Search results

  1. Jumboplate

    Tanzania’s troubling moves against freedom... - The Washington Post

    Its insane to pass a law to suit your temporary needs (General Election 2015). This is going to bite them back real soon!
  2. Jumboplate

    Prof. Kitila Mkumbo, Sikubaliani na wewe kuhusu dhana ya uzalendo wa Lowassa!

    Si amesema Kwa nchi nyingi duniani hiyo ni sifa nzuri?? Au hujui USA hiyo ni moja ya sifa kuu za wagombea uongozi??
  3. Jumboplate

    Picha: Manhattan ya Sinza(crib) ya Martin Kadinda

    Huu sio unadhifu wa kiume ndani ya nyumba...
  4. Jumboplate

    Mh. David Silinde....

    True true!! Do go yuko vizuri kichwani..
  5. Jumboplate

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Naona CCM ndio wamehuzunika zaidi ya CDM... Something is right!!!!!!
  6. Jumboplate

    Mbunge wa CCM HAKUPOKEA RUSHWA...

    Kwaiyo mla rushwa akishinda mahakamani kwa njia za kijanja anakuwa sio mla rushwa sio?? Sooo stupid...hasa ukiangalia mahakama zetu zilivyo wenye hela ni ngumu kuwashinda mahakamani!
  7. Jumboplate

    Msimjaribu Zitto, mtaumia!

    Kama wananchi wanampenda Zitto basi aanzishe chama chake aone kama hayo mapenzi ni kwa Zitto au Chadema...kwa sasa Zitto hana ubavu ata wa kumshinda Mnyika kwa kura, kwa ufupi Zitto haaminiki tena! Sent from my BlackBerry
  8. Jumboplate

    Mbunge wa Jimbo la Bahi (CCM) apanda Kizimbani

    Sasa mtoa rushwa ashtakiwe kwa kutoa taarifa pccb? Au hufahamu mitego ya hongo inavyokuwa? Sent from my BlackBerry
  9. Jumboplate

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Oysterbay on my mind... Sent from my BlackBerry
  10. Jumboplate

    Mkulo, Maige, Ngeleja kikaangoni TAKUKURU

    What happened to innocent till proven guilt?? PCCB wanafanya uchunguzi...haki inapatikana mahakamani!
  11. Jumboplate

    TAKUKURU kuwasafisha akina-MKULLO?

    Huyo afisa wa takukuru atakuwa alikuona we kichwa maji! Sasa hayo ni maswali ya kumuuliza mchunguzi halafu akujibu kirahisi tu?
  12. Jumboplate

    Diamond akataa hela ya Wema stejini...

    Diamond amenifurahisha sana!! Wema anataka kuchukulia ujiko ktk show yake nyambaffff!!
  13. Jumboplate

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Death is not a thing to wish to anybody let alone your greatest rival...how many people hate u and still don't wish u death?? Come on men let's be human even for a little bit!
  14. Jumboplate

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Get well soon Mr. Lowassa...
  15. Jumboplate

    Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

    Mwanakijiji mimi nakubaliana na mawazo yako juu ya Lowassa kutokuwa mwadilifu lakini vilevile ktk political figures ndani ya Tz kwa sasa sijaona ambaye anauwezo wa kuthubutu kufanya maamuzi magumu kama Lowassa...watu wote wanamsema Lowassa kuhusu Richmond tu, ukiwauliza makosa yake mengine...
  16. Jumboplate

    Tafakari ya hotuba ya mhe. Rais 31 desemba, 2005

    Nakumbuka John Cheyo alisema hiyo ilikuwa the best speech aliyowahi kuisikia, ilitoa matumaini sana kwa Watanzania kwa kweli. Inabidi mheshimiwa aisikilize yeye mwenyewe tena ili atafakari pale alipokosea ajirekebishe ndani ya muda uliobakia.
  17. Jumboplate

    Demu wa facebook

    U gotta be kidding me!!!ivi kuna watu bado wako serious kabisa na hizi relationship za kwenye social networks? kwanza sijui unataka uambiwe nini???
  18. Jumboplate

    Waziri Sitta amlipua Lowassa Bungeni

    Ndio nnachompendea Sitta hajui kufichaficha maneno kama Pinda!Amesema maamuzi magumu yote yanayoendana na rushwa sio maamuzi magumu.
Back
Top Bottom