Hivi, hiyo miaka yao, ilikuwa ina siku sawa kama miaka yetu yenye siku 365? Isije kuwa ilikuwa na siku pungufu. Hivyo, ikaonekana ni mingi lakini siku ni chache.
Salaam. Mimi ninaona kwanza tujiulize, je hao walioishi miaka 600, hiyo miaka ilikuwa na siku 365 kama ilivyo kwa miaka yetu? Maana inaweza kuwa siyo. Ikawa pungufu.
Ni jambo Jema, kuwawezesha wakulima kuhakiki viuatilifu kabla kuvitumia, lakini ni vema zaidi mkiongeza bidii ya kuwafikia hao wakulima mnaotarajia wtumie T-HAKIKI kupitia mtandao wa TTCL. .
Salaam. Tatizo kubwa kwangu, akatika kutumia TTCL ni kutokuwapo kwa mawimbi sehemu nyingi za Nchi yetu. Wilayani, Katani na Vijijini. Hivyo, kunilazimu niwe na akiba ua Laini kadhaa za Mitandao mingine kila ninaposafiri. Hujiuliza, Je! hamuwezi kushirikiana na Minara ya Mitandao mingine kueneza...
Nimeiona katika Google hiyo....Gas from human FAECES could generate electricity for up to 138 million households, report claims. Gas harnessed from human faeces could generate electricity for up to 138 million households and curb the destruction of trees for fuel, a new report has claimed.Nov 3...
Nimeikuta katika matandao ikisema:
Who is Kassam?
He is licensed gun holder, a firearms instructor, training people on how to hand rifles, especially for close-range shooting. Kassam runs self-defence classes for individuals, security firms and corporate entities.
He is the only licensed rifle...
Ndugu Madugu; tafuta muda fuatilia Historia ya Ismani. Unaweza kupata mwanga kidogo kuhusu madhara ya aina hiyo ya mbolea. Kwa ufupi tu ni kuwa, udongo unatakiwa uwezeshwe kujirutubisha kiasili. Kama ilivyo kwa viumbe vyote duniani. Kwani udongo nao unaishi; na ni Hai.
Oh, ni vema unapenda miti katika bustani yako. Kabla hujaamua mti gani upande, ni vema ujue mahali ulipo. Mfano, kuna miti inasitawi vizuri sehemu za Pwani. Mingine sehemu zenye mwinuko na hali ya baridi, kama vile Nyanda za juu kusini. Hivyo, inategemea nyumba yako ipo wapi katika sehemu hizo...
Ni jambo jema kila Mwananchi kuwa na kitambulisho. Lakini, nadhani, suala siyo kuandikisha tu; Je NIDA wamekwisha chapisha na kutoa vitambalisho vingapi kati ya hao walioandikishwa. Kuna watu wameandikishwa takribani mwaka umepita sasa, hakuna taarifa ya kupata kitambulisho si jana leo wala...
Ukiipata uniarifu na mimi. Niliitumia miaka ya 90; Niliipata Iringa mjini. Baadaye nikaipoteza kutokana na mizunguko mingi ya kimaisha. Ni nzuri sana hiyoo kitu.
Supermarket nyingi hapo Arusha inapatikana. Ikiwa katika makopo ya kilo moja. Na bei ni takriban Shilingi 7, 500 hivi kwa kopo moja. Kama nimekuelewa vizuri kwa unachokiulizia.
Mshana Jr. Tafadhali, utufahamishe zinapatikana wapi hapa nchini; Duka, kampuni, wakala, nk. nk. Kama ni nje ya Nchi, vipi tuliopoa hapa tunaweza kuzipata? Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.