Search results

  1. BabuK

    Wanaojua hali ilivyo huko ukanda wa makinikia tujuzane.

    JPM ametuamboia.."tumelaliwa sana"" sasa na sisi zamu yetu...
  2. BabuK

    Rais Magufuli aitaka TAKUKURU kuwachukulia hatua wote wanaojihusisha na rushwa pale wanapokuwa na ushahidi

    Rais amepewa uwezo kikatiba juu ya utendaji wa vyombo vya dola..PCCB ni moja ya vyombo vya dola...
  3. BabuK

    Surgeon General removed from post by Trump administration, replaced by deputy

    U.S. Surgeon General Vivek Murthy was removed from his post by the Trump administration and has been replaced temporarily by his deputy. Murthy, an appointee of former President Obama, announced on Friday that he resigned. A Department of Health and Human Services Spokesperson Alleigh Marré...
  4. BabuK

    Russian mafia boss still at large after FBI wiretap at Trump Tower

    There, indeed, was an FBI wiretap involving Russians at Trump Tower. But it was not placed at the behest of Barack Obama, and the target was not the Trump campaign of 2016. For two years ending in 2013, the FBI had a court-approved warrant to eavesdrop on a sophisticated Russian organized crime...
  5. BabuK

    MamaGraca Machel aishauri Mara

    Mama Graca Machel akiongozana na Askofu Michael Msongazila wa jimbo Katoliki Musoma na Mwenyekiti wa Mara Alliance. UONGOZI wa mkoa wa Mara umeshauriwa kuona umuhimu wa kuweka mpango shirikishi wa muda mrefu utakaosaidia watoto ambao wapo nje ya mfumo wa shule ndani ya mkoa huo, ili kupata...
  6. BabuK

    Mafuriko Dar

    Ni eneo gani hili????
  7. BabuK

    Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la Mbowe kutokamatwa na Polisi

    Inasikitisha... Maskini Jenerali...
  8. BabuK

    Kampuni za simu zabanwa soko la hisa

    Waziri Prof. makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari SERIKALI inazikumbusha taasisi zote zenye leseni za mawasiliano zilizotolewa kabla ya Julai mosi mwaka huu, kujisajili katika soko la hisa na dhamana kama sheria inavyoelekeza, vinginevyo zitaadhibiwa ikiwa ni pamoja na kusitishiwa...
  9. BabuK

    Msajili Hazina: Hakuna mtu aliyekuwa akipokea mshahara milioni 40

    .... Hizo ni zilizo kwenye paystub.. Je marupurupu mengine??? Lisemwalo lipo!!! JPM amesema amekuwa serikalini na anajua wanavyolipana....
  10. BabuK

    Mfumo wa udahili vyuo waagizwa kukamilika

    SERIKALI imeagiza kukamilika mapema kwa mfumo wa udahili wa vyuo vikuu ili mapendekezo yatakayokuwa na mfumo wenye tija yaweze kuingizwa wakati wa maandalizi ya bajeti ya mwaka 2017/2018. Hatua hiyo ni katika kutatua changamoto zinazojitokeza katika uratibu wa mikopo ya wanafunzi na kwamba...
  11. BabuK

    Waziri Mahiga: Mkataba kusaka walioficha mabilioni Uswisi wasainiwa Tanzania

    HUKU kukiwepo na dhana ya kuwa kuna Watanzania wanaotorosha fedha na kuzificha katika mataifa mbalimbali ikiwemo Uswisi, hatua moja muhimu imefanyika katika kukabili suala hilo, baada ya serikali ya nchi hizo mbili, kusaini mkataba muhimu. HabariLeo Jumapili imebaini kufikiwa kwa makubaliano ya...
  12. BabuK

    State files objection against 6bn/- suit by fishing vessel owner

    The owner of the ship, Tawariq- 1, which was tendered in court as exhibit during the trial of two Chinese, Hsu Chin Tai and Zhao Hanquing and others, is Mr Said Ali Mohamed al Araimi, who is Managing Director of Sea Tawariq LLC, a company registered in the Sultanate of Oman operating from...
  13. BabuK

    Kuwait yakaribishwa ujenzi reli ya kati

    MRITHI wa Mfalme wa Abu Dhabi na Kaimu Rais, Mohamed bin Zayed Al Nahyan ameahidi kuendelea kuimarisha uhusiano baina ya nchi hiyo na Tanzania katika kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Ahadi hiyo ya Mrithi wa Mfalme wa Abu Dhabi imetolewa jana Ikulu jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi...
  14. BabuK

    New speed limits for release soon

    THE government will soon announce new speed limits on certain roads that could cover sections by up to 110 kilometres under a new classification system approved by the East African Community (EAC) to facilitate road traffic and promote intra-regional trade he regional bloc has Okayed a maximum...
  15. BabuK

    World Cup: Fifa to study expansion to 40 or 48 teams

    Fifa has agreed to study options for expanding the World Cup to 40 or 48 teams for 2026 in greater detail, says council member Michel D'Hooghe. The proposals will be made at the football world governing body's next meeting on 9 January 2017. "The feeling amongst the council is rather positive...
  16. BabuK

    Hatimaye Fastjet waanza safari na ndege zao "Mpya"

    Ndio maana jirani yako anaendesha BMW 870i na wewe unaendesha corolla ya mwaka 1988. kwa hio kila mtu atapanda kilicho ndani ya uwezo wake.
  17. BabuK

    Sadaka 'kuadimika' ghafla Makanisani ni 'kiashirio' cha nini?

    Fungu la kumi linaendana na kipato kwa hio watoaji vipato "Vimepatwa"
  18. BabuK

    Jinsi Vimbunga/Dhoruba (Hurricanes/Storm) vinavyopewa Majina

    Kwa udondozi zaidi zuru hapa Why do we name tropical storms and hurricanes?
  19. BabuK

    Nape aijibu Marekani, ataka ianze kujinyooshea kidole kabla haijaiangalia Tanzania

    USA wana mbinu za kumulika kila linaloendelea.. sisi bado uwezo wa kurekodi matukio yote yanayoendelea ni mdogo. Mfano ukiwa na kosa ukatumia simu yako ya mkononi watajua uko wapi watakufuata na kukukamata. Japo wamekupa uhuru useme chochote.. uki tweet au kuingia mitandao ya kijamii ukaanika...
  20. BabuK

    Serikali kuhakiki tena upya watumishi kwa mfumo wa kielektroniki

    MWAROBAINI wa uwepo wa watumishi hewa katika sekta ya umma umepatikana ambapo kuanzia Oktoba 3, mwaka huu, utambuzi wa watumishi wote wa umma kwa kutumia mfumo mmoja wa kukusanya na kuhifadhi taarifa, utaanza huku watumishi wote wa umma, wakitakiwa kupeleka nyaraka muhimu ndani ya wiki mbili...
Back
Top Bottom