    Onyo kwa mnaotaja jina la rais na taasisi ya uraisi hovyo

    Hata wewe umeidhalilisha hiyo taasis kwa huu ujumbe wako. Matamko ya Taasisi hii ya kiofisi yanajulikana sasa hili la kwako ndio linakomelea msumari hapo hapo kwenye kidonda maana onyo lenyewe sio official. sasa heshima itoke wapi? Ni sawa na mtu kajipaka kinyesi halafu anawaambie wenzake...
Back
Top Bottom