U.S. Surgeon General Vivek Murthy was removed from his post by the Trump administration and has been replaced temporarily by his deputy.
Murthy, an appointee of former President Obama, announced on Friday that he resigned.
A Department of Health and Human Services Spokesperson Alleigh Marré...
There, indeed, was an FBI wiretap involving Russians at Trump Tower.
But it was not placed at the behest of Barack Obama, and the target was not the Trump campaign of 2016. For two years ending in 2013, the FBI had a court-approved warrant to eavesdrop on a sophisticated Russian organized crime...
Mama Graca Machel akiongozana na Askofu Michael Msongazila wa jimbo Katoliki Musoma na Mwenyekiti wa Mara Alliance.
UONGOZI wa mkoa wa Mara umeshauriwa kuona umuhimu wa kuweka mpango shirikishi wa muda mrefu utakaosaidia watoto ambao wapo nje ya mfumo wa shule ndani ya mkoa huo, ili kupata...
Waziri Prof. makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari
SERIKALI inazikumbusha taasisi zote zenye leseni za mawasiliano zilizotolewa kabla ya Julai mosi mwaka huu, kujisajili katika soko la hisa na dhamana kama sheria inavyoelekeza, vinginevyo zitaadhibiwa ikiwa ni pamoja na kusitishiwa...
SERIKALI imeagiza kukamilika mapema kwa mfumo wa udahili wa vyuo vikuu ili mapendekezo yatakayokuwa na mfumo wenye tija yaweze kuingizwa wakati wa maandalizi ya bajeti ya mwaka 2017/2018.
Hatua hiyo ni katika kutatua changamoto zinazojitokeza katika uratibu wa mikopo ya wanafunzi na kwamba...
The owner of the ship, Tawariq- 1, which was tendered in court as exhibit during the trial of two Chinese, Hsu Chin Tai and Zhao Hanquing and others, is Mr Said Ali Mohamed al Araimi, who is Managing Director of Sea Tawariq LLC, a company registered in the Sultanate of Oman operating from...
MRITHI wa Mfalme wa Abu Dhabi na Kaimu Rais, Mohamed bin Zayed Al Nahyan ameahidi kuendelea kuimarisha uhusiano baina ya nchi hiyo na Tanzania katika kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Ahadi hiyo ya Mrithi wa Mfalme wa Abu Dhabi imetolewa jana Ikulu jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi...
THE government will soon announce new speed limits on certain roads that could cover sections by up to 110 kilometres under a new classification system approved by the East African Community (EAC) to facilitate road traffic and promote intra-regional trade
he regional bloc has Okayed a maximum...
Fifa has agreed to study options for expanding the World Cup to 40 or 48 teams for 2026 in greater detail, says council member Michel D'Hooghe.
The proposals will be made at the football world governing body's next meeting on 9 January 2017.
"The feeling amongst the council is rather positive...
US-led coalition warplanes destroyed a factory in Iraq used by the Islamic State group to make chemical weapons, the Pentagon said Tuesday.
The production center -- a converted pharmaceutical plant complex -- likely made chlorine or mustard gas, said Lieutenant General Jeffrey Harrigian, who...
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inatarajia kubadilisha vitambulisho vyote vya zamani ambavyo havina saini, huku ikitarajia kutoa vitambulisho vipya vyenye saini kwa wananchi wote, waliokamilisha taratibu za usajili na utambuzi kwa kuchukuliwa alama za kibayolojia, ikiwemo alama za...
Ili kukabiliana na gharama za uendeshaji fastJet inataraji kupunguza idadi ya wafanyakazi.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi mtendaji Bwana John Corse aliyenukuliwa kwenye mahojiana na gazeti la The Citizen. Ametaja mambo yaliyopelekea hali hio kuwa ni mabadiliko yo kimwuundo, kupungua kwa wateja na...
KAMPUNI ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) imepigwa marufuku kuendelea kununua majani ya chai kutoka kwa wakulima wa zao hilo mkoani Mbeya na badala yake kiwanda chake kitumie majani yaliyopo kwenye shamba walilobinafsishiwa na serikali.
Kwa muda mrefu, MeTL kupitia kiwanda chake...
A federal appeals court on Friday blocked Kansas, Georgia and Alabama from requiring residents to prove they are U.S. citizens when registering to vote using a national form.
The 2-1 ruling is a victory for voting rights groups who said a U.S. election official illegally changed...
Muslim-American groups are applauding President Barack Obama's nomination of a Washington lawyer to serve in U.S. District Court — a move that could make him the first ever Muslim-American federal judge, according to advocates.
If confirmed, Abid Riaz Qureshi would sit on the District of...
THE government yesterday announced its decision to construct new structures to accommodate over 600 former tenants at Magomeni Kota in Dar es Salaam who were evicted more than five years ago to allow construction of modern residential buildings.
It is a climax to the prolonged wrangle between...
Discovered using the Kepler Telescope, Kepler-186f isn’t exactly an Earth twin. The planet is very similar in size – within 10-percent of the Earth’s size – but it orbits its star, a red dwarf, once every 130 days and only gets a third of the sunlight that we get here on Earth. That means that...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa maofisa wanaohusika na udhibiti wa dawa za kulevya kwenye mpaka wa Tunduma mkoa wa Songwe, kuwakamata watu wanaohusika na uvushaji wa dawa hizo kutoka nchini kwenda nchi jirani ya Zambia na nyingine zilizopo ukanda huo...
MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) imeainisha mikakati yake ya kufanya maboresho katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa kuboresha jengo la abiria (terminal II), ambayo yataenda sambamba na ujenzi wa terminal III.
Aidha, imesema iko kwenye mchakato wa kufanya...
This is his second official visit to Africa as head of state, which is nine months after the third India-Africa Summit with around 50 African heads of state as India eyes to ramp up its Africa engagement.
Minister of Foreign Affairs, East Africa, Regional and International Cooperation, Dr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.