Search results

  1. C

    Naomba kueleweshwa utaratibu wa kupanda mabasi yaendayo mikoa ya Kusini ya Mtwara Lindi na Ruvuma kituo kipya cha Mbezi Louis

    Habari za mihangaiko wadau. Bila kuchoshana, huko nyuma wakati wa kituo cha Ubungo Mabasi yaendayo mikoa ya kusini machache sana yalianzia Ubungo asubuhi saa 12. Nakumbuka zile za Masasi, Mtwara na Songea tu. Magari mengine yanayoelekea wilaya zake zote za mikoa tajwa(ukiondoa Masasi) zilianzia...
  2. C

    Ni Wakati sasa Tuwe na Road Toll

    Kama mada inavyosema, ifike mahali tuwe na road Toll.Ikiwekwa Tsh elf30 kwa mwezi yaani Tsh 1000 kwa siku tutapata pesa nyingi. Hii iwe kwa kila gari na pikipiki iwe Tsh elf15 yaani Tsh 500 kwa siku. Lakini pia askari wa Polisi wawe ma kazi ya kusimamia sheria tu. Nina uhakika Tsh 30000 na...
  3. C

    TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

    Naona kuna hii kadhia ya mizigo kupungua bandarini. Kamati ya Bunge imekutana na wadau Bandarini na wamekiri mizigo kupungua na kuomba wahusika kukutana na kutafuta suluhisho, huku wakiwalaumu Wataalam kwa kushindwa kumshauri Mh Rais vizuri. Chanzo: ITV news
  4. C

    Ajali Matumbi

  5. C

    Je, ni kweli kuwa GDP ya jiji la Lagos ni sawa na GDP ya Nchi ya Kenya?

    Habari za muda wapendwa. Naona weekend ikikaribia na kwa Islam leo ni Ijumaa Kareem na SDA ni kesho na wengine ni keshokutwa(Jumapili).Na kwa wazee wa kujirusha wanaanza leo. Baada ya salamu za utangulizi hapo juu, napenda kuileta mada tajwa hapo juu. Mada hii inatokana na Uzi fulani ambao...
  6. C

    Lagos City vs Dar City

    Wanajamvi heshima kwenu. Mimi nikipita pale Kariakoo, kutokana na uwingi watu kichwa huniuma sana, na hii ni Dar Es Salaam ambayo inakisiwa kuwa na watu million tano ila watu ni wengi sana. Sasa kwa kuzingatia Lagos ina watu millioni15, kama kuna mdau anajua life style yao pale Lagos siyo mbaya...
  7. C

    Ally Mutassa BBC -Uganda na Omary Mutassa BBC- J'burg.

    Heshima kwenu JF Members. Naomba kuuliza watangazaji hao ambao ni wawakilishi wa BBC wana undugu wowote?
Back
Top Bottom